Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,435
- 4,662
Kwa kususa kuingia bungeni pia hakuwezi kuitoa ccm madarakani.ccm itakaa ikulu milele endapo ujinga huu utaendelea chadema lakini siku mbowe akizeeka au hata kufariki akaja mwenyekiti mwenye msimamo asiyependa pesa mbele ndipo chadema itapiga hatua kimaendeleo
(utafakari upya uchaguzi wa mwaka huu)
Kuitoa ccm inahitajika umoja wa wananchi. Siyo mnapanga maandamano mkisikia jeshi linafanya usafi mnajikausha kama hamjui.
Uoga ndiyo utaikalisha ccm madarakani milele, siyo kwaajili akina halima kwenda bungeni.
Nawaunga mkono wavute mkwanja wa ubunge.