Ushauri kwa wanaotaka kuoa, tafuta mke unayemmudu

Umeongea fact kabisa mkuu lakini hili swala la mwanamke kuwa na kazi me nazani jaribuni kuliangalia kwa upande wa pili,,imetokea ghafla mume hayupo duniani tena,,inaweza kuleta changamoto kubwa katika familia.
Me nafikiri waafrica wengi tumearibiwa na hizi western politics juu ya 50/50 Ili kudhoofisha uanaumee wetu Ili dunia iwe rahisi kutawalika coz mwanaume ukiwa dhaifu uongozi ndani hakuna... Nafikiri kitu kizuri waafrica ni kuanza kucreate shina la upendo kuanzia ngazi ya familia Ili ziwe na umoja na upendo pia yaani familia wakiwa pamojaa kwa upendo na kushirikiana ni rahisi kujenga msingi imara tazama familia nyingi za waarabu, wahindi na wapemba wanavyoishi wanaishi kicommunity zaidi na ndio maana hawawazi kuwa amuache mke akafanye kazi kwasababu anahofu akifa watoto watapata shida wao huamini mke ni kukaa nyumbani na kulea familia hela mme ni kutafuta na kuleta ndani huku wakiamini familia kwanza na kusaidiana na ata kama ukifariki watoto watalelewa tu vizuri na wanamke akileta tofauti uondolewa... Wao hujali Sana damu yao lakini sio sisi waafrika ambao hatupendani, wabinafsi na kujiwazia wenyewe lakini tungekuwa na umoja kutoka ngazi ya familia tusingekua tunawaza haya..
 
Ushauri wako ni Mzuri mnoo, asante wenye masikio wamekusikia
 
 
Bandiko safi. Shetani yupo kazini, familia ndio Muhimili wa taifa. Familia ikiwa dhaifu taifa pia ni dhaifu.

Ikitokea ukampenda binti( sio lazima awe mkeo) labda mchumba wako, the moment ukampenda ndio time yeye kufanya vya kufanya ilimradi tu mvurugano na amani isiwepo.

Swala la kufa ni la Mungu. Mpe biashara mkeo, inayompa muda wa kuhudumia familia. Ndugu zangu kuja kumnyang'anya mali zangu mke ni kutokana na misingi niliyoijenga kati ya ndugu na huyo mke wangu. Mali zangu ni za watoto.
 
Wanawake wengi huwa na kiburi sana wakipata kazi!. Wengi wao waliofanikiwa kimaisha hubaki kuwa single. Utasikia wanasema mwanaume wa nini?
Kwa maoni yangu mwanamke tegemezi anafaa sana kwa maisha ya ndoa kuliko aliye na ajira.
 
Kimsingi kabisa bro nakuunga mkono, Mwanamke anatakiwa kulea Watoto katika malezi mazuri pamoja na usaidizi wa mwanaume, lakini mama akae maskani awalee Watoto alinde Mali za mumewe,na mtafutaji ni Baba. Yeye ndo ambaye ana jukumu la kuhakikisha familia yake inapata Kila mahitaji ya Muhimu. Haya mambo ya mwanamke Asubuhi na Mwanaume Asubuhi wote kazini huu uongo
 
Kweli mkuu yaani mke akiwa na mshahara afu na wewe unamshahara ni sawa na serikali mbili ndani ya nchi moja kitu ambacho lazima kitaleta migogoro kama mmoja hajajifanya bwegee.. Ili nyumba iwe na amani lazima mmoja awe na nguvu kuliko mwingine
Ni sawa na ndani ya tz
chadema wawe na jwtz yao
Na ccm wawe na jwtz yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh muombe Mungu akutolee hayo mawazo watu hawaoani Ili waachane japo ipo kisheria lkn sio lengo la ndoa
Najua lakini ana vitabia fulani ambavyo havitakuja kubadilika. Nimeshamueleza mara nyingi sana lakini hasikii. Sasa mambo ya kupigana au kuuana mi siwezi. Bora niendelee na safari yangu peke yangu. Shauri yake. Afu naona ni yeye anaenjoy hii status kuliko mimi. Pete ya ndoa nishaacha kuvaa ila ye kila siku namuona anayoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Dah
 
Ukiona mke wako anafanya kazi na ww unafanya kazi , alaf pesa yako ndo kila kitu na yake haijulikani inaenda wapi , my friend huyo hakupendi, na anaweza akakuuza anytime , kama Una roho ya paka piga chini chap .... Maisha ni upside down huwez ukawa vzuri kiuchumi mda wote , never , kuna sku utayumba kiuchumi ndo utayaona makucha yake live na inaweza kuwa ikawa toolate to resolve..!!

Bado wanawake wenye roho nzuri ya kujenga familia wapo , usijitie kitanzi kwenye chaka bovu kisa umependa ,
 
suala hili ni pana zaidi katika kujadili matokeo ya kuoa mwanamke mwenye ajira na asie na ajira ktk upande wa faida na hasara

faida zake (kwa mwenye ajira)
1.endapo ukakwama na mkawa mnaelewana ndani ya nyumba anaweza kusaidia kwa kipindi umekwama kuziba nafasi japo kwa uchache
2.ukifa ana take responsible sahihi kwa watoto
3.shida hupungua ktk familia kipesa
4.mtakula maisha (kama mpo bond)


hasara zake (kwa mwenye ajira)
1.ukikosea kidogo tu anaanza dharau ni kwasababu anajua hakutegemei moja kwa moja
2.mara nyingi chako chake, ila chake ni cha kwake tu
3.watoto hukosa malezi ya mama hatimae huishia kupelekwa boarding schools
4.mapenzi hupungua kwa sababu kila mtu anakuwa bize mchana mkirudi nyumbani wote mmechoka
5.chance ya kucheat na mahouse girl au maofisini huwa kubwa sana
6.heshima ya mwanaume hupungua kwa sababu uwepo wake hauna nguvu ya moja kwa moja kwa familia
7.ndoa huweza kuvunjika muda wowote kwa kuwa wote ndani wanaweza kujiona wanaume na kitu ambacho mwanaume hakipendi ni dharau au kukosewa heshima
8.watoto hukosa maadili


kwa hivyo kimsingi kuoa mwanamke mwenye ajira kuna faida chache sana kuliko hasara
hasara ni nyingi ila all in all mwanaume uchague kuitekekeza ndoa yako ama kuijenga for future hilo lipo mikononi mwako ila cha mwisho wakuu na cha kuzingatia mwanaume inapaswa kutumia sana akili kufanya maamuzi katika kuliendea suala zima la ndoa kuliko kutumia mihemko na hisia za mapenzi (moyo huponza kicbwa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…