USHAURI: Ewe Mhudumu wa Baa, wekeza mapema kabla ya umri kukutupa mkono

USHAURI: Ewe Mhudumu wa Baa, wekeza mapema kabla ya umri kukutupa mkono

Hiyo ni mimba changanya na stress zake huwa wanaporomoka sana mixer kuchelewa kulala ila mchunguzeni usikute kaanza na poda
Kuna mmoja mtaani alipotea namna hiyo hadi na meno alipoteza ila ni alikuwa cute balaa uzuri ulipopotea hata akikusalimia unataka ukimbie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nangalia maisha ya baamedi hayana tofauti na mchezaji wa mpira. Natumia mfano wa mchezaji wa mpira kwa sababu ana maisha mafupi kwenye kazi kuliko msanii, au mwanamitindo au hata muigizaji.

Kama ilivyo hali ya ajira kila mtu anaijua, tufanye baada ya kukosa ajira ukaamua kujilipua kuuza baa. Asilimia kuwa hakuna bamedi mgumu (mchoyo) akikunyima basi una gundu.

Unaanza kazi iyo una miaka 20, pambana kufikia 35 na ww uwe tayari unamiliki baa, na unajijenga. Utachezewa mpaka lini?

Siku izi hakuna baa inayotaka wahudumu wazee ya mwisho wa kuajiriwa ni 35 tu tena uwe vipodozi vimekukubaki kweli. Ukiwa mzembe miaka 40 haina kazi ulozoea, huna mtaji, labda hujaolewa, unaanza kujiuza official kwenye baa uliyozoeleka. Unajidhalilisha bure kujiuza kwenyewe sababu ya umri hauna soko tena.

Kuna mabaamedi nawajua kipindi naingia mjini kwa sasa wanatia huruma. Wamekuwa wazee wana maisha magumu sana. Ulikuwa unapata 30k kwa siku na bia za kutosha kwa sasa unauza uji unaingiza 5k tu kwa shida.

Tafakari ushauri huu ila Kumbuka ushauri wangu sio sherif


Una hoja usikilizwe
 
Mkuu acha uongo.30k!Kwa siku ningeshampeleka shemeji yenu.Sema 30k on high season na pia labda wakiuza mbunye,ova
Bar maid mzoefu anauza direct na indirect anaweza kutana na vichwa vitatu kwa vya 30k waasubuhi wamchana na wakuondoka nae usiku kama dozi bar maid unaweza pita wiki hajagusa mboga majani
 
Back
Top Bottom