Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Tunataka jeshi liwe la kisayansi, sio la kisiasa. Kwa sasa jeshi ni jumuiya ya sisiyemuYaani mnataka mtu atoke kwenye mentality ya kufanya huduma ya cuttering, kujenga fremu za maduka mpaka kutengeneza makombora kama North Korea? View attachment 2742850
Linauza hadi bagia?Nenda misri kajionee jeshi lao lilivyoshika uchumi
Sooon wataanza na kuuza sare zao .Brand yao ya maji sijui iliishia wapi, wana hadi Pharmacy ya Wholesale Mwenge..
Jeshi na Biashara za uchuuzi..
Tusubiri tuone....
Hawawezi, unaenda kufundishwa kuvunja matofali kwa technolojia ya leo sijui utampigaje adui yupo umbali wa 800KM kwa tofali, pia wengi ni failure siyo rahisi kuwa na ubunifuJKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk
Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na kiteknolojia inajikita kwenye biashara za kiraia?
Ugunduzi wa Internet na teknolojia nyingine nyingi umefanyika ndani ya majeshi. Sisi jeshi letu ambalo ni la sita duniani na halijawahi hata kujitengenezea kijiko cha kulia askari wake linafqnya biashara za kiraia ili ligundue nini?
Majeshi ya nchi nyingine yana vision za kusaidia nchi zao, jeshi letu hela zinazopatokana kwenye biashara zinaingia kwenye bajeti ipi wakati bajeti ya jeshi kwa asilimia 100 iko funded na serikali?
Zamani pale Kibaha kwa Mathias waliweza kubuni gari waliloliita NYUMBU. Ubunifu huo ulikomea wapi? Kwanini hamna muendelezo?
Haya yote ni matokeo ya jeshi kuwa la kisiasa zaidi badala ya kuwa taasisi inayojitegemea.
Bila kubadika jeshi letu litaendelea kujiita ni jeshi imara la sita duniani ili hali linatumia zana mtumba, teknolojia mtumba na akili mtumba.
Jeshi la Misri linafanya biashara hadi ya mikateJKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk
Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na kiteknolojia inajikita kwenye biashara za kiraia?
Ugunduzi wa Internet na teknolojia nyingine nyingi umefanyika ndani ya majeshi. Sisi jeshi letu ambalo ni la sita duniani na halijawahi hata kujitengenezea kijiko cha kulia askari wake linafqnya biashara za kiraia ili ligundue nini?
Majeshi ya nchi nyingine yana vision za kusaidia nchi zao, jeshi letu hela zinazopatokana kwenye biashara zinaingia kwenye bajeti ipi wakati bajeti ya jeshi kwa asilimia 100 iko funded na serikali?
Zamani pale Kibaha kwa Mathias waliweza kubuni gari waliloliita NYUMBU. Ubunifu huo ulikomea wapi? Kwanini hamna muendelezo?
Haya yote ni matokeo ya jeshi kuwa la kisiasa zaidi badala ya kuwa taasisi inayojitegemea.
Bila kubadika jeshi letu litaendelea kujiita ni jeshi imara la sita duniani ili hali linatumia zana mtumba, teknolojia mtumba na akili mtumba.
Hakuna la maana wanafanyaItawezekana kama chama cha majumbazi wakiachia mpini..
Wanajeda kusema za kweli tunawalipa mishahara ya bure
jeshi la Rwanda ni mfanya biashara mkubwa nchini humo.JKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk
Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na kiteknolojia inajikita kwenye biashara za kiraia?
Ugunduzi wa Internet na teknolojia nyingine nyingi umefanyika ndani ya majeshi. Sisi jeshi letu ambalo ni la sita duniani na halijawahi hata kujitengenezea kijiko cha kulia askari wake linafqnya biashara za kiraia ili ligundue nini?
Majeshi ya nchi nyingine yana vision za kusaidia nchi zao, jeshi letu hela zinazopatokana kwenye biashara zinaingia kwenye bajeti ipi wakati bajeti ya jeshi kwa asilimia 100 iko funded na serikali?
Zamani pale Kibaha kwa Mathias waliweza kubuni gari waliloliita NYUMBU. Ubunifu huo ulikomea wapi? Kwanini hamna muendelezo?
Haya yote ni matokeo ya jeshi kuwa la kisiasa zaidi badala ya kuwa taasisi inayojitegemea.
Bila kubadika jeshi letu litaendelea kujiita ni jeshi imara la sita duniani ili hali linatumia zana mtumba, teknolojia mtumba na akili mtumba.
Hapa Africa jeshi linalo ongoza kwa kufanya biashara (mult billion dollars) ni Egypt wana makampuni makubwa ya ujenzi, viwanda vikubwa na vya kisasa. Alivianzisha Nasser na Baba wa Taifa alijaribu kuchukua ideas hizo kwa kuanzisha vitu kama Mzinga corporation na Nyumbu.JKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk
Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na kiteknolojia inajikita kwenye biashara za kiraia?
