Ushauri: Hela ninazompa atunze zinakuwa pungufu bila maelezo ya kujitosheleza, nini kimejificha?

Piga mimba za fasta fasta utakuja kunishukuru. Unakaa na mwanamke miezi miwili na zaidi na bado hashiki mimba si anamuona wewe poyoyo na hujielewi na mwendelezo nae ndo maana anakufanyia hivo.
 
Heshima kwenu wana jamvi! Niende moja kwa moja kwenye mada husika,

Niliweka utaratibu kuwa kila siku nikirudi kazini nampa 10000 mwanamke wangu ambaye naishi nae na nilimkuta ana mtoto, mdogo wa kiume mwenye kama miaka minne hivi na tunaishi wote watatu,hiyo hela haitumiwi hadi mwisho wa mwezi ambayo inakuwa 300k

Cha ajabu mwezi wa kwanza tunapiga hesabu nakuta 240k namuuliza ananiambia pacha wake alimwazima akampa,kumbuka hapo hakunishirikisha,nikakausha japo haikurudi, mwezi unaofuata katikati nikiwa kazini ananipigia simu na kuniambia sujui kuna chuma ulete humu ndani maana sioni jela na kuna 20tu sikumjibu kitu nimerudi nyumbani, na kuoga, kula na kuingia kitandani alipokuja na kuanzisha ule mjadala nikamwambia kuanzia kesho sitakupa hela yeyote utunze zaidi y kukupa hela ya kula,kusuka na Ziad, maana kiweka hela wewe naona huwezi,

Cha ajabu nipo zangu huku JF bado ananiomba game km hamna kilichotokea, tuna miezi nae mitatu tangu tuanze kuishi wote, hela ya kula huwa naacha tena ya wiki, kusuka,sijui wi fi vyote najali je wakuu mbele yetu mnaionaje?

Naombeni ushauri bila matusi,kebehi, tupo hapa kujifunza na kuelimishana! Karibuni wakuu;
Popoma wahedi. Kwani mkeo ni benki? Fungua akaunti benki, tunza mipesa yako huko.
 
Yani kila siku una uwezo wa kupata 10k na zaidi alaf unasema unapata hela kwa kusota
Maybe........
Mkuu unaweza kuwa kila siku unaingiza 50000 na ikawa ni kwa msoto au unapata kirahisi lkn majukumu ni mengi apo ikipungua hata 1000 bila sbb ya msingi utaumia
 
Heshima kwenu wana jamvi! Niende moja kwa moja kwenye mada husika,

Niliweka utaratibu kuwa kila siku nikirudi kazini nampa 10000 mwanamke wangu ambaye naishi nae na nilimkuta ana mtoto, mdogo wa kiume mwenye kama miaka minne hivi na tunaishi wote watatu,hiyo hela haitumiwi hadi mwisho wa mwezi ambayo inakuwa 300k

Cha ajabu mwezi wa kwanza tunapiga hesabu nakuta 240k namuuliza ananiambia pacha wake alimwazima akampa,kumbuka hapo hakunishirikisha,nikakausha japo haikurudi, mwezi unaofuata katikati nikiwa kazini ananipigia simu na kuniambia sujui kuna chuma ulete humu ndani maana sioni jela na kuna 20tu sikumjibu kitu nimerudi nyumbani, na kuoga, kula na kuingia kitandani alipokuja na kuanzisha ule mjadala nikamwambia kuanzia kesho sitakupa hela yeyote utunze zaidi y kukupa hela ya kula,kusuka na Ziad, maana kiweka hela wewe naona huwezi,

Cha ajabu nipo zangu huku JF bado ananiomba game km hamna kilichotokea, tuna miezi nae mitatu tangu tuanze kuishi wote, hela ya kula huwa naacha tena ya wiki, kusuka,sijui wi fi vyote najali je wakuu mbele yetu mnaionaje?

Naombeni ushauri bila matusi,kebehi, tupo hapa kujifunza na kuelimishana! Karibuni wakuu;
Pole Mkuu nasubir feedback ya Aziz Ki nitajumuisha na yako
 
Back
Top Bottom