Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Kama nyie ni waoga haimanishi wananchi wote ni waoga. Chawa wenyewe wapo ngapi? Vyombo vya usalama vinaogopa kuliko hata wananchi wenyewe. Mwakubusi akiweza kuandamana hata na watu kumi siku ya kwanza tayari ni mafanikio makubwa sana. Akirudia hivyo mara 10 tu watu wataanza kumuona yupo serious na kumuunga mkono ni kama yule mchungaji wa Mbeya utaona reaction itakayoleta baada ya kufungwa. Jitihadini kujifunza historia mara zote oppressive governments hazijawahi kushinda.Na vyombo hivyo vya usalama vina take advantage ya woga wa watanzania especially vijana wengi ambao hawapo tayari kwa mapambano ni waoga sana kiasi cha kujiingiza kwenye uchawa kama fichio la huo woga wao.
Uhakika uliyopo ni kupigana vita hiyo na maamdamano hayo nyuma ya viboard vyetu humu jf na mitandao mingine.