Yani tabia zote anazoUnamuwezea kwa kipi?kama kweli una muwezea kwa nini alikusaliti tena ukiwa nae kingine huyo Mwanaume ana tabia tatu kwanza Mhuni,ana dharau pia si Mkweli kwako uchaguzi ni wako je utaweza kuvumilia kama utaamua kurudiana nae ni kwambie ukweli best huyo hawezi kamwe kubadilika.
😂😂😂😂😂😂😂😂 Nimecheka kama falaNimeingia kwenye huu uzi haraka haraka kuna mdada namuomba turudiane ila hataki nikajua kaja kuomba ushauri nianze furahia.
Wakuu nakosa usingizi
Hahaha option ninazo nyingi sana carleenKilichokufanya uondoke kwake mara ya kwanza ndiyo hicho hicho kitakufanya uondoke tena mara ya pili, tena I can guarantee this time maumivu yatakuwa makubwa kuliko, nyoka keshakuuma mara moja ilipaswa ushtuke hata ukiguswa tu na unyoya Nakadori..
Mwanadamu akishaona huna option nyingine zaidi yake hakuna rangi utaacha ona,
Sawa dada ila ni muhimu ukafocus mbele zaidi usiangalie kwa mda huu tu.Kweli ni mtu mzima
Ila angekuwa anajitambua wala nisingejali umri wake kabisaa
Wewe hebu soma vizuri usipptoshe.Sawa dada ila ni muhimu ukafocus mbele zaidi usiangalie kwa mda huu tu.
Ulimfata mwenyewe,marafiki zake ukawatafuta mwenyewe wakakupamba ukapambika,yeye sasa ulitaka asemeje zaidi ya kukuomba kurudiana,mboga ijilete alafu uiache?
Mapenzi yenye malengo kuna vitu kamwe sio vya kuhusisha,you need to think again la sivyo
Amani ikikosekana maisha huwa hayana maana, watu wanavunja ndoa za kanisani kabisa,Hahaha option ninazo nyingi sana carleen
Hapa ishu ilikuwa mahari...nitaongea na wahusika hata niwapatie irudishwe niwe huru
Haha Nuzulati hapo umenichamba haswaaaDhana ya kwamba wewe mzuri unavutia iache kwenye mahusiano unaona umepigwa matukio na jamaa anatembea na wale unao waona wewe wa kawaida unaweza kuwa mzuri wa nje ila ndani hamna kitu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Pole sana lakini kwa umri wake huyo J alitakikana awe ametulia na familia kabisa kwenye ujinga angekua ametoka.Na kweli alijua kunichakaza nilikosa tumaini nikawa namuona yeye tu.
Imagine alitaka kunihamisha nikaishi kijijini kabisa eti mjini gharama...vyeti vyangu wala sikuwa na muda navyo...
Sjui nililogwa kama wengi walivyosema?
Haikuwa akili yanguBado unampenda huyo mzee ila sio mtu sahihi kwako achana nae na umesema anapenda sana mambo ya kwa waganga jitahidi usiruhusu ukaribu nae. Yeye hana cha kupoteza
Umenishangaza ulivyofosi kwenda msibani😂
Sasa why unataka kurudi egypty? Ndo mpenzi?Mkuu unanitoa machozi.....usimtaje mama yangu pls. Na kqa mdomo wake baada ya kuona nimeanza kaz aliniambia huyu mwanaume hakufai atakusumbua sana. Achana nae
Kama anataka basha nipo hapa,nimlambe kona zoteWe shoga wa kisabato naona umefika tena hapa...hujapata basha wa kukupa haki yako eeh?
Hata nikimzidi miaka 20 wewe inakuhusu nini.
Sasa kama ama alikushauri ina maana hujautilia maanani ushauri wa mama unakuja hapa unataka ushauri mwingine?Mkuu unanitoa machozi.....usimtaje mama yangu pls. Na kqa mdomo wake baada ya kuona nimeanza kaz aliniambia huyu mwanaume hakufai atakusumbua sana. Achana nae