Ushauri: Gari ya milioni 60


Ford Raptor

Huyu mnyama basi tuu[emoji28][emoji91]
 
Nyuzi kama hizi hua zinanifanya kujitafakari sana "How useless I am"๐Ÿ™„
Bwana Yesu mtoto wa Mungu mwenye kila kitu mbinguni na dunia aliishi dunia miaka 33 bila gari, Baba yake ana kila kitu, wewe wasiwasi wako ni nini hasa? Si tumeambia hapa duniani tunapita? Wewe kula vizuri hili ndo la muhimu ongea na watu vizuri๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜
 
Msukuma Gari ya chini haithamini hata siku 1,hata uje na Benz s-500 coupe yeye atasema yule jamaa alikuja na Taxi.
Msukuma hata kiatu tu hathamini saana hivi vya chini ndo maana hawaelewagi kwa nini utakuwa wapo prouuud sana kuvaa magumboots mjini. Kumbe hadi magari!!
 
Umesema vyema.
Kuna siku nilipita sehemu nikaona vijana waki spend nikasema kumbe inatakiwa niwe napita sana haya maeneo ili kuona ni kiasi gani I am missing out...aisee kuna watu wapo ktk njia ya pesa anyway ni life
Ila ipo njia na namna tunaweza fanya nasi tukafanikiwa zaidi ya hayo
 
Anunue Hilux Vigo ya kuagiza Japan
Ni nzuri kwa safari na pia Mara nyingi Kama gari ni Kali huwa zinakodiwa sana
 
Uongo, ni uongo.... Hilux Vigo zenye injini ya D4D ni
fuel economy ila ndo zinatumiww na serikali, kwahyo na wao hwana maono?
 
Nimekuekewa vizuri boss

Nili pendekeza hiyo huenda jamaa yake ana gari ingine ya kazi pia.. Kwenye bandiko kasema jamaa yake anataka "gari nzuri" sio gari ya kazi ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… angesema anataka gari ya kazi nisingependekeza hiyo
We umecomment as if kasema Ana pesa ambayo hana kazi nayo
 
Hujui Magari kaka
 
Hujui Magari kaka
Sibishanagi na watoto wa mama.
Ninachozungumza huwezi elewa kama unashindia lami kutwa.
Nazungumza na wanaume wachakarikaji...
Porini, mashambani na sehemu zenye miundombinu duni.
Harrier ni gari zuri mjini na sio sehemu nilizotaja.
 
Nyuzi kama hizi hua zinanifanya kujitafakari sana "How useless I am"[emoji849]
You are not useless
Kila mtu anakimbia kwenye lane yake
Contentment and struggle at your capacity is key
Success or liquidity is contributed by many factors
 
Sibishanagi na watoto wa mama.
Ninachozungumza huwezi elewa kama unashindia lami kutwa.
Nazungumza na wanaume wachakarikaji...
Porini, mashambani na sehemu zenye miundombinu duni
Sasa mbona unajieleza sana๐Ÿ˜„
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimekuelewa, hapo kwenye low fuel consumption ndo umechemka kaka
Ukikua utanielewa.
Tunakimbilia gari za low fuel consumption kwa ajili ya umaskini lakini ni gari ambazo huwezi kujivunia kuwa una gari ya mazingira yote.
Hizo ni gqri za lami tu.
Nyingi zina injini ndogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