Ushauri kwa Wakili Mwabukusi kuelekea maandamano ya kitaifa

Nimeanza kumdharau Mwabukusi kwa matamshi yake. Kumbe alikuwa chadema akahama, akawa NCCR akahama, sasa anatafuta kick tu. Nimeanza kumdharau!
Ngoja tuone maandamano atapata watu wangapi........

Kwenye siasa hayupo rafiki wala adui wa kudumu bali agenda.

Walipo Slaa, Mwabukusi, Lissu na wa namna hiyo tupo!
 
Generation mbili mbele.

Kwanini mbili si tatu, sasa au 80 mbele? Kigezo chako nini au ramli tu?

"Kama ni ramli hudhani labda tujikite kujadili uganga wa kienyeji tu ndugu?" -- Mwigulu.
 
Kwanini mbili si tatu, sasa au 80 mbele? Kigezo chako nini au ramli tu?

"Kama ni ramli hudhani labda tujikite kujadili ugaga wa kienyeji tu ndugu?" -- Mwigulu.
Nenda kwa Wagogo halafu useme unataka kuandamana dhidi ya Serikali ya CCM, uone kama atatoka mtu, hata kama Mgogo anaishi kwenye Nyumba ya Tembe na anashindia mlo wa Viwavi jeshi.
 
Nenda kwa Wagogo halafu useme unataka kuandamana dhidi ya Serikali ya CCM hatoki mtu hata kama Mgogo anaishi kwenye Nyumba ya Tembe na anashindia mlo wa Viwavi jeshi.

Ila ruzuku na ubunge mnavitaka kweli kweli. Yaani hamuoni wala hamsikii.

Ama kweli:



Wito kujitathmini ni real ..
 
Si uhamie Kenya ndugu ambako unakutamani!! Tuache sisi hivihivi na uzoba wetu
 
Na nyinyi na Movement yenu ya Sauti ya Mtanzania+NCCR tunawatakia kila kheri

Mimi niko hapa JAMBO TV Slaa yuko live.

Siko NCCR mkuu. Hivi vyama having mwenyewe. Tutabanana humu humu ila u chawa wa ki CCM wengine haituhusu ...

Tutasimama haki bila kujali inatokea CCM.

Kwa hapa Mwabukusi 💯%!

Habari ndiyo hiyo.
 
Siko NCCR mkuu. Hivi vyama having mwenyewe. Tutabanana humu humu ila u chawa wa ki CCM wengine haituhusu ...

Tutasimama haki bila kujali inatokea CCM.

Kwa hapa Mwabukusi 💯%!

Habari ndiyo hiyo.
Mimi ni CHADEMA na ninatii viongozi wangu na mara nyingi I speak my mind huwa sina herd mentality.

Jana Mwenyekiti wangu Mwamba Freeman Aikaeli Mbowe kaeleweka loud and clear kuwa hatuendi kwenye mikutano ya Mwambukusi na Slaa ila tunaendelea na mikutano yetu ya kikanda.
 
Hiyo ni point Mwakubusi ameongelea kwamba wanasiasa ni wabinafsi hadi wananchi hawana hamasa. Unadhani watu wanaingia barabarani sababu ya vyama?
 
Hili jambo la maandamano la kina Dr Slaa, Mwambukusi, Mdude Nyangali na wenzao linaonekana kwa haraka haraka kama lina sura na lengo jema sana - kushinikiza upatikanaji wa katiba mpya na kupinga mkataba wa bandari ambazo pia hizi ndizo ajenda kuu za CHADEMA...

Lakini ukweli ni kuwa, ukifikiri na kuliangalia Kwa jicho la pili la ndani, moja Kwa moja utagundua kuwa huu ni mtego wa CHADEMA ambao umesukwa ndani ya TISS kuinasa CHADEMA na kuipeleka mahali TISS na wapinzani wao wakuu CCM wanataka iwe - kuifutia usajili..

Binafsi nimemwelewa vizuri sana mwamba Freeman Mbowe vizuri leo. Na nawasifu sana CHADEMA kuwa wana akili sana kuukwepa mtego huu. Na operesheni zao zinazoendelea kupita Jimbo Kwa Jimbo, mkoa kwa mkoa na wilaya kwa wilaya na kwenye kata na vijiji vyote ni more effective than tukio la siku moja...

USHAURI WANGU NI;

Dr Slaa, Mwambukusi, Mdude Nyangali na Sauti ya Tanzania wafanye Kwa kadiri wanavyoona inafaa. Tukiona yanaendelea na wamekomaa kwelikweli, wataungana nao huko mbeleni

By the way, Mimi najiuliza;

1. Hawa Sauti za wananchi/Watanzania ni kina nani? Wamesajiliwa kisheria? Malengo yao ni nini

2. Waliwahi kukutana na CHADEMA - chama cha siasa registered chenye programs na mipango yake ya muda mfupi na mrefu wakajadili namna wanavyoweza kuwashirikisha kwenye mpango wao huo?

## Ni kweli huwezi kukaa huko ukapanga mambo yako na kisha out of nowhere ukawaita watu wasiojua hili wala lile juu ya shughuli yako ili waje kushiriki tu..!

## Hata sherehe ya harusi hutumia muda mrefu na WA kutosha kuandaliwa kwa kusambaza kadi za kuomba michango na baadaye kuwaalika watu kwenye sherehe yenyewe..

## CHADEMA wana akili sana kuepuka mtego huu..
 
Kuna watu wengine wameumbwa hawapendi unafiki.
 
Stop overthinking. Strategy ya Chadema kwasasa ni mbovu mno, wataishia kuwa kama Sharif. CCM na TISS wapo tayari kuua na kutumia nguvu kubaki madarakani. Uniamini watu wa namna hiyo wataondoka kwa maridhiano na kura? Msipoanzisha maandamano na civil disobedience CCM haitatoka.
 
utaitoa ccm kwa majadiliano na mbinu za kisayansi sana. Historia ya nchi hii haibebi siasa za mapambano physical angalia kuanzia kupigania uhuru utapata jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…