Ushauri kwa Rais Samia kuhusu panya road

Ushauri kwa Rais Samia kuhusu panya road

MUTUYAMUNGU

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
1,825
Reaction score
4,374
Rais hao panya road wakikamatwa wasiuliwe bali wapelekwe Chunya gereza la Ngwala wakalime na kujifunza mambo mbalimbali yatakaowasaidia katika maisha yao.

Gereza la Ngwala halina fence yoyote na wafungwa wanaishi kindugu na kufanya shughuli mbalimbali za uzalishaji.

Kwanini gereza halina fence? Lipo katikati ya pori lenye wanyama wakali. Ukitoroka lazima simba wapite na wewe!
 
Jeshi halina weledi hilo limejaa vilaza tu ndio maana majuzi hapa police alimpiga risasi police mwenzake kisa kumkimbiza bodaboda

Police ni majambazi waliopo kwa mujibu wa sheria
 
Jeshi halina weledi hilo limejaa vilaza tu ndio maana majuzi hapa police alimpiga risasi police mwenzake kisa kumkimbiza bodaboda

Police Ni majambazi waliopo kwa mujibu wa sheria
 
Siyo kweli. Sisi mbona ni masikini lakini siyo Panya Road.

Siyo kweli. Sisi mbona ni masikini lakini siyo Panya Road.
Umasikini unatofautina ndugu,nafuu mm na wewe Ni masikini lakin tunamiliki smart phone/computer na tumepata hela ya bando mpaka tukaja kuriply apa Kuna mwingine tangu asubuhi mpaka Sasa mdomo haujaenda kinywan
..

Lakini pia naungana na wewe umasikini sio sababu pekee ya kufanya uwe panya road Kuna watu n maskini zaidi yao na sio panya rodi
 
Hili gereza hupelekwa watu watukutu zaidi

Kwa hili hapana

Sheria ifuate mkondo wake tu
Huu ushauri wanatoa panya road wenyewe labda wanaona maji yanataka kuzidi Unga.
Polisi, piga risasi hawa wapumbavu kwanini wanajichagulia adhabu? Mbona wao wanapotukata mapanga hawasemi tuchague adhabu.?
Jino kwa jino ndo dawa yenu.
 
Dah,Gereza la Ngwala kule ni jehanamu ndogo Mkuu.Hawa watoto wakienda kule alafu warudi uraiani lazima watakuwa masheikh,wachungaji au washauri wa maadili mema kwa wenzao.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Police walisema panya road wanakamatwa baadae wanarudi uraiani kisheria na wanaendelea na uporaji. Sasa kumbe mnataka waende halafu warudi wawe masheikh? Hawabadiliki hawa piga risasi tuu.
 
Siyo kweli. Sisi mbona ni masikini lakini siyo Panya Road.
Usihangaike humu kuna panya road wanatafuta sababu na Kuna wanufaika wa uporaji wanatafuta kuhalalisha uuaji wao kwa kusingia hali ngumu.
Ushauri kwa polisi, tunasikia hawa hutembea kwenye makundi kati ya 20 hadi 30 inakuwaje mnauwa 6 tuu? Uweni angalau nusu Yao ili wanaobaki wasituletee upuuzi wao humu jf.
 
Sawa mkuu. Umewahi kusikia Panya road Masaki, Oysterbay au Mikocheni?
Huko kila familia hawakosi cha moto, pia walinzi wenye silaha kila nyumba, sasa unafikiri panya road hawana akili? Acha kujitetea ukipatikana nashauri wakutandike risasi tuu bila kujali umaskini wako.
 
Umasikini unatofautina ndugu,nafuu mm na wewe Ni masikini lakin tunamiliki smart phone/computer na tumepata hela ya bando mpaka tukaja kuriply apa Kuna mwingine tangu asubuhi mpaka Sasa mdomo haujaenda kinywan
..

Lakini pia naungana na wewe umasikini sio sababu pekee ya kufanya uwe panya road Kuna watu n maskini zaidi yao na sio panya rodi
Maana yake Kuna sababu kubwa nyingine ambayo siyo hiyo aliyoitoa mtoa mada.

Kwa ufupi mtoa mada ameandika uongo.
 
Maana yake Kuna sababu kubwa nyingine ambayo siyo hiyo aliyoitoa mtoa mada.

Kwa ufupi mtoa mada ameandika uongo.
Mtoa mada hajaandika uongo , na pia zipo sababu nyingine zinazo sababibisha kuwapo hawa panya rodi Kama vile malezi,,ushawishi kutoka katika maraki zoa ambao Ni panya rodi nakadhalika
 
Dah,Gereza la Ngwala kule ni jehanamu ndogo Mkuu.Hawa watoto wakienda kule alafu warudi uraiani lazima watakuwa masheikh,wachungaji au washauri wa maadili mema kwa wenzao.🤣🤣🤣🤣
Watanyooka mkuu
 
Back
Top Bottom