USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

Sawa kaka ICC
Kila la heri
Wewe na kaka yako"ni yeye" pamoja na mjomba wenu Amsterdam mtatupa mrejesho.
Usisahau kunitag[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawasawa!! Inshallah tutakutana humu
 
Sawasawa!! Inshallah tutakutana humu
Endeleeni kupambana kama ulivyokuwa ukimpambania Ni yeye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mlikuja kasi kweli,bahati mbaya hata barabarani hujaingia na wakati ulisema utawasaidia kuwawakilisha wanaosua kuingia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni wakati wenu huu wa kufurahi na kuongea kebehi zote. Ila kumbukeni tu kila jambo na wakati wake. Endeleeni kufurahi mkijua yameisha ila napenda tu kuwaambia kuwa mapambano ndo kwanza yanaanza.

Tunachofurahi ni kuwa mnazidi kutuondolea wanafiki na watu wanaojali matumbo yao wala si maslahi mapana ya watanzania.

Napenda kuwahakikishia, hakuna marefu yasio ya ncha. Wakati wenu wa kilio na kujuta upo na utafika.

Hamtaweza kuturubuni wote na wengine tutasimama kuwatetea kweli watanzania
Wewe bwana hebu acha kubwabwaja ujinga huku ukiwa mtaani huna unalolijua, kwa taarifa yako tu ni kwamba kina Halima wamefanya jambo kwa baraka zote kutoka kwa uongozi ndio maana mnaona Dj yupo kimya tu hajatia neno, Mnyika anatumika tu kama gia ya kuzidi kuwaingiza chaka nyie MAJUHA wazee wa AISISII [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Endeleeni kupambana kama ulivyokuwa ukimpambania Ni yeye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mlikuja kasi kweli,bahati mbaya hata barabarani hujaingia na wakati ulisema utawasaidia kuwawakilisha wanaosua kuingia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawasawa wakati ni jibu
 
Wewe bwana hebu acha kubwabwaja ujinga huku ukiwa mtaani huna unalolijua, kwa taarifa yako tu ni kwamba kina Halima wamefanya jambo kwa baraka zote kutoka kwa uongozi ndio maana mnaona Dj yupo kimya tu hajatia neno, Mnyika anatumika tu kama gia ya kuzidi kuwaingiza chaka nyie MAJUHA wazee wa AISISII [emoji23][emoji23][emoji23]
Chama kina wenyewe
Hawa kina Lord nani hata kadi hawana,ila wapo kupingana na wenye chama
 
Kuwafukuza wabunge ambao wameshaahidiwa kulindwa na sipika kwa chama kilekile cha upinzani hata bila kujali kuwa chama husika kimewafuta uwanachama ni kupoteza muda bure.

Hoja ni kwamba je kama mgombea wa upinzani Tundulissu angeshinda katika nafasi ya urais halafu wabunge wa chama chake wote wakashindwa kwa kudhulumiwa kama ilivyofanyika angesusia kuwa rais kwa kuwa wabunge wa CHADEMA wote wamedhulumiwa ushindi?.
Umeenda mbali kote huko? Sema tu Mbowe, Lema au Sugu..mmojawapo angeshinda tu!! Saivi waala isingejadiliwa
 
Nimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na ridhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja.

Hii itasaidia kujenga nidhamu ndani ya chama. Ni bora kujenga chama upya kuliko kuwa na watu wasio na nidhamu ndani ya chama.

Ifahamike kuwa chama hiki ni mali ya wanachama na si watu wachache. Kuna watu tumepoteza kazi serikalini kwa sababu ya kukipigania chama.

Narudia kama wamekengeuka na kula kiapo bila ridha ya chama ,basi wafukuzwe wote Mara moja bila kujali jina la MTU.

Hiyo ndiyo itakuwa political suicide ya chama chenu!

Kila kitu kina msimu wake. Kuna msimu wa kufanya ngonjera na kuna msimu wa kuishi real life. Msimu wa kina Halima kuishi real life umefika. Hawa makamanda wanaujua ukweli wa anguko lao na ndiyo maana wameamua kuanza kuishi real life!
 
Watz wenyewe tumelala usingizi wa pono. Hatujui hata umuhimu wa demokrasia na utawala wa sheria, sasa kwanini akina dada wahangaike kupigania watu wasiojielewa.?!
 
Kumbe Tanzania bara upinzani bado sana, mtu kama Halima mdee anakosa utu kwa vijisent vya bungeni, alifika kuvunjwa mkono leo anageukia upande ule ule. Kuna haja gani kuhangaisha wananchi wengine mpaka wanauliwa kw sababu ya chama leo simply unageuka na kuwa nyoka kwa sababu ya hela
 
Back
Top Bottom