Ushauri kwa Rais Samia: Kwenye mabadiliko ya Cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, tumia wazoefu; Fedha mpe Dkt. Kimei, Biashara Uwekezaji mpe Deo Mwanyika

Huu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet yake, atumie watu wenye uzoefu, mfano Waziri wa Fedha wa sasa Dr. Mwigulu Mnchemba ni msomi mzuri wa uchumi, ana 1st Class ya degree ya uchumi kutoka UDSM, lakini sio mtu wa ki fedha fedha!. Hajawahi kushika na B na ma B na ma B mikononi mwake kama Dr. Charles Kimei alipokuwa CRDB, hivyo Wizara ya Fedha akimpa Dr. Kimei, fedha zitakuwa zimefika kwenyewe.

Kwenye biashara na uwekezaji, kuna wasomi wawili, madaktari wa PH.D, je, wanewahi kufanya chochote hata kuuza nyanya tu? Kwenye Biashara Uwekezaji ampe Deo Mwanyika, kina Sumri, kina Shabiby, Abood etc, watu wenye uzoefu wa kufanya biashara.

Aunde Baraza dogo lenye mawaziri wenye uzoefu, ukiwa na mtu mwenye uzoefu, hawezi kupigwa kirahisi kama msomi mwenye vyeti lakini hajawahi kuuza hata toothpicks!

Ni ushauri tu.

Paskali
Mbona wewe hujajitaja mkuu?
 
Nakubaliana na wewe, ila walitwaliwa miongoni mwetu, watanzania wote without exceptional tuko kwenye level ya umaskini na ushahidi unaupta ukiona rais, waziri katibu mkuu anawaza kujenga nyumba. Kwenye Maslow Pyramid of need utaona shida yetu iko wapi- wengi tuko bado kidato cha chini kabisa, wachache wamefika kidato cha pili
View attachment 2806986
Kwa upande mwingine, tunahitaji mtu muelewa wa mambo bila kujali ni mchumi au fedha

Finance is about how individuals, businesses, and organizations manage and allocate their financial resources. It involves analyzing and making decisions about using money, investments, and financial instruments such as stocks, bonds, and derivatives.

Modern societies require the use of finance. It is crucial in determining the overall health and development of economies and businesses. The demand for professionals with financial knowledge is strong across many industries, including banking and investment management.
Economics is about how people, organizations, and societies distribute and employ resources, such as capital, labor, and land, to create goods and services. It examines how economic agents choose what to produce, how, and for whom.

Economics is critical in shaping public policy and guiding public and private decision-making. It analyzes and addresses various economic issues, including income inequality, environmental sustainability, international trade, and economic development.
Kwa hayo machache bora waziri wa fedha mchumi kuliko wa finance
Mkuu comte, thanks for this, kuna vitu najifunza. Hoja ya bandiko hili ni kumshauri Mama asishobokee macheti Ph.Ds kwenye key ministries, ateue wenye experience with track record of delivery. Tuna mtu wa benki, apewe fedha, tuna mtu wa madini, sasa ni mfabiashara mkubwa, apewe biashara, unampa biashara mtu ambaye hajawahi hata kuuza genge!, unategemea nini?.
P
 
Mkuu katika nchi hii hao watu hatuna, tuna watu toka waanze shule hawajatoka nje ya kuta nne na meza. HAWAJUI kinaendlea nini duniani, wanalipwa mshahara hawajui unatoka wapi. Nchi za wenzetu wana watu wamefanya kila kitu hapa duniani ndo wanaenda serikali ama kama watumishi au wanasiasa na watengeneza sera. Hicho ndicho tunachokikosa. Siyo dhambi, tatizo ni nyakati itafika tutawapata watu kama hao.
Angalia watu waliopelekwa tume ya mipango- BIG UP KWA MAMA. Tunataka mix ya hivyo serikalini na kwenye utengenezaji wa sera

1699367710330.png

Hii imefafanuliwa zaidi itakusaidia
 
Huu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet yake, atumie watu wenye uzoefu, mfano Waziri wa Fedha wa sasa Dr. Mwigulu Mnchemba ni msomi mzuri wa uchumi, ana 1st Class ya degree ya uchumi kutoka UDSM, lakini sio mtu wa ki fedha fedha!. Hajawahi kushika na B na ma B na ma B mikononi mwake kama Dr. Charles Kimei alipokuwa CRDB, hivyo Wizara ya Fedha akimpa Dr. Kimei, fedha zitakuwa zimefika kwenyewe.

Kwenye biashara na uwekezaji, kuna wasomi wawili, madaktari wa PH.D, je, wanewahi kufanya chochote hata kuuza nyanya tu? Kwenye Biashara Uwekezaji ampe Deo Mwanyika, kina Sumri, kina Shabiby, Abood etc, watu wenye uzoefu wa kufanya biashara.

Aunde Baraza dogo lenye mawaziri wenye uzoefu, ukiwa na mtu mwenye uzoefu, hawezi kupigwa kirahisi kama msomi mwenye vyeti lakini hajawahi kuuza hata toothpicks!

Ni ushauri tu.

Paskali
Mkuu, huogopi kulaumiwa kuwa unataka kutia mchanga vitumbua vya watu?

1. Dr. Charles Kimei ana uzoefu wa masuala ya fedha. Huenda akawa msaada kwenye Wizara husika akipewa nafasi.

2. Kalemani akifanya vizuri sana kwenye Nishati. Sijui kwa nini mama aliamua kumwengua!

3. Wizara ya biashara wangepewa watu wenye uzoefu wa ujasirimali: Shabiby, Abood, Shigongo, n.k.
 
Kimei hapana, alikuwa na CRDB akaja kupitwa na NMB iliyokuja baadaye
Najua alisoma EGM lakini hawezi. Mnamkumbuka Keeja wa jiji alivyokuwa alipopewa wizara ya kilimo?
 
