Moyo wa mtu kichaka pia. Unaweza kaa na mtu for years na akakupa tukio zito tu.. au akaficha tabia flani.ili mfahamiane vizuri, miezi kadhaa inatosha kumuamini mtu kweli?
sherehe zinafurahisha watu tu, halafu mkishafunga harusi inakuwa ngumu kuachana
Hayanaga formula."Kabla ya kufanya uamuzi wa kuoa, fikiria kwa makini kuhusu mpenzi unayemchagua. Usioe mwanamke amehamia na kupanga nyumba kwa maisha yake mwenyewe. Badala yake, tafuta mwanamke ambaye bado yupo kwa wazazi wake au nyumbani kwao.
Ninasema haya kutokana na uzoefu; utakuja kunishukuru baadaye."
mimi sasa napenda kuthibitisha kila kituMoyo wa mtu kichaka pia. Unaweza kaa na mtu for years na akakupa tukio zito tu.. au akaficha tabia flani.
Uchumba sugu pia sio guarantee. Muhimu pendo la dhati & urafiki
"Kabla ya kufanya uamuzi wa kuoa, fikiria kwa makini kuhusu mpenzi unayemchagua. Usioe mwanamke amehamia na kupanga nyumba kwa maisha yake mwenyewe. Badala yake, tafuta mwanamke ambaye bado yupo kwa wazazi wake au nyumbani kwao.
Ninasema haya kutokana na uzoefu; utakuja kunishukuru baadaye."
Source; (Trust me broo)Lakini jay z ndiye alimtoa bikira huyo beyonce..
NakaziaThere is no Universal rule inapokuja swala la kuchagua mwenza wa kumuoa, narudia tena there is no universal rule, hiki ulichokiandika ni insecurities zako tu na kushindwa kujiamini as a man, wahead, Man up, little boy, man up!
Yani hii ndio reality ya wanaume wa sasa, Kila kikwazo wanachoweka kwa wanawake ni kulinda inequities zao, tuna kizazi Cha wanaume waoga sana inatia shaka.Telling men to go after unambitious women.. wanaume wa siku hzi tunaogopa sana changamoto..yani ukatae mke kisa ulimkuta kwake?π€£π€£
Changamoto zingine kifo ndio matokeo hakuna njia nyingine ya jinsi ya kuzishindaTelling men to go after unambitious women.. wanaume wa siku hzi tunaogopa sana changamoto..yani ukatae mke kisa ulimkuta kwake?π€£π€£
Waache wajichanganye. Nina wapenzi wawili, mmoja anaishi karibu na kanisani kwetu na yeye na kanisa ni kama polisi na rushwa. Ni mtu wa kanisa vibaya mno.Hao waliopanga wenyewe ndio wazuri, anaishi maisha yake halisi bila kuigiza, tofauti na ambao Bado wako nyumbani huwez kumjua tabia zake halisi kwasababu yuko chini ya wazazi.
Telling men to go after unambitious women.. wanaume wa siku hzi tunaogopa sana changamoto..yani ukatae mke kisa ulimkuta kwake?π€£π€£
Mwehu huyoTelling men to go after unambitious women.. wanaume wa siku hzi tunaogopa sana changamoto..yani ukatae mke kisa ulimkuta kwake?π€£π€£
Labda walikua wapenzi watazamaji.Mbona kuna jamaa anaitwa Lyndall locke inasemekana alikua mpenzi wake kabla ya jigga?
πππMaajabu hayaYaan mtu asiondoke kwenda kujitegemea hata km uwezo anao, abaki kwa wazazi kisa kusubiri kuolewaa?
Woiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]