Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni muda mrefu mwenyew niliona nitakuwa sawa kukaa bila uhusiano nayo ni changamoto sababu nami binadamu ujuePole sana...jipe muda usiingie kwenye mahusiano na yeyote kwa sasa, mpaka utakapo kuwa sawa...
inaonekana kuna vitu bado haujavisahau.
😍😍😍Bora mliachana tena shukur sana Mungu wako,hakuna ndoa yenye amani Wala kudumu ya watu wa iman mbili tofauti..hakuna!!
Tafuta wa iman Yako muoane,uyo ata kama msingeachana hapo awali,,ndoani mngeachana tu..coz miungu miwili haiwezi hata siku Moja kuish pamoja lazima Kila mmoja atataka mwenzake amfate yy.😂😂😂
💯You need to move on because life is too short to be discouraged. Usiwe na hofu ya kumpoteza uliyempenda huwezi jua Mungu amekuepusha na nini??
💯Pole sana Aaliyyah
Kukataliwa kwa mara ya kwanza ndiyo chanzo cha haya yote. Na kukataliwa huko kuliambatana na jambo ambalo halikuwa na msingi wowote. Unaamini mlipaswa kuunganishwa na upendo baina yenu kuliko imani zenu. Kuachana kwenu kulichagizwa na mvutano wa nje, wala si maamuzi yenu binafsi.
Ukweli ni kuwa (hata kama utakataa hapa jukwaani), ulikuwa tayari kuufata upande wake ili kulinawirisha penzi lenu. Ukweli ni kuwa, hujapata mbadala wa kumpenda kama ambavyo ulimpenda mpenzi wako wa kwanza.
Hali hii inakuathiri na unapaswa kufanya yafuatayo;
1. Acha kufikiria kukataliwa kwa mchumba wako wa mara ya kwanza. Kubali kuwa, mmeachana na kamwe hamtokuwa pamoja.
2. Jiaminishe kuwa ndugu zako wana mapenzi mema zaidi kwako na wala hawakukataa kwa hila. Jikoleze kwa kufikiri kuwa familia inayojengwa kwa misingi ya imani mbili tofauti ina migogoro mingi. Aminisha nafsi yako kuwa imani yako ndiyo sahihi na nguzo katika ukuaji wa familia imara hapo mbeleni.
3. Usimlinganishe mpenzi wako wa sasa na aliyepita, vivyo hivyo kwa mapokeo ya nduguzo. Amini ya kuwa sasa huyu atapokelewa na hatua zaidi zitafuata.
4. Thubutu kumtambulisha mchumba wako wa sasa. Anza kwa rafiki zako kisha ndugu wa karibu kama kaka na dada. Sikilizia muitikio wao. Utakupa nguvu ya kumruhusu kwenda nyumbani. Zaidi, kubali wewe ukatambulishwe kwanza na hiyo itakupa msukumo wa wewe kumpeleka nyumbani.
5. Waza kuwa na familia. Jiaminishe ni wakati sahihi wa kuwa na mwenza na hata kupata watoto. Hii itakusukuma kuanza taratibu, kutambulisha ikitangulia.
6. Muombe Mungu kwa imani yako akupe wepesi na nguvu ya kuliendea jambo hili bila hofu yeyote.
7. Nikutakie kila la kheri na amini umeshafanikisha. Mungu akutangulie.
Una ugonjwa wa afya ya akili jitahidi utibu hilo kwanza.. hujakubali kuliachia hilo jambo la kwanza ndio maana linakutesaNatumaini wazima
Naomba niwashirikishe hili jambo linanisumbua sana
Miaka ya nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na kijana mmoja tulikuwa tunapendana sana,nilikuwa Niko chuo nae alikuwa anafnya kazi kwenye private sector tulivumiliana baadae nikamaliza nae akapata kazi serikalini tukaanza kuweka mipango ya Kuishi pamoja akanitambulisha Kwa ndugu zake familia Ile ilinipenda sana nae akatuma watu waje kwetu kijitambulisha hatua zingine zifate wakat huo Mimi nilikuwa sijapata kazi Bado
Kilichotokea familia yangu ikakataa kupokea mahali kwasabbu ya utofaut wa kiimani wakasema watupe mda tujadiliane namna gani tutaoana Lilikuwa jambo gumu sana kulielewa,nakumbuka Ilikuwa mara kwanza kwenye maishayangu kuliq barabarani 😭
nanhata nduguzake hasa babaake alikuwa mkali mno hakuridhika na maamuzi yale mzozo ukaanza mwisho ukaibuka ugomvi uliodumu Kwa muda
Baada ya mwez hivi Mpenz wangu akapata ajali ya gari lakn hakuumia sana,ikaonekana sabbu alikuwa na stress, ugomvi ukaanza upya hakuna alietaka kumuelewa mwenzie kati ya familia zetu finally tukaamua tuvunje mahusiano.
