MUTUYAMUNGU
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,825
- 4,374
Siyo kweli. Sisi mbona ni masikini lakini siyo Panya Road.Ni ushauri tu maana chanzo cha upanya road ni umaskini, waonyeshwe fursa.
Sawa mkuu. Umewahi kusikia Panya road Masaki, Oysterbay au Mikocheni?Siyo kweli. Sisi mbona ni masikini lakini siyo Panya Road.
Siyo kweli. Sisi mbona ni masikini lakini siyo Panya Road.
Umasikini unatofautina ndugu,nafuu mm na wewe Ni masikini lakin tunamiliki smart phone/computer na tumepata hela ya bando mpaka tukaja kuriply apa Kuna mwingine tangu asubuhi mpaka Sasa mdomo haujaenda kinywanSiyo kweli. Sisi mbona ni masikini lakini siyo Panya Road.
Huu ushauri wanatoa panya road wenyewe labda wanaona maji yanataka kuzidi Unga.Hili gereza hupelekwa watu watukutu zaidi
Kwa hili hapana
Sheria ifuate mkondo wake tu
Police walisema panya road wanakamatwa baadae wanarudi uraiani kisheria na wanaendelea na uporaji. Sasa kumbe mnataka waende halafu warudi wawe masheikh? Hawabadiliki hawa piga risasi tuu.Dah,Gereza la Ngwala kule ni jehanamu ndogo Mkuu.Hawa watoto wakienda kule alafu warudi uraiani lazima watakuwa masheikh,wachungaji au washauri wa maadili mema kwa wenzao.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usihangaike humu kuna panya road wanatafuta sababu na Kuna wanufaika wa uporaji wanatafuta kuhalalisha uuaji wao kwa kusingia hali ngumu.Siyo kweli. Sisi mbona ni masikini lakini siyo Panya Road.
Huko kila familia hawakosi cha moto, pia walinzi wenye silaha kila nyumba, sasa unafikiri panya road hawana akili? Acha kujitetea ukipatikana nashauri wakutandike risasi tuu bila kujali umaskini wako.Sawa mkuu. Umewahi kusikia Panya road Masaki, Oysterbay au Mikocheni?
Hii si hoja. Hoja yako umeijenga katika msingi wa Umasikini. Nimekwambia sisi mbona ni masikini lakini siyo panya Road ?Sawa mkuu. Umewahi kusikia Panya road Masaki, Oysterbay au Mikocheni?
Maana yake Kuna sababu kubwa nyingine ambayo siyo hiyo aliyoitoa mtoa mada.Umasikini unatofautina ndugu,nafuu mm na wewe Ni masikini lakin tunamiliki smart phone/computer na tumepata hela ya bando mpaka tukaja kuriply apa Kuna mwingine tangu asubuhi mpaka Sasa mdomo haujaenda kinywan
..
Lakini pia naungana na wewe umasikini sio sababu pekee ya kufanya uwe panya road Kuna watu n maskini zaidi yao na sio panya rodi
Mtoa mada hajaandika uongo , na pia zipo sababu nyingine zinazo sababibisha kuwapo hawa panya rodi Kama vile malezi,,ushawishi kutoka katika maraki zoa ambao Ni panya rodi nakadhalikaMaana yake Kuna sababu kubwa nyingine ambayo siyo hiyo aliyoitoa mtoa mada.
Kwa ufupi mtoa mada ameandika uongo.
Watanyooka mkuuDah,Gereza la Ngwala kule ni jehanamu ndogo Mkuu.Hawa watoto wakienda kule alafu warudi uraiani lazima watakuwa masheikh,wachungaji au washauri wa maadili mema kwa wenzao.🤣🤣🤣🤣