USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

Bahati mbaya sijawai hata kuwa mwanachama wa Chadema. Nilitokea kuikubali chadema kutokana na itikadi yake pamoja na kuwa na kadi ya ccm
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Lord denning nimekumbuka habari ya petro
Unasema hujawahi kuwa nani? Mkuu unakoelekea utaongea mambo ya kujidhalilisha bora upumzishe kwanza akili.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 nimecheka sanaaa
BUSH BIN LADEN watu washaanza kukimbiana hapo
 
Mimi ni mpenzi wa Chadema, sio mwanachama wa Chadema. Mimi ni mfuasi wa sera za Chadema na sio mwanachama wa Chadema. Mwanachama wa Chadema ni mtu mwenye kadi ya Chadema anayolipia. Mie Sina kadi ya Chadema na wala sijawai kuwa nayo
Leo unawakana??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki ya nani
 
Acheni kunifanya nicheke eti nini ? kaka wa ICC ?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Lord denning
Huyu jamaa namkumbuka vizuri sana kuna uzi nilishakutana naye kabla ya uchaguzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baada ya uchaguzi naona nyimbo zake za ICC utadhani hao ICC Wanaenda kutunyonga..leo Anasemaje [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji119]
 
Alivyoambiwa muandamane mliandamana?

Si mliwapotezea, sasa nao wamewapotezea mnaanza kulia lia..

Mitanzania ni mijinga na mibinafsi mno.. Wacha wakale posho, au mnataka mfanane nao maisha then muanze kuwacheka!!
 
Aisee hiki chama kila mtu muongo muongo tuπŸ˜€πŸ˜€
 
Kwa iyo unaamini kina Mdee kuapa kuwa wabunge ndo suala la Icc limekufa??? Utasubiri sana!!
 
Sijawakana. Mimi ni mfuasi na mpenzi wa Chadema. Sio mwanachama wa Chadema.

Naaamini umeenda shule na una uelewa wa kujua tofauti
Shule mimi sijaenda Wewe
Umeshasahau hili Mara hii[emoji1787]ushasahau uliniita kilaza..Sasa kilaza ataelewa vipi??
Embu toa ufafanuzi kaka ICC.
 
Kwa iyo unaamini kina Mdee kuapa kuwa wabunge ndo suala la Icc limekufa??? Utasubiri sana!!
Serikali ni pana sana mkuu
Hawatackle problems kama unavyofikiria wewe
Hawaplan Mambo kama unavyoplan wewe

Wanajua nini wanafanya
Swala la ICC sio la kimzobe zobe tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…