Ushauri: Hela ninazompa atunze zinakuwa pungufu bila maelezo ya kujitosheleza, nini kimejificha?

Mkuu acc ya benki nayo, ata kwenye simu nna acc hizo niliamua awe anatunza nyumbani tu
Mkuu acc ya benki nayo, ata kwenye simu nna acc hizo niliamua awe anatunza nyumbani tu
Kwa hiyo unaamini ngedere anaweza kukuchungia shamba lako la mahindi?
Jiunge na saccos au utt amis, pesa yako utaiona na itakupa faida kupitia riba na au mikopo
 
Sio kwa ubaya mie naomba namba ya huyo pacha wake plz
 
Unataka kuoa mtu mwenye akili na mawazo kama yako!! Yeye alikwambia yuko vizuri kwenye kutunza pesa, alisema uwe unampa pesa atunze? Au ni mawazo yako ila unataka doer awe mkeo??

Ndio yaleyale ya kumfungulia duka ambalo lipo akilini mwako na sio akilini mwake, mwisho akizingua unamuona kilaza wakati wewe ndie unalazimisha afit kwenye mawazo yako ambayo hawezi kuyamudu ama la sio vitu vyake.

Take it as her weakness, hawezi kutunza pesa na sio kila mtu anaweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…