Kwa kususa kuingia bungeni pia hakuwezi kuitoa ccm madarakani.ccm itakaa ikulu milele endapo ujinga huu utaendelea chadema lakini siku mbowe akizeeka au hata kufariki akaja mwenyekiti mwenye msimamo asiyependa pesa mbele ndipo chadema itapiga hatua kimaendeleo
Kama namuona Lema huko ugenini alikogeuka mkimbizi anavyongata vidole kwa hasiraNdani ya CHADEMA wote wana price tag wanachotofautia ni dau tu.
Huwa wanasikitisha sana wafuasi wao "vipofu" wanaoleta hekaya za ukombozi na blah blah kama hizo.
Natamani Sana kuwaona lissu maalim na zitto kwenye chama kimojaLissu na zito ndo wapinzani Hawa wengne nna mashaka nsbr press
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hahahhaha.. Mtajua hamujuiView attachment 1633810
hapa ni kabla njaa haijapanda kichwani
Uko sahihi. Ndio maana Mwanasheria mkuu wa Serikali akasema hana nia ya kuendelea na kesi..alijua mipango yote...Nusrat Hanje alitolewa ilia aje kua mbunge?
Mmeanza kuwa na akili sasaTechnically chadema wamefanya kosa kubwa Sana
Naanza kuelewa kwanini ccm haitakuja kushindwa uchaguzi wowote
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ndio yalikuwa masharti ya mhutu kumtoa jela yeye na Salome Makamba .Nusrat Hanje alitolewa ilia aje kua mbunge?
Maccm yanavyojidaiaga uafisa kipeuo , yanaona bonge la kazi kumbe Ni mamesenja tu.Wengi wenu mnaropoka na kucont bula kubalance story,upande wa halima hamjui kitu,upande wa ccm hamjui lolote na upande wa chadema hamjui pia.
Hivi siku mkija kufahamu kuwa wabunge wa upinzani wote ni mapandikizi ya usalama mtaficha wapi sura,mkae kwa kutulia ccm ni chama makini na hakishindwi kitu.
Chama makini kinaweza kufanya ujinga wa kutupa kilioufanya kwenye uchaguzi mkuu .Wengi wenu mnaropoka na kucont bula kubalance story,upande wa halima hamjui kitu,upande wa ccm hamjui lolote na upande wa chadema hamjui pia.
Hivi siku mkija kufahamu kuwa wabunge wa upinzani wote ni mapandikizi ya usalama mtaficha wapi sura,mkae kwa kutulia ccm ni chama makini na hakishindwi kitu.
Wakifukuzwa wakale kwake?
Aisee[emoji848]View attachment 1633816
Hela zipo....kwanini zisiliwe..Sasa nimeelewa why ilikuwa rahisi kwa Mange kupokea pesa na kumute
Kufa njaa kibwege.Maccm yanavyojidaiaga uafisa kipeuo , yanaona bonge la kazi kumbe Ni mamesenja tu.