USHAURI:Kama namna naweza kuzuia na hali hii

USHAURI:Kama namna naweza kuzuia na hali hii

Suala la kiiman kidgo tu mlikosesha rafiki yangu wa karibu mke kisa tu baba wa Binti, yaani muoaji na muolewaji walikuwa Wana ile true love, kitu tulifanya yule mzee hatakaa asahau, ila mpaka Leo jamaa yangu Yuko na huyo Binti kama mke halali na Sasa ivi wamepata mtoto fully aman na maisha yanaendelea kwa furaha baina yao
 
Kuhusu hasira sana huenda una matatizo ya afya ya akili yaliyosababishwa na hali unayopitia.
Waone wataalamu wa afya ya akili watakusaidia.
Jaribu onana na wanasaikolojia uwaeleze huenda wakakusaidia.

Au jaribu omba kwa imani yako

*Usiolewe na asiye wa imani yako
💯
 
Back
Top Bottom