Ushauri: Hela ninazompa atunze zinakuwa pungufu bila maelezo ya kujitosheleza, nini kimejificha?

Ushauri: Hela ninazompa atunze zinakuwa pungufu bila maelezo ya kujitosheleza, nini kimejificha?

Nimesoma maelezo yanasema, "nipo Jf huku bado ananiomba game, Kama vile hakijatokea kitu"

Naomba kueleweshwa.
Sasa mkuu ulitaka akununie wakati yeye yupo kimaslai kwako ili mtoto wale apate maisha bora, Mwanamke anaweza kukuonyesha ana furaha usoni na moyoni hana furaha.
 
Unaoa mwanamke singo maza umemkosea nini kijana? Umelaaniwa au umerogwa..?
Nyie vijana wa sikuhizi tumieni akili ndogo hata ya kuvukia barabara... Mwanamke kama huyo hakufai hata kuwa mchepuko... Huyo anakutumia tu baada ya muda atakupiga tukio utatamani ufe na utaiona dunia chungu... Huna mwanamke hapo, huyo ni bogus.
Hili neno la bogus ndo limenimaliza kwa kicheko 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umemuoa au sogea tuishi?
Atakuwa ana msupport mzazi mwenzake. Alafu unaoaje single mama ambae mzazi mwenzake yupo hai?
 
Back
Top Bottom