Umeandika: “Hoja nzuri, utafiti mzuri, ila sio realistic”
Majibu: Hoja yangu inatekelezeka kwa kuwa kazi ya kuandaa miswada kwa hati ya dharula inawezekana. Bajeti ya kuitisha Bunge maalum kwa ajili ya kupitisha miswada hiyo iko ndani ya uwezo wa serikali. Wabunge bado wapo maana Bunge halijavunjwa.
Umeandika: “Uchaguzi is a process. Na je, kuna siku Uchaguzi mkuu uliwahi kusogezwa mbele kwassbabu ya kurekebisha jambo lolote? TAL anayo the capacity & capability yoyote kusema no reforms no election? Hana!”
Majibu: Hapo ume-personalise hoja yangu. TAL ameanzisha hoja. Mie nimejielekez kwenye hoja. Jiepushe na tatizo hilo la ARGUMENTUM AD HOMINEM. Tofautisha hoja na mleta hoja. Fikiria kwamba hoja ni nzuri, serikali itaipenda, Bunge litaichagamkia, think positively. That way utakuwa na mchango ambao sio biased sana. Kumbuka kuwa uchaguzi upo kwa ajili ya watu na sio watu kuwepo kwa ajili ya uchaguzi. Ratiba ya uchaguzi sio msahafu.
Umeandika: “There will be no reforms, na uchaguzi utafanyika!”
Majibu: Labda ungeandika hivi, “There MAY be no reforms, na uchaguzi UNAWEZA fanyika!” That way, utakuwa umeongea kama learned fellow. Lakini wawe sio mwamuzi halafu unaandika kauli ya kimaamuzi. Umepotoka.
Umeandika: “Nashauri watu wenye uwezo wa kusaidia, tumsaidie TAL, tuisadie Chadema iachane na Utopian politics and come to face with the real polititcs.”
Majibu: Majibu yako yanatumia neno “uchaguzi” lakini katika uhalisia Tanzania haijawahi kufanya “uchaguzi” tangu 2019. Badala yake kumekuwa kunafanyika “election rigging,” by more than 80% of the polling stations. Huongei lolote kuhusu tatizo hili. Can you address this part of the equation?