Halima Mdee huwa anapata kura nyingi kule Cha simba, maandazi road na pale Tegeta kwa ndevu!Tatizo ni kwamba idadi kubwa ya wapiga kura wa kawe ni watu wanaojitambua na wanakazi zao, siyo kama ushwahilini ambako mmejazana majobles kama ninyi
Sijawahi kuona Msukuma anafanya ukabila labda Kanda fulani ndio watalaam wa ukabila na si WasukumaNi mdini na mkabila lazima atashindwa vibaya sn
Nikifurahi sana alivyompigia debe Halima kuhusu miradi ya Maendeleo jimbo la Kawe! Maji kama yote sasa unataka Halima asemeje? Saa 3:30 asubuhi biashara itakuwa imekwisha!Endapo Gwajima atashindwa mbele ya Halima Mdee basi namshauri aachane kabisa na siasa na nitamwomba Rais Magufuli amteue Pascal Mayalla kwenye zile nafasi zake 10.
Gwajima hujamsikia?Sijawahi kuona Msukuma anafanya ukabila labda Kanda fulani ndio watalaam wa ukabila na si Wasukuma
Kampeni yenyewe ndio hiiii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Niwe mkweli Gwajima ni mgombea pekee wa CCM " aliyebahatika" kufanyiwa kampeni na Dr Magufuli karibu katika kila kata ya jimbo la Kawe.
Wakati akielekea kwenye mkutano mkuu wa kampeni wa wilaya ya Kinondoni Dr Magufuli alisimama katika kata zote msafara wake ulipopita jimboni Kawe na kuomba kura kwa ajili yake na kumuombea Gwajima pia.
Endapo Gwajima atashindwa mbele ya Halima Mdee basi namshauri aachane kabisa na siasa na nitamwomba Rais Magufuli amteue Pascal Mayalla kwenye zile nafasi zake 10.
Maendeleo hayana vyama!
Comment reserved.ANATAKA GWAJIMA AINGIE BUNGENI KWA UDI NA UVUMBA KWAKUA YEYE NDIO KIONGOZI WA KUNDI LINALOJIITA LA KUMLINDA MAGUFULI ..AMBALO HATA USALAMA WANAJUA ...KUNDI HILI LITAKUJA KUZAA KUNDI LA WAASI SIKU MAGUFULI AKIONDOKA MADARAKANI NA IKATOKEA KUWA ATAKAYEINGIA ATAKUWA SIO MTU WAO ....JAPO LENGO LA MKAKATI WAO LA KWANZA NI KUHAKIKISHA WANA MOBILIZE BUNGENI ILI AONGEZEWE MUDA WA KUKAA MADARAKANI
GWAJIMA NI HATARI KWA USALAMA WA TAIFA
Sijawahi kuona Msukuma anafanya ukabila labda Kanda fulani ndio watalaam wa ukabila na si WasukumaNi mdini na mkabila lazima atashindwa vibaya sn
Muongo ni Lissu kumtukana Baba wa Taifa leo anajifanta eti ana falsafa ya Mwl Nyerere laghai kubwa la siasa.
NI AIBU SANA KUWA HUYU MTUHUMIWA WA JESHI LA MSITUNI ...NDIO MAGUFULI ANATOKWA NA MISHIPA KUMPIGIA KAMPENI KULIKO MTU YEYOTE YULE .....KAMA SIO DALILI YA NIA OVU NI NINI .....TISS MNAMUACHAJE MTU KAMA HUYU?
Watoto wa Baba wa Taifa walimpokea vizuri Lissu, wazindaki wa kisiasa poleni.Muongo ni Lissu kumtukana Baba wa Taifa leo anajifanta eti ana falsafa ya Mwl Nyerere laghai kubwa la siasa.
Hii itakuwa sawa na uonevu , amepigiwa kampeni na mtu asiye na ushawishi wowote kwenye jamii , Amepigiwa kampeni na Magufuli ambaye wananchi wanamchukia sana kwa sababu ya kuleta umasikini wa kutisha nchini .Niwe mkweli Gwajima ni mgombea pekee wa CCM " aliyebahatika" kufanyiwa kampeni na Dr Magufuli karibu katika kila kata ya jimbo la Kawe.
Wakati akielekea kwenye mkutano mkuu wa kampeni wa wilaya ya Kinondoni Dr Magufuli alisimama katika kata zote msafara wake ulipopita jimboni Kawe na kuomba kura kwa ajili yake na kumuombea Gwajima pia.
Endapo Gwajima atashindwa mbele ya Halima Mdee basi namshauri aachane kabisa na siasa na nitamwomba Rais Magufuli amteue Pascal Mayalla kwenye zile nafasi zake 10.
Maendeleo hayana vyama!
Watoto wa Baba wa Taifa walimpokea vizuri Lissu, wazindaki wa kisiasa poleni.
Umeshapanic bwashee!Hii itakuwa sawa na uonevu , amepigiwa kampeni na mtu asiye na ushawishi wowote kwenye jamii , Amepigiwa kampeni na Magufuli ambaye wananchi wanamchukia sana kwa sababu ya kuleta umasikini wa kutisha nchini .
Unamshangaa mwenzio kwani hiyo Basihaya yako sio tone la maji pia?
Msukuma mwenzake asubirie tu atamteua endapo watz watarudia kosa Tena October,Niwe mkweli Gwajima ni mgombea pekee wa CCM " aliyebahatika" kufanyiwa kampeni na Dr Magufuli karibu katika kila kata ya jimbo la Kawe.
Wakati akielekea kwenye mkutano mkuu wa kampeni wa wilaya ya Kinondoni Dr Magufuli alisimama katika kata zote msafara wake ulipopita jimboni Kawe na kuomba kura kwa ajili yake na kumuombea Gwajima pia.
Endapo Gwajima atashindwa mbele ya Halima Mdee basi namshauri aachane kabisa na siasa na nitamwomba Rais Magufuli amteue Pascal Mayalla kwenye zile nafasi zake 10.
Maendeleo hayana vyama!
Magufuli hana ushawishi wowote wa kumpigia kampeni mtu yeyote , kule ambako hakwenda ndio kutakakoiletea nafuu ccmUmeshapanic bwashee!
simaind siasa wl nnNiwe mkweli Gwajima ni mgombea pekee wa CCM " aliyebahatika" kufanyiwa kampeni na Dr Magufuli karibu katika kila kata ya jimbo la Kawe.