CCM ni wapuuzi sana wamewapumbaza Watanzania kwa vitu vya kijinga kijinga wewe ukitaka kuwakomboa wanakuona wewe ndio msaliti.
CCM imeua elimu halafu inashinikiza watu wawe machinga.
Nchi inaendeshwa Kiswahili swahili wanaambiwa ndio uzalendo kuwa masikini.
Mambo 'serious', yanageuzwa kuwa ya mzaha mzaha kiasi hiki!Siku Wananchi wakichoka hakuna cha Mwabukusi wala Slaa wenyewe wataingia Mabarabarani so far wako bize na YANGA SIMBA mchana usiku VIGODORO.
Hebu tazama maandamano ya YANGA
View attachment 2769566
Una hoja. Angeweza kuzungumzia upande wake bila kuwashambulia wapinzani. Watanzania ni watu wako delicate sana kiakili na wakiyumbushwa kidogo tu wanayumba na kukata tamaa.Unafiki upi sasa? Mbona CHADEMA walisusia kikao cha Samia.... mbona pia wamepinga mkataba wa bandari alitaka wafanyeje?
"Tulipo sasa, kuna vibaraka na wengine kwa kutojitambua walio team up na CCM dhidi ya Mwabukusi"Kwani wapi unamwona anawaongelea au ana pressure na chadema?
Hoja za Mwabukusi zimeporwa na kupotoshwa na ma CCM.
Tulipo sasa Kuna vibaraka na wengine Kwa kutojitambua walio team up na CCM dhidi ya Mwabukusi.
Kwamba Unaweza vipi kuungana na CCM hata dhidi ya shetani?
You are correct dear. CCM iliua elimu na uwezo wetu watanzania kutafakari na kutuacha kama nyumbu. Ndiyo maana rais anaweza kufanya jambo la kijinga kabisa na hakuna mwananchi anayejali.CCM ni wapuuzi sana wamewapumbaza Watanzania kwa vitu vya kijinga kijinga wewe ukitaka kuwakomboa wanakuona wewe ndio msaliti.
CCM imeua elimu halafu inashinikiza watu wawe machinga.
Nchi inaendeshwa Kiswahili swahili wanaambiwa ndio uzalendo kuwa masikini.
Una hoja. Angeweza kuzungumzia upande wake bila kuwashambulia wapinzani. Watanzania ni watu wako delicate sana kiakili na wakiyumbushwa kidogo tu wanayumba na kukata tamaa.
Na ikitokea Samia akampa cheo anaitosa Movement yote anakuwa kama sio Slaa vile.Slaa
Mkuu ingia msituni mimi nitakufuata.Mkuu Mimi siwezi kuburuzwa na ma CCM
"Tulipo sasa, kuna vibaraka na wengine kwa kutojitambua walio team up na CCM dhidi ya Mwabukusi"
Umegonga penyewe hasa, mkuu 'Brazaj'.
Na ikitokea Samia akampa cheo anaitosa Movement yote anakuwa kama sio Slaa vile.
Again, 'generalization' isiyokuwa sahihi kabisa. Mluhya wa Kenya, au Mkamba, utamfananishaje na Mjaluo au Mkalenjin au Mkikuyu?Nimeishi na kusomea Kenya mindset ya Mtanzania iko tofauti sana na Mkenya mpaka huwa najiuliza Artificial Borders zinawezaje kubadilisha tabia za watu kiasi hicho Mkenya anajitambua zaidi na yuko active kwenye mambo yanayomhusu iwe kwenye kabila lake au jamii yake.
Mtanzania wa Kilimanjaro Arusha Manyara anaweza kufanana kidogo na Mkenya hata CCM wenyewe hupata tabu sana kwenye maeneo hayo.
Mkenya aneweza kuingia barabarani hata wakiwa watano.
Kenya tunaosifia maandamano yao Raila anakuwa mstari wa mbele. Vyama vya upinzani ni dhaifu mbaya zaidi vimeiga mifumo ya CCM yaani ni dhambi kubwa kuwa na mawazo kinyume na mwenyekiti wa chama. Ni kweli mafao ya wake wa viongozi ni kulipia tendo la ndoa la viongozi si ajabu baadae na michepuko ikadai mafao.
Mpinzani alikuwa marehemu Mtikila ambaye alikuwa anapambana kwa vitendo ikiwemo kuipambania mgombea binafsi.
Mkuu ingia msituni mimi nitakufuata.
You are correct dear. CCM iliua elimu na uwezo wetu watanzania kutafakari na kutuacha kama nyumbu. Ndiyo maana rais anaweza kufanya jambo la kijinga kabisa na hakuna mwananchi anayejali.
πππ₯πΌHerd mentality isikusumbue ndugu mimi siwezi kuburuzwa na Slaa na Mwabukusi nyie mfuateni.
Nawatakia kila la kheri mimi nasubiri Ziara ya CHADEMA nyanda za juu kusini nikamsalimie Erythrocyte huko Kyela.
πππ₯πΌπNdiyo maana Mwabukusi na wenzao wenye kujitambua wameamua kuchukutua hatua. Badala yake kina imhotep na wenzao wamechukia.
Hiiiiiii baghosha!
Mkipanga siku ya Maandamano wao wanapanga siku hiyo mechi ya YANGA na SIMBA.Ndiyo maana Mwabukusi na wenzao wenye kujitambua wameamua kuchukutua hatua. Badala yake kina imhotep na wenzao wamechukia.
Hiiiiiii baghosha!
πππ₯πΌπ
Was it necessary? Kwamba wake za viongozi wanalipiwa ngono? Sasa bandari na kulipia ngono wapi na wapi?Ni kweli mafao ya wake wa viongozi ni kulipia tendo la ndoa la viongozi si ajabu baadae na michepuko ikadai mafao
Kwamba Mbowe hakua mstari wa mbele walipopigwa risasi pale Mkwajuni?Kenya tunaosifia maandamano yao Raila anakuwa mstari wa mbele
Sio kweli, Mbona Mbowe kila siku anakiri kuwa kamati kuu inampinga kufanya maridhiano na kwenda kwenda ikulu? Mbona Lissu anapinga wazi wazi maridhiano!! Kuna aliyetimuliwa?ni dhambi kubwa kuwa na mawazo kinyume na mwenyekiti wa chama.