Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Mim binafsi sisupport mahandamano hatuna watu wakupambana watanzania walisharidhika na hali zaoHebu angalia Watanzania walivyo wa ajabu mimi nilijua ile by election ya Mkoani Mbeya Watanzania badala ya kuonesha hisia zao kwenye Ballot kwa kuiadhibu CCM wameenda kuipa landslide.
Hawa watu hawako tiyari kwa ukombozi unaweza ukajikuta unakufa pekee yako.
Maandamano yanaendana na kutoa uovu uliokaidi kwa mtutu na sio mbinu ya kulambishana pipi hii unayotaka CCM ikufanyie.
Nikweli nasupport uasi dhidi ya CCM kwa 100% hii ndio njia pekee ya kweli ya kuwaondosha wala sijawahi kulificha hili.
Hutujaja kulinda dunia tunazaliwa ili tufe.
Nani apiganie huo ujinga wa tume kama sio watanzania ambao literall wamelala usingizi wa ponoKwa tume ipi sasa? Mbona mnaota mchana hivyo?
Kisa hamtaki kufa au kuumia ila wale siyo?
Ndiyo maana kucha mkisema watanzania waoga. Nyie siyo watanzania?
Una hoja..Wakina Mwakubusi wanajaribu kuratibu maandamano na civil disobedience na hiyo ndio lugha CCM wanaelewa na kuogopa. Hivi nyie mnawezaje kuwa waastarabu kwa watu wanaoiba kura mchana kweupe huko Zanzibar na mkaamini watabadilika na kuwa waastarabu? Eti unaongelea vyuo vya Uongozi, Diplomacy una akili kweli wewe? Unapambana na mhuni wa Mbagala kwa technique za Oysterbay.
Wewe mbona umejificha kwenye jina bandia watanzania ni bora sana wakiwa nyuma ya keyboardMaandamano yanaendana na kutoa uovu uliokaidi kwa mtutu na sio mbinu ya kulambishana pipi hii unayotaka CCM ikufanyie.
Nikweli nasupport uasi dhidi ya CCM kwa 100% hii ndio njia pekee ya kweli ya kuwaondosha wala sijawahi kulificha hili.
Hutujaja kulinda dunia tunazaliwa ili tufe.
Ila ambatana na akina Joshua Nassari.Wanyakyusa huwa wamenyooka,ukitaka siasa za unafiki usiambatane na Wanyakyusa.
Nani apiganie huo ujinga wa tume kama sio watanzania ambao literall wamelala usingizi wa pono
Any struugle au movement inahitaji support ya wananchi tofauti na hapo ni kazi bure haijalishi una maono makubwa kiasi gani
Kama ingekuwa ni tofauti ya kura 1000 tungesema CCM imeiba lakini tifauti ilikuwa ni almost 30,000.Kwa tume ipi sasa? Mbona mnaota mchana hivyo?
Kisa hamtaki kufa au kuumia ila wale siyo?
Ndiyo maana kucha mkisema watanzania waoga. Nyie siyo watanzania?
Kama ingekuwa ni tofauti ya kura 1000 tungesema CCM imeiba lakini tifauti ilikuwa ni almost 30,000.
Kuna Jamaa humu anasemaga moshi wa mwenge unamambo ua kupumbaza.
Watanzania huenda wamelogwa, trust me.
Hiyo tume si ndiyo ile iliyowatangaza akina Sugu Lema Lissu nk.Kwa tume ipi sasa?
Unaniuliza kuhusu army struggle unafikiri nitaandika vitu ambavyo sivitaki na sioni manufaa yake ?Wewe mbona umejificha kwenye jina bandia watanzania ni bora sana wakiwa nyuma ya keyboard
Hivi unajua army struggle
Hiyo tume si ndiyo ile iliyowatangaza akina Sugu Lema Lissu nk.
Tukipiga kura nyingi za kuzidi hata wao kuiba kunakuwa kugumu.
Mbona hatukuon ukifanya army struggle unataka wengine wafanye huku wewe umekaa kwenye keyboard ndo shida ya Tanzania hiiUnaniuliza kuhusu army struggle unafikiri nitaandika vitu ambavyo sivitaki na sioni manufaa yake ?
Vipi bibi yetu nae kanyooka?Wanyakyusa huwa wamenyooka,ukitaka siasa za unafiki usiambatane na Wanyakyusa.
Kwa hiyo ilwezekanaje kuingiza Wabunge wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa 2015.Hiyo tume Unaweza iwekea dhamana wewe
Ni wapi nimetaka wengine wanifanyie ?Mbona hatukuon ukifanya army struggle unataka wengine wafanye huku wewe umekaa kwenye keyboard ndo shida ya Tanzania hii
Hawa wanywa kahawa wa pwani kuwakomboa ni kazi ngumu sana Nyerere aliweza lakini mpaka leo bado wanamtukana.😁
Kwa hiyo ilwezekanaje kuingiza Wabunge wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa 2015.
Yes nakubali tume ni Ovyo lakini hata tuionyeshe Dunia kuwa tumepiga kura tumefanyiwa ubabe hata UN inaweza kutuma fact finding mission kujua ukweli lakini kila wakiangalia runinga zetu Wananchi wako very happy wamevaa Majezi ya YANGA na SIMBA wengine wanakata viuno kwa utamu wa singeli wanaona mambo yako shwaari
Sisi tuna strategy tofauti na sasa maridhiano yanaonekana yanasuasua ni wakati wa kwenda ubalozi wa Marekani na Uaya wao ndio wenye Mabunduki makubwa kuliko haya ya CCM wao watasikilizwa.Ninadhani kuwakomboa hao ni rahisi kuliko nyie.
Nyie on the contrary ni opportunists, wasaka ubunge, ruzuku, madaraka na vya namna hiyo.
Ndiyo maana mnaweka mabodigadi uchwara nyuma kama ma CCM tu. Mkiingingia madarakani bila shaka mtataka misafara mirefu kama ma CCM tu.
Yumkini itakuwa makodi haya haya, polisi hawa hawa nk.
Hamjui kuwa wananchi tunahitaji mabadiliko kamili. Hatutaki ruzuku za vyama. Tunataka katiba mpya na wagombea binafsi.
Upo ndugu yangu?