USHAURI: Familia ya Hayati Magufuli iende Mahakamani kudai fidia ya picha iliyotumika katika kava kukitangaza kitabu cha 'I Am The State'


Naomba ufafanuzi wa neno "Madalakani" maana umenichanganya
 
Tukumbuke chapati haichomwi upande mmoja maana hao waandishi uchwara wameandika upande mmoja ila watu wengine wanajua ukweli upo wapi na wamekaa kimya kuna wakati ukifika hao waandishi uchwara watachoma chapati upande wa pili
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimejisikia kukucheka bure. Yaani bado unaangaika na Mwendakuzimu??
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimejisikia kukucheka bure. Yaani bado unaangaika na Mwendakuzimu??
Loh! na waliotunga kitabu wanaangaika Kwa lengo gani wakati hawezi kuwajibu.
 
Legancy = Legacy. Hivi kwanini watetezi wa mwendazake huwa hamna akili na elimu zenu duni?
 
Hao washamba hamna anayehangaika nao kwanza mauzo ya hicho kitabu yanedoda sana
Ila katika hali ya kawaida nani mwenye akili timamu anaweza nunua kitabu chenye picha ya yule mtu tofauti na mazuzu bao hawana pesa pia
 
Loh! na waliotunga kitabu wanaangaika Kwa lengo gani wakati hawezi kuwajibu.
Hao wanasema ukweli juu yake ila wewe uko unalia lia tu kama yatima. Ok nikuulize swali moja dogo tu, je ni nani mtu anayejielewa aliwahi kumkubali huyo mtu?
 
Legancy = Legacy. Hivi kwanini watetezi wa mwendazake huwa hamna akili na elimu zenu duni?
Sidhani kama unaelewa kuwa Kuna tofauti ya uelewa wa ufanyaji Wa mambo ndio maana chombo cha habari kina mtu anaitwa mhariri.

Darasani Kuna wanafunzi wanajua kuandika vizuri Ila hawaelewi wanachoandika ,wapo wanaojua kuongea Ila hawajui kuandika pia wapo wanaojua kunakili kuliko kuandaa wenyewe .

hivyo suala la kukosea neno Ni
Jambo la kawaida sana Kwa mtu yeyote muelewa hawezi kushangaa Ila wajinga na waliokalilishwa mambo hawaamini katika Hilo.

Wenye uelewa wanapenda vitendo kuliko maneno ndio maana JPM aliamini katika matokeo na vitendo kuliko maneno kama tupo kwenye mchakato hata kwenye mambo madogo bado unaitaji ufadhili na wataalamu kutoka nje ya nchi.
 
Hao wanasema ukweli juu yake ila wewe uko unalia lia tu kama yatima. Ok nikuulize swali moja dogo tu, je ni nani mtu anayejielewa aliwahi kumkubali huyo mtu?
Nini maana ya kujielewa ili nikujibi swali lako, Kwa maana kujielewa kunategemeana na mazingira. Kwa mfano: Kuna mtu kama pro:lyeitama Ni muelewa wa masuala ya teaching comedy lakini kwenye masuala ya utulivu na unadhifu yupo zero sasa niambie kwenye lipi.
 
Huyu mbwa hawezi kupumzika kwa amani kamwe . Magufuli alinajisi Ikulu yetu kwa kumwaga damu za wasio na hatia, kunyang'anya fedha za wafanya biashara, kuiba fedha za umma (Tsh 1 5 Trillion as per CAG report) na kuiba uchaguzi wote wa S/Mitaa wa 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020.

Ataendelea kuungua na moto wa jehanam milele
 
Washitakiwe kabisa, huu ni utapeli wa hali ya juu.
 
Wewe mtetezi wa mwendazake acha upumbavu. Unatetea hata ushuzi ulioandika badala ya kurekebisha. Hujui kuna maneno ya kiingereza ukikosea tu kidogo linaleta maana tofauti kabisa? Kwa mfano Knight & night au Wright & right..... hebu edit haraka sana huo ushuzi ulioandika.
 
JPM anavuna alichopanda. Angekuwa rais mzuri watu wasingeandika mabaya juu yake kwa kiasi hicho. Hilo ni fundisho nawe mleta mada acha udikteta, hatupo kwenye enzi za JPM acha watu watoe maoni yao katika nchi huru.
 
Acha ushamba. Kwani jiwe ana legacy gani?
 
Na uwakumbushe kuyadai magazeti na majarida yote yaliyowahi kutumia picha au maneno aliyowahi kuyatumia.Mtunza "regase"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…