Ushauri kwa vijana wenzangu, Kama upo single endelea kuwa single, achana na mahusiano

Mwanamke ombaomba ambaye hajaolewa akiwa na shida ana options 4 tu

1. Auze nyapu

2. Atafute kazi halali ya kumuingizia kipato

3. Amwombe baba yake mzazi, huyu ndiye aliyemleta duniani. Na ndiye mwenye jukumu la kumhudumia binti yake ambaye hajaolewa

4. Atue shida zake kwa Mungu wake

Kijana usijipe umuhimu kwenye majukumu yasiyokuhusu. Ni jukumu la baba kumhudumia na kumtunza binti ake ambaye hajaolewa
 
Soma soma kaka, huu uzi sio wa lawama za kuombwa hela
 
Wewe ni kijana mpumbavu, unafikiri hiyo meseji umetumiwa peke yako hiyo imeforwadiwa kwa SIMPS hata 10 kutia ndani wewe

Muwe mnawakumbuka na mama zenu kuwatumia pesa, huyo binti hauna jukumu la kumhudumia kwa lolote sio mkeo.
Huu uzi sio wa lawama za kuombwa hela, nimelenga insecurities na mtatizo ya wanawake hata ukifanya jambo zuri
 
Sijawahi hivi mnadhani wanawake wote tunaendekeza njaa km hivyo vimada vyenu?
 
Katika mazingira ya hvo unamsaidia tu asikae gizani, tena hamna raha kama ya kumsaidia kutatua changamoto za hivo kuliko kuambiwa "Mpaji naomba nisaidie nina shida ya 250k" kitu hakieleweki
Tatizo lipo kwa mtoaji halafu ndiye mlalamikaji, hapo ndo kwenye sintofahamu
 
Soma soma kaka, huu uzi sio wa lawama za kuombwa hela
Wewe ni mjinga si huyo malaya wako kakupiga kizinga cha buku 5 na wewe umekubali

Umekuja kulalamika humu mpaka umeandika na uzi na ushahidi wa meseji. Chanzo cha malalamiko yote ni buku 5

Mwehu wewe unachunwa na malaya apate umeme ili atombwe vizuri na bwana wake
 
Sema utakavyo, ila wanawake ninaowatumia hela kirahisi ni wale ambao najua ananipenda na sio mwongo, kama sijajihakikishia hivi vitu unaweza kuona mi ni mwanaume mchoyo kuzidi wote duniani
Wewe huyo kama vile hii mada ulishikiwa bunduki kuiandika
 
Wewe ni mjinga si huyo malaya wako kakupiga kizinga cha buku 5 na wewe umekubali

Umekuja kulalamika humu mpaka umeandika na uzi na ushahidi wa meseji. Chanzo cha malalamiko yote ni buku 5

Mwehu wewe
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Bac hapo ulipo macho yamekutoka, jugular zimesimama kisa comment tuu.

Punguza hasira mzee, unakasirika kisa uzi tuu.
 
Piga hiyo mbuziiiiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…yani katoa kwa genye zake halafu anakuja humu kulalama, ukimbana anasema ooh mi sijamaanisha hivyo bla bla bla blaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…