Tangu wkat huo ni miaka mingi imepita kilamtu akaamua Kuishi maishayake lakini baadhi ya nduguzake Bado walikuwa wananisupprt sana hasa dadazake
Kwa upandewangu
Sijawahi Tena kukubali mwanaume aje kunichumbia kwetu licha ya kuwa nimekuwa na mahusiano mar kadhaa Nina uoga kupita kiasi na marazote ikitokea najihis kukosa amani kabisa
Kuna wakati napuuzia mawazo yangu lakini akitokea mtu kwaajili ya Hilo napata presha mno na naweza nikapata hata homa nikianza kufikiria kumruhusu mtu awe mchumba then tuonane
Nikaamua nijipe mda wa miez sita nichange akiliyangu lakin kusema ndio hata kwa nilienae kwenye mahusiano nimekuwa siwez napiga tu kalenda mwisho tunaishia kugombana na kuachana
Sijawahi chagua wanaume maybe wa hali flani sabbu mm mwenyew nimezaliwa kwenye familia ya kawaida tu lkni linanishinda
Kiukweli nakutana na wanaume wema na wenye Nia ya dhati kabisa na nilifikiria Sion kasoro zao lakni nimekuwaje sijui Nina uoga Nina presha ambayo nashindwa kuimanage
Kunawkat nafikiria kuhus familia na naamini sana kuwa ndoa ni kitu kizuri likija sualla likija mezani hali inabadilika kabisa Kilasiku nasema kesho
Pia nimekuwa mtu wa hasira sana Kwa vitu vidogo Yani naweza kukasirishwa na kitu ambacho badae nikifikiria Huwa sioni sabbu ya kwanini nilikuwa na hasira nacho lakin Inakuwa imeshatokea hili nalo linanitesa sana
Sina mahusiano Tena na yule wa mwanzo kilamtu na maishayake Kwa Sasa
Hebu mnisaidie mdogowenu
NB,naomba nishauriwe Kwa staha pia sitafuti mume,
Madam pole, BADO tatizo unalo mpaka sasa?Nimeshasomewa mara kadhaa walihis Nina iyoshida
Mtafute wa mwanzo mwambie muhame mji mkaanze kwingine maisha!!Natumaini wazima

But atleast jaribu kusahau yalopitaNi muda mrefu mwenyew niliona nitakuwa sawa kukaa bila uhusiano nayo ni changamoto sababu nami binadamu ujue
Usiolewe na asiekua wa Imani yako..What religion will you raise your children in ?Aaliyyah
Mental healthcare is all you need for now🧕
Sorry for your Parents disapproval..Jiweke sawa mentally uweze kumpa room Mwanaume mwingine..Inauma sana lakin Jitahidi kumsahau na Samehe Wazazi wako 🧕🤝
I know it sucks..but this is the truth..It wouldn't be valid as per religion..Usiolewe na asiekua wa Imani yako..What religion will you raise your children in ?
You sound like a good daughter who genuinely cares for your family..they're lucky to have you.. Your intentions seem quite noble..but take a breath utampata alie sahihi na bora kwako🤗
Being in love is one thing.. but staying in love is a whole other.. Before anyone even thinks about marriage.. there are few things that they should always discuss with their intended partner:-
1 - Make sure that you are fully and willingly committed to one another
2 - When/how many kids you and your partner want.. Is adoption an option? Is either one of you infertile?
3 - Levels of religiosity..Dini/Imani kipengele kikubwa cha kuzingatia
4 - Anger management issues/Psycho /Bipolar (Do one or both of you struggle)?
Are you in therapy for it or do you lash out at others? Ili ata ukiolewa na Mheshimiwa design Mh@litutumbwe unajua how to managed him 🤣🤣🤣👋
5 - Energy..Does it match? You have to gauge this..Follow your gut instinct 🧕
IMPORTANTLY..LOVE is not what keeps a relationship going..An active commitment to love..despite the downfalls and hardships is what keeps it going..You need to look past the king-queen-happily-ever-after dynamic to know if you're going to make it
NOTE: The pain of marrying the wrong person is worse than your present fear 😧 😧 😧
Wish you luck Sisy🙏🍀 🍀 🍀
Lovie Lady you can't get him out of your mind😂love is a beautiful thing.....Ili ata ukiolewa na Mheshimiwa design Mh@litutumbwe
😀Nafikiri ingekuwa kipengele kizito mno lakini nilikuwa sikuwahi kuwaza nje ya box Yani nilikuwa naona mapenz tu alinipenda mno kiukweliBora mliachana tena shukur sana Mungu wako,hakuna ndoa yenye amani Wala kudumu ya watu wa iman mbili tofauti..hakuna!!
Tafuta wa iman Yako muoane,uyo ata kama msingeachana hapo awali,,ndoani mngeachana tu..coz miungu miwili haiwezi hata siku Moja kuish pamoja lazima Kila mmoja atataka mwenzake amfate yy.😂😂😂
😀Nafikiri ingekuwa kipengele kizito mno lakini nilikuwa sikuwahi kuwaza nje ya box Yani nilikuwa naona mapenz tu alinipenda mno kiukweliBora mliachana tena shukur sana Mungu wako,hakuna ndoa yenye amani Wala kudumu ya watu wa iman mbili tofauti..hakuna!!
Tafuta wa iman Yako muoane,uyo ata kama msingeachana hapo awali,,ndoani mngeachana tu..coz miungu miwili haiwezi hata siku Moja kuish pamoja lazima Kila mmoja atataka mwenzake amfate yy.😂😂😂
Nafahamu nduguUnapofanya uamuzi kuhusu maisha yako, usitarajie sana maoni ya watu wengine kuhusu hilo jambo lako, maana mwishowe watakudisapoint tu.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app