USHAURI:Kama namna naweza kuzuia na hali hii

Una mapepo njoo nikupe upako bure
 
Una shida ya Post Traumatic Stress Disorder.
People with PTSD have intense, disturbing thoughts and feelings related to their experience that last long after the traumatic event has ended
😃😃😅 alafu hayo yote chanzo ni Dini / imani yake.
 
Kwa sisi tunaoamini katika MWENYEZI MUNGU tunaamini mwenyezi Mungu hamuonei wala habagui mtu na kila kinachoendelea katika maisha yako ni QADARI . QADARI ndio kheri kwako ko unapolikosa jambo ndio kheri kwako ikiwa kama si uzembe wako na unapolipata jambo ndio kheri kwako ikiwa kama si dhuluma kwako.

Nahisi kama nimeongea vitendawili sana kama hutaelewa ruhuksa kuniuliza.

By the way acha ZINAA MUOGPE MOLA WAKO mbwa ww
 
Nimeshasomewa mara kadhaa walihis Nina iyoshida
 
Na Mimi naamini hivo ndo maana sikulazimisha jambo hili
Dah😀mbwa Mimi nimekuelewa
 
Una shida ya Post Traumatic Stress Disorder.
People with PTSD have intense, disturbing thoughts and feelings related to their experience that last long after the traumatic event has ended
Hali hii insondokaje pia hasira vitu vidogo kwenye mahusiano vinanikwaza sana lkn kwenye maisha ya kawaida hunikuti nimefanyiwa jambo nikakasirika Kwa kiwango hiko hta Liwe kubwa vipi
 
Dah[emoji3]mbwa Mimi nimekuelewa
"Hakika mwenyezi Mungu habadirishi yaliyo katika umma mpaka wabadirishe yaliyo katika vifua vyao".. ukitaka matokeo tofauti fikiria tofauti fanya tofauti na ambatana na watu tofauti. Namaanisha ukitaka Mungu akuongoze lazima ubadirike kuanzia fikra hadi matendo. Sasa we bado una kabwana afu unatafuta mchawi kwanini hutaki kuolewa?[emoji24][emoji24] Acha zinaa piga chini wanaume wote uishi mwenyewe mwaka uone kama hutajikuta kwa mumeo tena kwa ndoa ya faster " CHEZEA UPWIRU WEWE"
 
😀Dah sawa
Lakini sidhani kama nimesema sitaki pia hata Hao niloelezea Sina mahusiano nao japo tunafahamiana mwanaume ninae mmoja tu sikatai ila kuwa single naona nijaribu Tena mwakani
 
Kwenye maisha lazima usonge mbele, You must move on
sahau na samehe/jifunze
hatukuja duniani kunung'unika tumekuja kufurahua maisha.
Kuwa positive.. That's all
 
Mungu huwa anasema nasi kupitia kwa matukio, watu, na kadhalika.
Especially juu ya ndoa mara nyingi ukiona ndugu wamkataa mtu jua si halali yako,wapo waliolazimisha wakaenda kuzisoma namba, shukuru Mungu, futa machozi songa mbele, fungua milango kwa opportunity nyingine.
 
Pole tu, jijengee uwezo au hali ya kuingia katika Mahusiano na watu wa imani yako sio ubaguzi ila jijengee hio hali hutopata shida tena.

Mfano mimi si mdini ila nina nina wasiliana na wakaka wa kiislamu ka waeili na hao ni rafiki mno na ni ngumu kua nao katika mahusiano, si ubaguzi ila ndo nimejijengea hio hali

Kuhusu hasira jitahidi uji control pia swali Angalia viti positive kama tamthlia basi plot iwe na positivity sio hizi za kutisha na horror na mikanda ya kusikitisha
 
Shukrani nimelikubali hili nitajitahid inawezekana itakuwa sikuliacha Kwa asilimia zote nitajitahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…