Huu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet yake, atumie watu wenye uzoefu, mfano Waziri wa Fedha wa sasa Dr. Mwigulu Mnchemba ni msomi mzuri wa uchumi, ana 1st Class ya degree ya uchumi kutoka UDSM, lakini sio mtu wa ki fedha fedha!. Hajawahi kushika na B na ma B na ma B mikononi mwake kama Dr. Charles Kimei alipokuwa CRDB, hivyo Wizara ya Fedha akimpa Dr. Kimei, fedha zitakuwa zimefika kwenyewe.

Kwenye biashara na uwekezaji, kuna wasomi wawili, madaktari wa PH.D, je, wanewahi kufanya chochote hata kuuza nyanya tu? Kwenye Biashara Uwekezaji ampe Deo Mwanyika, kina Sumri, kina Shabiby, Abood etc, watu wenye uzoefu wa kufanya biashara.

Aunde Baraza dogo lenye mawaziri wenye uzoefu, ukiwa na mtu mwenye uzoefu, hawezi kupigwa kirahisi kama msomi mwenye vyeti lakini hajawahi kuuza hata toothpicks!

Ni ushauri tu.

Paskali
Nimekuelewa
 
Mkuu, huogopi kulaumiwa kuwa unataka kutia mchanga vitumbua vya watu?

1. Dr. Charles Kimei ana uzoefu wa masuala ya fedha. Huenda akawa msaada kwenye Wizara husika akipewa nafasi.

2. Kalemani akifanya vizuri sana kwenye Nishati. Sijui kwa nini mama aliamua kumwengua!

3. Wizara ya biashara wangepewa watu wenye uzoefu wa ujasirimali: Shabiby, Abood, Shigongo, n.k.
Mimi niko ki maslahi ya taifa zaidi na sio personalities, kama hata Mama Samia mwenyewe tunamshauri asigombee 2025, apumzike!, Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke itakuwa hawa mburu matata!.

P
 
Kwa mfumo wa kiutawala na kiutendaji katika Nchi za Ulimwengu 3 ulivyo hata umlete Mchumi Mkuu wa World Bank au IMF hawezi badilisha chochote.
Mtaongea miaka na miaka mtawalaaumu Watendaji na Mawaziri na hata Wabunge but tatizo kuu ni Utahira wa Watanzani.

Narudia kusema tena tatizo kubwa la tulilonalo ni ujinga wa Watanzania,hasa kwa kumpa full mandatory Rais wa Nchi-na hawa ndio Adui namba 1 wa Taifa.
Kama mtu mnamchagua na hamjui hata mashahara wake unategemea utamfanya nini hata asipotekeleza kile anachotakiwa kufanya?
 
Mkuu hii akili ya kudhani rais ana mamlaka makubwa ni ya AJABU SANA. Nitajie ni wapi mkuu yeyote hana mamlaka makubwa- anzia na kwako kwenye familia
 
Duh, bonge la CV!, she is 77!. Huku kwetu age ya mwisho kwenye public service ni 65!.
P
Hii ya UK
John Philip Glen (born 1 April 1974)[3] is a British politician and former management consultant serving as Chief Secretary to the Treasury since October 2022 and Member of Parliament (MP) for Salisbury in Wiltshire since 2010. Glen is a member of the Conservative Party. Formerly Parliamentary Under-Secretary of State for Arts, Heritage and Tourism at the Department for Digital, Culture, Media and Sport, Glen served as Economic Secretary to the Treasury and City Minister from January 2018 to July 2022.

Glen was born in Bath on 1 April 1974, and was brought up in a family horticultural business in rural Wiltshire. He was privately educated at King Edward's School, Bath,[4] where he was head boy, and Mansfield College, Oxford, where he read modern history and was elected president of Mansfield College JCR. He was the first person in his family to go to university.

After graduating from Oxford, Glen worked for two Conservative ministers in 1996–1997. He helped with the unsuccessful campaign to get the Conservative candidate, Michael Bates, elected in the constituency of Middlesbrough South and East Cleveland at the 1997 general election. Following the election of a Labour government in 1997, he joined the strategy practice of Accenture, a large management consultancy firm. Whilst there he worked on projects for Glaxo Wellcome, BP and the Post Office. In 2000, Glen went to work for William Hague, who was then leader of the Conservative Party. In his role as head of the political section of the Conservative Research Department, he helped prepare Hague for Prime Minister's Question Time and briefed the Shadow Cabinet for media appearances.

Glen was first a parliamentary candidate at the 2001 general election, when he unsuccessfully stood in Plymouth Devonport as the Conservative candidate. He came second, achieving 27.1% of the vote and a 2.9% swing.[5] Following the election, he took an MBA at Fitzwilliam College, Cambridge,[6] and worked in the oil and gas industries in the UK and in the United States.

Early in 2004, he returned to the Conservative Party to work as deputy director of the Conservative Research Department in the run-up to the 2005 general election. He then became director of the department and set up the secretariat for the policy review that was established after David Cameron became party leader. He returned to business in 2006, managing his firm's relationship with the World Economic Forum. He became a magistrate (JP) at Horseferry Road, Westminster in 2006.
 
More reading
Wizara hazifanani, huku kwetu ukiondoa uteuzi wa PM, ambao ndio pekee huidhinishwa na Bunge, teuzi nyingine zote ameachiwa mtu mmoja!. Nimeshauri Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge?
P
 
Tunaweza kuhangaika na kubadilisha matairi kila siku lakini tatizo likawa pale pale.Tumtupie macho dereva pia kama anamudu kuendesha gari letu.Lakini pia injini yetu ina shida kubwa.
 
Back
Top Bottom