Kipindi anasema hivyo ,huyo mwamba alijitokeza akasema alisha toka nae kabla , labda ilikua ni kashfa tuπ€π€π€Labda kama wali date tu...
Lakini huyo manzi alishahojiwa akakiri Jay Z ndiye alitoa seal...
Akiwa 19 yrs miaka ya 2001 au 2002...
Mweeeee ngashtuka!!Kuna kavideo kalitumwa huku jamaa anasema hataki wanawake , kuna mdada yupo pembeni anamwambia punguza hasira ,nikajua niwewe uliweka ,huwa kanafurahisha sana.
UnakoelekeaUchumba sugu is the way to go.
Maharusi na masherehe hayana maana.
"I respect your opinion, but it's important to understand that everyone has the right to their own thoughts and feelings when it comes to choosing a life partner. There's no single correct way to approach this, and what works for one person may not work for another. Everyone has their own path to building relationships and a life, and it's not fair to judge someone for their opinions or feelings. Instead of attacking each other, let's try to understand and respect our differencesThere is no Universal rule inapokuja swala la kuchagua mwenza wa kumuoa, narudia tena there is no universal rule, hiki ulichokiandika ni insecurities zako tu na kushindwa kujiamini as a man, wahead, Man up, little boy, man up!
Mnaweza date usile mzigo...Kipindi anasema hivyo ,huyo mwamba alijitokeza akasema alisha toka nae kabla , labda ilikua ni kashfa tuπ€π€π€
sijasema harusi zisifungwe, nasema zicheleweshweUnakoelekea
Basi jamaa atakua miyeyusho sanaπππMnaweza date usile mzigo...
Ndio maana nikasema labda waliishia ku date mitoko ya dinner n.k...
Na kwanini zichelewe? Sogea tukae nikikufia ndani utaambia nini jamii?sijasema harusi zisifungwe, nasema zicheleweshwe
sogea tukae mamaπ
Hata mama zetu wana mapungufu.Ukifuata yote hayo huta oa
Kuoa ni sawa na kujivika mabomu
Unakaa unaamua kuoa unaoa
Mambo mengine yatajulikana mbele kwa mbele
Yaani ni sawa na kujitosa baharini kisha utajua kuogelea mbele kwa mbele kwenye safari yako ya kutoka Dar kwenda zanzibar
Hakuna mwanamke mkamilifu duniani hata mama zetu wanamapungufu
Mwanaume akikataa kutafuta hela ktk mazingira fulani huyo ndiyo aonekane anaogopa changamoto lakini anayetafuta mke akamkataa binti anaeishi nje ya nyumba ya wazazi wake huyo haogopi changamoto anatafuta msingi bora wa familia yake.Telling men to go after unambitious women.. wanaume wa siku hzi tunaogopa sana changamoto..yani ukatae mke kisa ulimkuta kwake?π€£π€£
Hao waliopanga wenyewe ndio wazuri, anaishi maisha yake halisi bila kuigiza, tofauti na ambao Bado wako nyumbani huwez kumjua tabia zake halisi kwasababu yuko chini ya wazazi.Telling men to go after unambitious women.. wanaume wa siku hzi tunaogopa sana changamoto..yani ukatae mke kisa ulimkuta kwake?π€£π€£
Ndio maana kuna kitu kinatwa uchumba. One point watu wanasahau ni kuchunguza familia ya alipotokea mwenzie, the way wazaz wa muhusika wanavyo ishi ndivyo atakavyoishinna ww"Kabla ya kufanya uamuzi wa kuoa, fikiria kwa makini kuhusu mpenzi unayemchagua. Usioe mwanamke amehamia na kupanga nyumba kwa maisha yake mwenyewe. Badala yake, tafuta mwanamke ambaye bado yupo kwa wazazi wake au nyumbani kwao.
Ninasema haya kutokana na uzoefu; utakuja kunishukuru baadaye."
ili mfahamiane vizuri, miezi kadhaa inatosha kumuamini mtu kweli?Na kwanini zichelewe? Sogea tukae nikikufia ndani utaambia nini jamii?
Kuoa siyo vita bruh,unajua kwanini ndoa nyingi sana za vijana siku hizi zinawashinda?Ukifuata yote hayo huta oa
Kuoa ni sawa na kujivika mabomu
Unakaa unaamua kuoa unaoa
Mambo mengine yatajulikana mbele kwa mbele
Yaani ni sawa na kujitosa baharini kisha utajua kuogelea mbele kwa mbele kwenye safari yako ya kutoka Dar kwenda zanzibar
Hakuna mwanamke mkamilifu duniani hata mama zetu wanamapungufu
Hapo fresh totoo ππna nikisema uchumba sugu simaanishi nakutorosha kwenu hamna, nyumbani lazim wajue ulipo