Ushauri: Gari ya milioni 60

Machimboni ni shamba tu, labda kama nimeelewa vibaya kwamba ‘kutembelea’ yake haitafika huko
Geita wapo wanaofanya madili kwenye migodi wana gari luxury sana na wana gari za kazi sana. Naona kwenye bango la mtoa mda lipo na taarifa zipo kati kati.. hajasema ni ya matembezi au ni ya kazi..
 
Hii ndio gari ninayoitamani kuiendesha.Sijui ni lini lakini Kwa jina la Mungu hii gari nitakuja kuimiliki siku moja
View attachment 2436858
Hii gari akiendesha mtoto wa kike anavutia zaidi Kama ilivyo kwa harrier.

Siku moja nilikua pande za ununio nikamwona mobeto kwenye hiki chuma,alafu nyeupe number plate inasoma jina lake. Pesa pesa pesa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…