Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
- Thread starter
- #161
Asante BabuPole sana Mkuu, I feel your pain ๐ข
Mambo ya Imani huhitaji watu wenye ujasiri kuyashinda, Waziri Mkuu wetu ni Muislamu lakini ameoa Mkatoriki. Wapo wengine wengi, jaribu kufuata moyo wako unachoona kinafaa.
Kila la kheri Mjukuu