Ushauri: Hela ninazompa atunze zinakuwa pungufu bila maelezo ya kujitosheleza, nini kimejificha?

Ushauri: Hela ninazompa atunze zinakuwa pungufu bila maelezo ya kujitosheleza, nini kimejificha?

Mkuu acc ya benki nayo, ata kwenye simu nna acc hizo niliamua awe anatunza nyumbani tu
Mkuu acc ya benki nayo, ata kwenye simu nna acc hizo niliamua awe anatunza nyumbani tu
Kwa hiyo unaamini ngedere anaweza kukuchungia shamba lako la mahindi?
Jiunge na saccos au utt amis, pesa yako utaiona na itakupa faida kupitia riba na au mikopo
 
Mkuu yani mwezi wa kwanza Badala ya kukuta 300k akawa na 240k na mwezi uliofuata katikati ananiambia ana 20k zingine hazioni na alitakiwa kuwa na 150k eti anadhani kuna chuma ulete japo ile ya kwanza alisema pacha wake alimwazima maana ana pacha wake wa kike! Na japo alimpa bila kuniashirikisha
Sio kwa ubaya mie naomba namba ya huyo pacha wake plz
 
Unataka kuoa mtu mwenye akili na mawazo kama yako!! Yeye alikwambia yuko vizuri kwenye kutunza pesa, alisema uwe unampa pesa atunze? Au ni mawazo yako ila unataka doer awe mkeo??

Ndio yaleyale ya kumfungulia duka ambalo lipo akilini mwako na sio akilini mwake, mwisho akizingua unamuona kilaza wakati wewe ndie unalazimisha afit kwenye mawazo yako ambayo hawezi kuyamudu ama la sio vitu vyake.

Take it as her weakness, hawezi kutunza pesa na sio kila mtu anaweza.
 
Back
Top Bottom