Ushauri: Kwa matokeo haya naweza kuwa lecturer?

Unataka kuwa lecturer wa kozi gani?
 
Vyuo gani hivi mnavyopata ma GPA makubwa makubwa aisee. Muhas nilitoka na ka gpa kadogo hadi nikashangaa tofauti na huko secondary nivo kua napasua
Mkuu yaan hata mm washikaj zangu weng hivyo vyuo vyao nadhan ni mtelemko sana yaan wengi gpa zao zinacheza kuanzia 4.0 na kuendelea . Sasa mm A level nilikua na one but chuo udsm niliishia kupata gpa ya 3.0 pamoja na kukomaa sana.
 
UDSM ni sayari nyingine, ndo maana hao SEKUCO, TEKU na wapi sijui wanalia hata Law School tu.
 
Kuwa lecturer?

Au Tutorial Assistant (TA)?

Mimi ninavyojua kuwa lecturer ni mpaka uwe na Ph.D.....

Tena unaanzia Assistant Lecturer halafu unapanda ngazi....

Kuwa TA kaza msuli kidogo uvuke 4.0...ungekuwa siriazi hata first class ungepata....
TA si inaanzia 3.8?? au
 
Mkuu yaan hata mm washikaj zangu weng hivyo vyuo vyao nadhan ni mtelemko sana yaan wengi gpa zao zinacheza kuanzia 4.0 na kuendelea . Sasa mm A level nilikua na one but chuo udsm niliishia kupata gpa ya 3.0 pamoja na kukomaa sana.
Ilikua course gani??
 
UDSM ni sayari nyingine, ndo maana hao SEKUCO, TEKU na wapi sijui wanalia hata Law School tu.
Mkuu we acha tu!!!!! Udsm noma sana. Huwez amin ni zaid ya miaka kumi toka nimalize pale lakini mpaka leo neno UDSM nikilisikia mwili unasisimka
 
Hakuna complications,
Kuna MA-TA ambao wanakusaidia wewe pale chuoni,
Tofauti na UDOM &SUA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mnavyo visema hapa ni tofauti na uhalisia uliopo huku sehemu husika.

Sijui labda inategemea na faculty. Nisibishe sana.
 
Labda kwan we faculty yako ilikuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…