USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

ccm itakaa ikulu milele endapo ujinga huu utaendelea chadema lakini siku mbowe akizeeka au hata kufariki akaja mwenyekiti mwenye msimamo asiyependa pesa mbele ndipo chadema itapiga hatua kimaendeleo
Kwa kususa kuingia bungeni pia hakuwezi kuitoa ccm madarakani.
(utafakari upya uchaguzi wa mwaka huu)
Kuitoa ccm inahitajika umoja wa wananchi. Siyo mnapanga maandamano mkisikia jeshi linafanya usafi mnajikausha kama hamjui.
Uoga ndiyo utaikalisha ccm madarakani milele, siyo kwaajili akina halima kwenda bungeni.

Nawaunga mkono wavute mkwanja wa ubunge.
 
Ndani ya CHADEMA wote wana price tag wanachotofautia ni dau tu.

Huwa wanasikitisha sana wafuasi wao "vipofu" wanaoleta hekaya za ukombozi na blah blah kama hizo.
Kama namuona Lema huko ugenini alikogeuka mkimbizi anavyongata vidole kwa hasira
Hahahaha
 
Kuwa mfuasi wa chadema kunahitaji moyo maalumu
Hujui kesho chama kitakuja na tamko gani,chama kinaendeshwa kwa kutumia mapigo ya moyo badala katiba,sera na utamaduni
 
View attachment 1633810
hapa ni kabla njaa haijapanda kichwani
Hahahhaha.. Mtajua hamujui
Screenshot_20201124-174814_Twitter.jpg
 
Kwel usimpe dhamana mwanake , muda wowote wajuba wanamtongoza nakuingia kingi na kuanza usaliti
 
Wengi wenu mnaropoka na kucoment bila kubalance story,upande wa halima hamjui kitu,upande wa ccm hamjui lolote na upande wa chadema hamjui pia.
Hivi siku mkija kufahamu kuwa wabunge wa upinzani wote ni mapandikizi ya usalama mtaficha wapi sura,mkae kwa kutulia ccm ni chama makini na hakishindwi kitu.
 
Wengi wenu mnaropoka na kucont bula kubalance story,upande wa halima hamjui kitu,upande wa ccm hamjui lolote na upande wa chadema hamjui pia.
Hivi siku mkija kufahamu kuwa wabunge wa upinzani wote ni mapandikizi ya usalama mtaficha wapi sura,mkae kwa kutulia ccm ni chama makini na hakishindwi kitu.
Maccm yanavyojidaiaga uafisa kipeuo , yanaona bonge la kazi kumbe Ni mamesenja tu.
 
Wengi wenu mnaropoka na kucont bula kubalance story,upande wa halima hamjui kitu,upande wa ccm hamjui lolote na upande wa chadema hamjui pia.
Hivi siku mkija kufahamu kuwa wabunge wa upinzani wote ni mapandikizi ya usalama mtaficha wapi sura,mkae kwa kutulia ccm ni chama makini na hakishindwi kitu.
Chama makini kinaweza kufanya ujinga wa kutupa kilioufanya kwenye uchaguzi mkuu .
 
Habari wakuu,

Kutokana na Duru za siasa zinavyoendelea nchini Tanzania, Hasa kwa upande wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Huenda Wabunge wa Viti Maalum kutoka Chadema Ambao Wameenda Bungeni Dodoma leo kwa ajili ya kuapishwa kuwa Wabunge wa Viti maalum, WAKAFUKUZWA ndani ya chama.

Hili Ni nalisema kwamba huenda isifike 2024 Viongozi wakuu wa Chama wakafanya maamuzi magumu. Na Hili linaweza Kuwapa credentials CHADEMA lkn kusiwe na faida ktk suala la ruzuku. Yaan itapungua kuliko wangekuwepo hawa kina Mdee na Wenzake.
 
Hivi Kuna watu wapo msituni wananjia yao ya kuleta Tume mpya? Muda unakimbia Kama upepo walichofanya Hao kina Halima mdee nijambo la kupongezwa maana mwanzo walishaonyesha msimamo wao nasasa wapo kutekeleza jukumu la kikatiba huku wakitetea haki zao pale walipoona pamedhurumiwa maana hata kesi huwa zinachukua muda siyo Jambo la kufumba na kufumbua tayari limetokea.
 
Back
Top Bottom