Ushauri: Gari ya milioni 60

Nimekuekewa vizuri boss

Nili pendekeza hiyo huenda jamaa yake ana gari ingine ya kazi pia.. Kwenye bandiko kasema jamaa yake anataka "gari nzuri" sio gari ya kazi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… angesema anataka gari ya kazi nisingependekeza hiyo
Ukiona mtu anaomba ushauri ujue sio mtu wa magari.
Pili unaweza kununua gari ya kazi lkn ni nzuri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…