USHAURI:Kama namna naweza kuzuia na hali hii

USHAURI:Kama namna naweza kuzuia na hali hii

Mwandamizi mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣!!

Ndoivooo mdogo wangu fanya wepesi kwanzaaa mwambaa ahakikishe zinaishaaa na kila kitu kitaenda sawaaaa hata hizo stress zitaishaaa kabessaaaa😂😂😂!

Hapana chezea nyeg kabesaaa ni Hatari sana kwa stress/ hasiraaa 😁😁🤭!!
😂😂😂Ila wewe
 
Hali ni tete sana inahitaji msaada wa haraka sana fanya wepesi utatue tatizo kwanzaaa mtapendana ado ado mbelee kwa mbelee 😂!
Hapo nishakusoma, hebu mpange awe wifi hata kwa weekend moja tu. Kupendana tutajifunza mbele ya safari hukoo,😀😀
 
Wee babu mjukuu wako ana nyegg huyuuu hebu Fanya wepesi Muokoe na hasira ndogondogo na makasiriko yasiyo na ulazima mtafutie chumaa haraka iwezekanavyoo babuu😂😂!
Mnanisimanga mgonjwa Sijapenda 😂😂😂
 
Hayo makasiriko kununa nuna kusiko na tija sio akili yako mdogo unahitaji msaada wa harakaaa sana!! 😁🤭
Nyie sio wazima😂😂😂😂
Nacheka kama chiz huku yaani mmeniweza balaa 😂😂😂
 
Natumaini wazima
Naomba niwashirikishe hili jambo linanisumbua sana
Miaka ya nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na kijana mmoja tulikuwa tunapendana sana,nilikuwa Niko chuo nae alikuwa anafnya kazi kwenye private sector tulivumiliana baadae nikamaliza nae akapata kazi serikalini tukaanza kuweka mipango ya Kuishi pamoja akanitambulisha Kwa ndugu zake familia Ile ilinipenda sana nae akatuma watu waje kwetu kijitambulisha hatua zingine zifate wakat huo Mimi nilikuwa sijapata kazi Bado

Kilichotokea familia yangu ikakataa kupokea mahali kwasabbu ya utofaut wa kiimani wakasema watupe mda tujadiliane namna gani tutaoana Lilikuwa jambo gumu sana kulielewa,nakumbuka Ilikuwa mara kwanza kwenye maishayangu kuliq barabarani 😭
nanhata nduguzake hasa babaake alikuwa mkali mno hakuridhika na maamuzi yale mzozo ukaanza mwisho ukaibuka ugomvi uliodumu Kwa muda

Baada ya mwez hivi Mpenz wangu akapata ajali ya gari lakn hakuumia sana,ikaonekana sabbu alikuwa na stress, ugomvi ukaanza upya hakuna alietaka kumuelewa mwenzie kati ya familia zetu finally tukaamua tuvunje mahusiano.

Tangu wkat huo ni miaka mingi imepita kilamtu akaamua Kuishi maishayake lakini baadhi ya nduguzake Bado walikuwa wananisupprt sana hasa dadazake
Kwa upandewangu
Sijawahi Tena kukubali mwanaume aje kunichumbia kwetu licha ya kuwa nimekuwa na mahusiano mar kadhaa Nina uoga kupita kiasi na marazote ikitokea najihis kukosa amani kabisa

Kuna wakati napuuzia mawazo yangu lakini akitokea mtu kwaajili ya Hilo napata presha mno na naweza nikapata hata homa nikianza kufikiria kumruhusu mtu awe mchumba then tuonane
Nikaamua nijipe mda wa miez sita nichange akiliyangu lakin kusema ndio hata kwa nilienae kwenye mahusiano nimekuwa siwez napiga tu kalenda mwisho tunaishia kugombana na kuachana
Sijawahi chagua wanaume maybe wa hali flani sabbu mm mwenyew nimezaliwa kwenye familia ya kawaida tu lkni linanishinda

Kiukweli nakutana na wanaume wema na wenye Nia ya dhati kabisa na nilifikiria Sion kasoro zao lakni nimekuwaje sijui Nina uoga Nina presha ambayo nashindwa kuimanage
Kunawkat nafikiria kuhus familia na naamini sana kuwa ndoa ni kitu kizuri likija sualla likija mezani hali inabadilika kabisa Kilasiku nasema kesho

Pia nimekuwa mtu wa hasira sana Kwa vitu vidogo Yani naweza kukasirishwa na kitu ambacho badae nikifikiria Huwa sioni sabbu ya kwanini nilikuwa na hasira nacho lakin Inakuwa imeshatokea hili nalo linanitesa sana

Sina mahusiano Tena na yule wa mwanzo kilamtu na maishayake Kwa Sasa

Hebu mnisaidie mdogowenu
NB,naomba nishauriwe Kwa staha pia sitafuti mume,
Wewe bado ni mke wa mtu. Ulijiozesha lakini mlipotengana hukuachika. Ndo maana hao mawifi zako wanakuona hivyo wanabyokuona. Fanya mchakato wa kuachika ili uwe huru, vinginevyo kubali kuwa mtumwa wa hisia za ukweni.
 
Wee babu mjukuu wako ana nyegg huyuuu hebu Fanya wepesi Muokoe na hasira ndogondogo na makasiriko yasiyo na ulazima mtafutie chumaa haraka iwezekanavyoo babuu😂😂!
Kumbe hasira zinasababishwa na nyege, kuna mbinu aliwahi kuitumia Bibi yenu wakati nilipokwenda Kupigana miaka miwili Vita ya Uganda, ile mbinu huwa inasaidia sana kuondoa Hasira za nyege.

Isingekuwa kuna Vijana wadogo hapa ningeisema wazi, ila hopefully akiongea na Bibi yake atamuweka wazi 🙈🤪
 
Kumbe hasira zinasababishwa na nyege, kuna mbinu aliwahi kuitumia Bibi yenu wakati nilipokwenda Kupigana miaka miwili Vita ya Uganda, ile mbinu huwa inasaidia sana kuondoa Hasira za nyege.

Isingekuwa kuna Vijana wadogo hapa ningeisema wazi, ila hopefully akiongea na Bibi yake atamuweka wazi 🙈🤪
😂😂😂Ya kutumia ugoro😂😂
 
Back
Top Bottom