Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Sawasawa!! Inshallah tutakutana humuSawa kaka ICC
Kila la heri
Wewe na kaka yako"ni yeye" pamoja na mjomba wenu Amsterdam mtatupa mrejesho.
Usisahau kunitag[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani halima ndo wananchi walioshuhudia mauaji??
SawasawaPale waliofungua kesi watakapohukumiwa kifungo cha maisha
Ndio Utajua hujui
Endeleeni kupambana kama ulivyokuwa ukimpambania Ni yeye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawasawa!! Inshallah tutakutana humu
Wewe bwana hebu acha kubwabwaja ujinga huku ukiwa mtaani huna unalolijua, kwa taarifa yako tu ni kwamba kina Halima wamefanya jambo kwa baraka zote kutoka kwa uongozi ndio maana mnaona Dj yupo kimya tu hajatia neno, Mnyika anatumika tu kama gia ya kuzidi kuwaingiza chaka nyie MAJUHA wazee wa AISISII [emoji23][emoji23][emoji23]Ni wakati wenu huu wa kufurahi na kuongea kebehi zote. Ila kumbukeni tu kila jambo na wakati wake. Endeleeni kufurahi mkijua yameisha ila napenda tu kuwaambia kuwa mapambano ndo kwanza yanaanza.
Tunachofurahi ni kuwa mnazidi kutuondolea wanafiki na watu wanaojali matumbo yao wala si maslahi mapana ya watanzania.
Napenda kuwahakikishia, hakuna marefu yasio ya ncha. Wakati wenu wa kilio na kujuta upo na utafika.
Hamtaweza kuturubuni wote na wengine tutasimama kuwatetea kweli watanzania
Sawasawa wakati ni jibuEndeleeni kupambana kama ulivyokuwa ukimpambania Ni yeye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mlikuja kasi kweli,bahati mbaya hata barabarani hujaingia na wakati ulisema utawasaidia kuwawakilisha wanaosua kuingia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo umepoa kama maji mtungini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawasawa wakati ni jibu
Chama kina wenyeweWewe bwana hebu acha kubwabwaja ujinga huku ukiwa mtaani huna unalolijua, kwa taarifa yako tu ni kwamba kina Halima wamefanya jambo kwa baraka zote kutoka kwa uongozi ndio maana mnaona Dj yupo kimya tu hajatia neno, Mnyika anatumika tu kama gia ya kuzidi kuwaingiza chaka nyie MAJUHA wazee wa AISISII [emoji23][emoji23][emoji23]
Umeenda mbali kote huko? Sema tu Mbowe, Lema au Sugu..mmojawapo angeshinda tu!! Saivi waala isingejadiliwaKuwafukuza wabunge ambao wameshaahidiwa kulindwa na sipika kwa chama kilekile cha upinzani hata bila kujali kuwa chama husika kimewafuta uwanachama ni kupoteza muda bure.
Hoja ni kwamba je kama mgombea wa upinzani Tundulissu angeshinda katika nafasi ya urais halafu wabunge wa chama chake wote wakashindwa kwa kudhulumiwa kama ilivyofanyika angesusia kuwa rais kwa kuwa wabunge wa CHADEMA wote wamedhulumiwa ushindi?.
eti limekuja vibaya? 😂Kama hili Swala limekuja vibaya kwako me nashaur pumzika tuu mkuu wangu
Hahaha sorry mkuu nimechanganya na Nani SijuiUsinihusishe na vitu vya ajabu, nipo CCM kwa maslahi binafsi na nchi yangu !
Pole kwa frustrations kamanda 😀
Dooh nimebaki nasikitika tuu Mimi kwa hili Swala lako,Big up TISS kwa nini??? Wamefanikisha nini kwa usalama wa nchi??
Nipo sana, ama unadhani nitakimbia? Niko huku jukwaani karibia miaka 10 sasa. Lete hoja, swali au maoni kama unayo.
Nimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na ridhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja.
Hii itasaidia kujenga nidhamu ndani ya chama. Ni bora kujenga chama upya kuliko kuwa na watu wasio na nidhamu ndani ya chama.
Ifahamike kuwa chama hiki ni mali ya wanachama na si watu wachache. Kuna watu tumepoteza kazi serikalini kwa sababu ya kukipigania chama.
Narudia kama wamekengeuka na kula kiapo bila ridha ya chama ,basi wafukuzwe wote Mara moja bila kujali jina la MTU.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama hili Swala limekuja vibaya kwako me nashaur pumzika tuu mkuu wangu
Na mwenzake Salary slipBado wako watakaovumilia mpaka mwisho kina Lord denning
Watabaki kulinda mlango wa ufipa🤣🤣🤣🤣
Kujifanya huyu manzi hajamboView attachment 1633810
Hapa ni kabla njaa haijapanda kichwani
HUKUJUA PALE KAMEENDA KAWE KINAFIKI KALIJUA KANAPITIA VMAALUM NA ATAKOMA GWAJIMA AMWACHIKumbe Kile kibibi kizee ndio Kiboss ha haaaa