Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kuna mabar maid huku halafu hakumsema.Baa medi mnaitwa huku kuna ujumbe wenu muhimu sana, shida yao wakishapata hela ya kununua macho matatu, skin jeans nyeusi na raba wanaona wameshamaliza maisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] Kama mchezaji akishuka kiwango anawekwa pembeni
MnoooKabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo ni mimba changanya na stress zake huwa wanaporomoka sana mixer kuchelewa kulala ila mchunguzeni usikute kaanza na poda
Kuna mmoja mtaani alipotea namna hiyo hadi na meno alipoteza ila ni alikuwa cute balaa uzuri ulipopotea hata akikusalimia unataka ukimbie
Nangalia maisha ya baamedi hayana tofauti na mchezaji wa mpira. Natumia mfano wa mchezaji wa mpira kwa sababu ana maisha mafupi kwenye kazi kuliko msanii, au mwanamitindo au hata muigizaji.
Kama ilivyo hali ya ajira kila mtu anaijua, tufanye baada ya kukosa ajira ukaamua kujilipua kuuza baa. Asilimia kuwa hakuna bamedi mgumu (mchoyo) akikunyima basi una gundu.
Unaanza kazi iyo una miaka 20, pambana kufikia 35 na ww uwe tayari unamiliki baa, na unajijenga. Utachezewa mpaka lini?
Siku izi hakuna baa inayotaka wahudumu wazee ya mwisho wa kuajiriwa ni 35 tu tena uwe vipodozi vimekukubaki kweli. Ukiwa mzembe miaka 40 haina kazi ulozoea, huna mtaji, labda hujaolewa, unaanza kujiuza official kwenye baa uliyozoeleka. Unajidhalilisha bure kujiuza kwenyewe sababu ya umri hauna soko tena.
Kuna mabaamedi nawajua kipindi naingia mjini kwa sasa wanatia huruma. Wamekuwa wazee wana maisha magumu sana. Ulikuwa unapata 30k kwa siku na bia za kutosha kwa sasa unauza uji unaingiza 5k tu kwa shida.
Tafakari ushauri huu ila Kumbuka ushauri wangu sio sherif
Hakuna barmaid humuBaa medi mnaitwa huku kuna ujumbe wenu muhimu sana, shida yao wakishapata hela ya kununua macho matatu, skin jeans nyeusi na raba wanaona wameshamaliza maisha.
Wanatumia zaidi facebook, instagram, snap chat na tiktokKumbe kuna mabar maid huku halafu hakumsema.
Kwani JF si kila mtu ofisini kWao ni Posta na wengine Dodoma? hao ma baamed wametoka wapi JF. Huyu mtoa mada aitwe kAmati ya Maadili amemdharau Melo na kuishushia hadhi JF
Bar maid mzoefu anauza direct na indirect anaweza kutana na vichwa vitatu kwa vya 30k waasubuhi wamchana na wakuondoka nae usiku kama dozi bar maid unaweza pita wiki hajagusa mboga majaniMkuu acha uongo.30k!Kwa siku ningeshampeleka shemeji yenu.Sema 30k on high season na pia labda wakiuza mbunye,ova