tyc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,179
- 2,971
Kiukweli pamoja na kwamba namkubali sana JPM, lakini kitendo cha kumteua tu Gwajima agombee ubunge kimenifikirisha, kimesinikitisha na kunishangaza sana
Gwajima hafai kushika wadhifa wowote ule ktk hii mihimili mitatu ya nchi.
Ni MDINI, MKABILA na TAPELI anaetumia kichaka cha uaskofu kufichia uovu wake
Magufuli umetushangaza sana kututeulia mtu wa kariba hii eti ndio aende bungeni,,,, ni aibu kituko kituko kituko
Ni mara mía ungemteua yule mamá aliyeshika nafasi ya pili kura za maoni hata kama alikuwa ana kashifa ya ufisadi, afadhali ya ufisadi wake kuliko mtu mwenye UKABILA, MDINI, na TAPELI