Ushauri: Hela ninazompa atunze zinakuwa pungufu bila maelezo ya kujitosheleza, nini kimejificha?

Ushauri: Hela ninazompa atunze zinakuwa pungufu bila maelezo ya kujitosheleza, nini kimejificha?

Head current

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
479
Reaction score
128
Heshima kwenu wana jamvi! Niende moja kwa moja kwenye mada husika,

Niliweka utaratibu kuwa kila siku nikirudi kazini nampa 10000 mwanamke wangu ambaye naishi nae na nilimkuta ana mtoto mdogo wa kiume mwenye kama miaka minne hivi na tunaishi wote watatu, hiyo hela haitumiwi hadi mwisho wa mwezi ambayo inakuwa 300k

Cha ajabu mwezi wa kwanza tunapiga hesabu nakuta 240k namuuliza ananiambia pacha wake alimwazima akampa, kumbuka hapo hakunishirikisha, nikakausha japo haikurudi.

Mwezi unaofuata katikati nikiwa kazini ananipigia simu na kuniambia sujui kuna chuma ulete humu ndani maana sioni hela na kuna 20tu, sikumjibu kitu nimerudi nyumbani, na kuoga, kula na kuingia kitandani alipokuja na kuanzisha ule mjadala. Nikamwambia kuanzia kesho sitakupa hela yeyote utunze zaidi ya kukupa hela ya kula, kusuka na Ziad, maana kuweka hela wewe naona huwezi.

Cha ajabu nipo zangu huku JF bado ananiomba game kama hamna kilichotokea, tuna miezi nae mitatu tangu tuanze kuishi wote, hela ya kula huwa naacha tena ya wiki, kusuka, sijui wifi, vyote najali je, wakuu mbele yetu mnaionaje?

Naombeni ushauri bila matusi, kebehi, tupo hapa kujifunza na kuelimishana! Karibuni wakuu.
 
Mwanamke na hela ni kama fisi kaona mbuzi...

Wewe umepanda miwa kwenye shamba la shule au unatumia mua kama mkongojo... Utamlaumu bure.

Kama kwenye vikoba wanakusanya hela zao na kugawana kama zilivyo unafikiri hawawezi kutunza ndani?

Hata sijui naandika nini...
 
Kwahio unamaanisha
Mwezi wa 1 alitunza 300k yote
Mwezi wa 2 alitunza 240k
Mwezi wa 3 ametunza 20k

Duh! Na vidume tunajitutumua + mahitaji yote unampa + show unapiga kibabe + ulimkuta ana mtoto.
Hebu mkuu soma uzi wa Robert mtibeli wanaume misukule
 
Unaoa mwanamke singo maza umemkosea nini kijana? Umelaaniwa au umerogwa..?
Nyie vijana wa sikuhizi tumieni akili ndogo hata ya kuvukia barabara... Mwanamke kama huyo hakufai hata kuwa mchepuko... Huyo anakutumia tu baada ya muda atakupiga tukio utatamani ufe na utaiona dunia chungu... Huna mwanamke hapo, huyo ni bogus.
 
☎☎☎Haki ya kufanya mapenzi na mkeo na sio malaya wala mchepuko☎☎☎

Mkuu yani mwezi wa kwanza Badala ya kukuta 300k akawa na 240k na mwezi uliofuata katikati ananiambia ana 20k zingine hazioni na alitakiwa kuwa na 150k eti anadhani kuna chuma ulete japo ile ya kwanza alisema pacha wake alimwazima maana ana pacha wake wa kike! Na japo alimpa bila kuniashirikisha
 
Heshima kwenu wana jamvi! Niende moja kwa moja kwenye mada husika,

Niliweka utaratibu kuwa kila siku nikirudi kazini nampa 10000 mwanamke wangu ambaye naishi nae na nilimkuta ana mtoto, mdogo wa kiume mwenye kama miaka minne hivi na tunaishi wote watatu,hiyo hela haitumiwi hadi mwisho wa mwezi ambayo inakuwa 300k

Cha ajabu mwezi wa kwanza tunapiga hesabu nakuta 240k namuuliza ananiambia pacha wake alimwazima akampa,kumbuka hapo hakunishirikisha,nikakausha japo haikurudi, mwezi unaofuata katikati nikiwa kazini ananipigia simu na kuniambia sujui kuna chuma ulete humu ndani maana sioni jela na kuna 20tu sikumjibu kitu nimerudi nyumbani, na kuoga, kula na kuingia kitandani alipokuja na kuanzisha ule mjadala nikamwambia kuanzia kesho sitakupa hela yeyote utunze zaidi y kukupa hela ya kula,kusuka na Ziad, maana kiweka hela wewe naona huwezi,

Cha ajabu nipo zangu huku JF bado ananiomba game km hamna kilichotokea, tuna miezi nae mitatu tangu tuanze kuishi wote, hela ya kula huwa naacha tena ya wiki, kusuka,sijui wi fi vyote najali je wakuu mbele yetu mnaionaje?

Naombeni ushauri bila matusi,kebehi, tupo hapa kujifunza na kuelimishana! Karibuni wakuu;

60,000/- sio issue msamehe
 
Mkuu yani mwezi wa kwanza Badala ya kukuta 300k akawa na 240k na mwezi uliofuata katikati ananiambia ana 20k zingine hazioni na alitakiwa kuwa na 150k eti anadhani kuna chuma ulete japo ile ya kwanza alisema pacha wake alimwazima maana ana pacha wake wa kike!
vipi mkuu wewe umemuamini?
 
Kumbuka ya pili hii mkuu? Mi nimeona nisamehe ila nisimpe hela atunze, nibaki kumtunza yeye tu!

Kweli bro sioni shida, puuzia, Maisha ya endelee Kaka, kuna wanawake pasua kichwa aisee, endelea kumpa hela, kichwani kusudia isipungue 250,000/- akitumia 50,000 muulize ila potezea, akidisha 50,000 leta balaa, ila usimwambie huu mkakati
 
Unaoa mwanamke singo maza umemkosea nini kijana? Umelaaniwa au umerogwa..?
Nyie vijana wa sikuhizi tumieni akili ndogo hata ya kuvukia barabara... Mwanamke kama huyo hakufai hata kuwa mchepuko... Huyo anakutumia tu baada ya muda atakupiga tukio utatamani ufe na utaiona dunia chungu... Huna mwanamke hapo, huyo ni bogus.
Mkuu bahati nzuri nami ni single father kwaiyo ngoma droo japo bado hatujaoana bado japo umetumia maneno makali chief
 
Kweli bro sioni shida, puuzia, Maisha ya endelee Kaka, kuna wanawake pasua kichwa aisee, endelea kumpa hela, kichwani kusudia isipungue 250,000/- akitumia 50,000 muulize ila potezea, akidisha 50,000 leta balaa, ila usimwambie huu mkakati
Pomoja sana mkuu!
 
Back
Top Bottom