Ugunduzi wa Internet na teknolojia nyingine nyingi umefanyika ndani ya majeshi. Sisi jeshi letu ambalo ni la sita duniani na halijawahi hata kujitengenezea kijiko cha kulia askari wake linafqnya biashara za kiraia ili ligundue nini?
Majeshi ya nchi nyingine yana vision za kusaidia nchi zao, jeshi letu hela zinazopatokana kwenye biashara zinaingia kwenye bajeti ipi wakati bajeti ya jeshi kwa asilimia 100 iko funded na serikali?
Zamani pale Kibaha kwa Mathias waliweza kubuni gari waliloliita NYUMBU. Ubunifu huo ulikomea wapi? Kwanini hamna muendelezo?
Haya yote ni matokeo ya jeshi kuwa la kisiasa zaidi badala ya kuwa taasisi inayojitegemea.
Bila kubadika jeshi letu litaendelea kujiita ni jeshi imara la sita duniani ili hali linatumia zana mtumba, teknolojia mtumba na akili mtumba.
Una uhakika kwamba wana ugunduzi wowote Hadi useme vingine ni siriUna uhakika gan hawagundui
Vitu vingine ni siri sio kuona kwenye whatasp .
Amani ikitoweka kutokana na adui wa nje ndiyo Utajua tuna jeshi. Tunaandika haya kwa amani sababu jeshi pamoja na mapungufu yake lipo lina fanya kazi yake ya msingiHivi na sisi tuna JESHI kweli??????
JESHI LA KIZAMANI MNO.
Kazi ya JKT ni pamoja na uzaliashaji maliJKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk
Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na kiteknolojia inajikita kwenye biashara za kiraia?
Ugunduzi wa Internet na teknolojia nyingine nyingi umefanyika ndani ya majeshi. Sisi jeshi letu ambalo ni la sita duniani na halijawahi hata kujitengenezea kijiko cha kulia askari wake linafqnya biashara za kiraia ili ligundue nini?
Majeshi ya nchi nyingine yana vision za kusaidia nchi zao, jeshi letu hela zinazopatokana kwenye biashara zinaingia kwenye bajeti ipi wakati bajeti ya jeshi kwa asilimia 100 iko funded na serikali?
Zamani pale Kibaha kwa Mathias waliweza kubuni gari waliloliita NYUMBU. Ubunifu huo ulikomea wapi? Kwanini hamna muendelezo?
Haya yote ni matokeo ya jeshi kuwa la kisiasa zaidi badala ya kuwa taasisi inayojitegemea.
Bila kubadika jeshi letu litaendelea kujiita ni jeshi imara la sita duniani ili hali linatumia zana mtumba, teknolojia mtumba na akili mtumba.
Ama kweli kukosa kazi ni kazi tosha🤣🤣🤣Ngoja wamalize kwanza operesheni saka magwanda nyumba kwa nyumba
Kampuni mama ya Halotel, Vietel inamilikiwa na Jeshi la Vietnam.JKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk
Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na kiteknolojia inajikita kwenye biashara za kiraia?
Ugunduzi wa Internet na teknolojia nyingine nyingi umefanyika ndani ya majeshi. Sisi jeshi letu ambalo ni la sita duniani na halijawahi hata kujitengenezea kijiko cha kulia askari wake linafqnya biashara za kiraia ili ligundue nini?
Majeshi ya nchi nyingine yana vision za kusaidia nchi zao, jeshi letu hela zinazopatokana kwenye biashara zinaingia kwenye bajeti ipi wakati bajeti ya jeshi kwa asilimia 100 iko funded na serikali?
Zamani pale Kibaha kwa Mathias waliweza kubuni gari waliloliita NYUMBU. Ubunifu huo ulikomea wapi? Kwanini hamna muendelezo?
Haya yote ni matokeo ya jeshi kuwa la kisiasa zaidi badala ya kuwa taasisi inayojitegemea.
Bila kubadika jeshi letu litaendelea kujiita ni jeshi imara la sita duniani ili hali linatumia zana mtumba, teknolojia mtumba na akili mtumba.
Wewe ni mpuuzi sana kule Kuna Kila aina ya taaluma iliyopo uraiani,sasa unataka wote wawe na digrii ile iweje,Kuna taaluma ya kijeshiSELIKALI Inapoteza ma BILIONI na Hawa wapuuzi wasioenda shule
Ujafika Rwanda weweIla kukamata watu kisa nguo zao ni ushamba mkubwa nenda Rwanda, uganda kenya na hata huko USA wananchi wanavaa nguo za jeshi bila shida
Mambo ya kuzuia raia kuvaa nguo za jeshi ni medieval ideas. Je kuna sababu zote za kuzuia mtu kuvaa nguo za jeshi?Ujafika Rwanda wewe
Dunia inabadilika unaijua viatel/halotel basi ni biashara ya jeshi.Sioni tatizo kwa jeshi kujikita katika biashara na uwekezaji kwani unasaidia kuziba pengo la vijana wavivu wavivuJKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk