Siyo lazima kukopy kila kitu. Kumbuka vita ni pesa bila hela utapigana vita ya nani??? Achq jeshi wawe na ukwasi hizo silaha watajifadhili wenyewe kubuni hivyo vitu.Hapa sijui Lucas mwashambwa, FaizaFoxy, the bug show, Pascal Mayalla, johnthebaptist , ChawaWaMama, chawa wa mama, jingalao, thetallest na wapumbavu wengine watatetea nini?
Jeshi liache siasa na biashara, lifanye shughuli za kijeshi.
Dunia ina nchi 195,umepitia majeshi yake yote kujua kama hayafanyi biashara.Mi sioni ubaya jeshi kuhudumia wananchi.Hospital za jeshi zimesaidia sana especial maeneo yenye uhaba.Sioni madhara yoyote wakimiliki hizo bar au vituo vya mafuta sababu hawalazimishi watu kununua kwao na hawajaacha kufanya kazi zao sababu ya hzo biashara.Pia ikumbukwe kuna kipindi wafanyabiashara maraia hugomaga au madaktari hugomaga pia.Kimbilio linakuwaga jeshini.JKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk
Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na kiteknolojia inajikita kwenye biashara za kiraia?
Ugunduzi wa Internet na teknolojia nyingine nyingi umefanyika ndani ya majeshi. Sisi jeshi letu ambalo ni la sita duniani na halijawahi hata kujitengenezea kijiko cha kulia askari wake linafqnya biashara za kiraia ili ligundue nini?
Majeshi ya nchi nyingine yana vision za kusaidia nchi zao, jeshi letu hela zinazopatokana kwenye biashara zinaingia kwenye bajeti ipi wakati bajeti ya jeshi kwa asilimia 100 iko funded na serikali?
Zamani pale Kibaha kwa Mathias waliweza kubuni gari waliloliita NYUMBU. Ubunifu huo ulikomea wapi? Kwanini hamna muendelezo?
Haya yote ni matokeo ya jeshi kuwa la kisiasa zaidi badala ya kuwa taasisi inayojitegemea.
Bila kubadika jeshi letu litaendelea kujiita ni jeshi imara la sita duniani ili hali linatumia zana mtumba, teknolojia mtumba na akili mtumba.
Juzi JCCMTZ wamebuni kutafuta sare,wakati wenzao nchi nyingine wanadeal na mafisadi wao wanatafuta sare ajabu sana.JKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk
Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na kiteknolojia inajikita kwenye biashara za kiraia?
Ugunduzi wa Internet na teknolojia nyingine nyingi umefanyika ndani ya majeshi. Sisi jeshi letu ambalo ni la sita duniani na halijawahi hata kujitengenezea kijiko cha kulia askari wake linafqnya biashara za kiraia ili ligundue nini?
Majeshi ya nchi nyingine yana vision za kusaidia nchi zao, jeshi letu hela zinazopatokana kwenye biashara zinaingia kwenye bajeti ipi wakati bajeti ya jeshi kwa asilimia 100 iko funded na serikali?
Zamani pale Kibaha kwa Mathias waliweza kubuni gari waliloliita NYUMBU. Ubunifu huo ulikomea wapi? Kwanini hamna muendelezo?
Haya yote ni matokeo ya jeshi kuwa la kisiasa zaidi badala ya kuwa taasisi inayojitegemea.
Bila kubadika jeshi letu litaendelea kujiita ni jeshi imara la sita duniani ili hali linatumia zana mtumba, teknolojia mtumba na akili mtumba.
Inaitwa Uhuru Peak, wana kiwanda chao Mgulani.
Hata hao wanajeshi ukikutana nao hawana time na wewe wanajuana wao kwa wao na especially wakiwa kundi moja maana wana kawaida ya kupangwa kimakundi makundiNikiangalia komenti nyingi humo za kuliponda jeshi letu unaweza shawishika kuwa hawa vijana labda wamejiunga wanazalisha na kutengeneza vitu vipya lakini utakapo kutana nao unaweza shangaa vocha wanaomba,wakiamka hawajui wanakoelekea na wengine wanatafuta network za siasa tu.Tusaidie taifa kwa kuchapa kazi inamaana zaidi kuliko kupiga tu domo na kejeli za kijinga kwenye taasisi inayoheshimika
Na akishamaliza anaviacha huko huko hakuna anaerudi na majembeYani ndio maama tunaota mvi bado wadogo sana kuna vitu vinakera sana yani JKT pamoja na mamiradi yote wameshindwa hata wanunulia vijana wetu majembe, uko makambini eti mtoto aende na jembe lake truck suti zake, short Pepsi yake
Wanatuona wajinga sana Raia ngoja sasa tuanze kuwa tunahoji na kuanika mambo yao maana wanakula kodi zetu pesa wanazopata zinaenda wapiNa akishamaliza anaviacha huko huko hakuna anaerudi na majembe
La sita duaniani?JKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk
Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na kiteknolojia inajikita kwenye biashara za kiraia?
Ugunduzi wa Internet na teknolojia nyingine nyingi umefanyika ndani ya majeshi. Sisi jeshi letu ambalo ni la sita duniani na halijawahi hata kujitengenezea kijiko cha kulia askari wake linafqnya biashara za kiraia ili ligundue nini?
Majeshi ya nchi nyingine yana vision za kusaidia nchi zao, jeshi letu hela zinazopatokana kwenye biashara zinaingia kwenye bajeti ipi wakati bajeti ya jeshi kwa asilimia 100 iko funded na serikali?
Zamani pale Kibaha kwa Mathias waliweza kubuni gari waliloliita NYUMBU. Ubunifu huo ulikomea wapi? Kwanini hamna muendelezo?
Haya yote ni matokeo ya jeshi kuwa la kisiasa zaidi badala ya kuwa taasisi inayojitegemea.
Bila kubadika jeshi letu litaendelea kujiita ni jeshi imara la sita duniani ili hali linatumia zana mtumba, teknolojia mtumba na akili mtumba.
1. Kiituo cha mafuta (JKT Suma Fuel Station)JKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk
Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na kiteknolojia inajikita kwenye biashara za kiraia?
Ugunduzi wa Internet na teknolojia nyingine nyingi umefanyika ndani ya majeshi. Sisi jeshi letu ambalo ni la sita duniani na halijawahi hata kujitengenezea kijiko cha kulia askari wake linafqnya biashara za kiraia ili ligundue nini?
Majeshi ya nchi nyingine yana vision za kusaidia nchi zao, jeshi letu hela zinazopatokana kwenye biashara zinaingia kwenye bajeti ipi wakati bajeti ya jeshi kwa asilimia 100 iko funded na serikali?
Zamani pale Kibaha kwa Mathias waliweza kubuni gari waliloliita NYUMBU. Ubunifu huo ulikomea wapi? Kwanini hamna muendelezo?
Haya yote ni matokeo ya jeshi kuwa la kisiasa zaidi badala ya kuwa taasisi inayojitegemea.
Bila kubadika jeshi letu litaendelea kujiita ni jeshi imara la sita duniani ili hali linatumia zana mtumba, teknolojia mtumba na akili mtumba.
🤣🤣🤣Ugunduzi wa Internet na teknolojia nyingine nyingi umefanyika ndani ya majeshi. Sisi jeshi letu ambalo ni la sita duniani na halijawahi hata kujitengenezea kijiko cha kulia askari wake linafqnya biashara za kiraia ili ligundue nini?
Wenzao wa India sasa hivi wanajiandaa kupeleka chombo chao kwenye JUA (sun), hawa wa kwetu wao mission yao ni kusaka mavazi yanayofanana na sare zao kwa raia!!JKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk
Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na kiteknolojia inajikita kwenye biashara za kiraia?
Ugunduzi wa Internet na teknolojia nyingine nyingi umefanyika ndani ya majeshi. Sisi jeshi letu ambalo ni la sita duniani na halijawahi hata kujitengenezea kijiko cha kulia askari wake linafqnya biashara za kiraia ili ligundue nini?
Majeshi ya nchi nyingine yana vision za kusaidia nchi zao, jeshi letu hela zinazopatokana kwenye biashara zinaingia kwenye bajeti ipi wakati bajeti ya jeshi kwa asilimia 100 iko funded na serikali?
Zamani pale Kibaha kwa Mathias waliweza kubuni gari waliloliita NYUMBU. Ubunifu huo ulikomea wapi? Kwanini hamna muendelezo?
Haya yote ni matokeo ya jeshi kuwa la kisiasa zaidi badala ya kuwa taasisi inayojitegemea.
Bila kubadika jeshi letu litaendelea kujiita ni jeshi imara la sita duniani ili hali linatumia zana mtumba, teknolojia mtumba na akili mtumba.
Kwamba wanatengeneza artillery shells?Kuna shughuli za uzalishaji wa silaha zinafanyika hapa nchi na hao wajeshi.
Ni zaidi ya miaka 10 sasa. Sema kuna mambo inabidi wayaache.
Issue ya cattering, usafi, ulinzi (suma JK) ni kama upigaji wa wakubwa na serikali imewaachia ili wajisahau wasije kuleta usumbufu
Kwani kuna ubaya wakijenga?Na ss hv wanajenga na frem za biashara karibu na Kambi zao ,mf lugalo mwenge
Kwa majeshi yaliyoajiri kwenye akiliKwa baadhi ya nchi teknolojia nyingi zinaanzia jeshini kisha zinakuja uraiani