Uchaguzi 2020 Ushauri kwa wanasiasa: Mbio zenu za Madaraka zisiathiri maisha yetu; kuigingilia mitandao na intaneti ni kuzuia haki zetu

Uchaguzi 2020 Ushauri kwa wanasiasa: Mbio zenu za Madaraka zisiathiri maisha yetu; kuigingilia mitandao na intaneti ni kuzuia haki zetu

Tunaongozwa na binadam wasio na sifa ya utu. kilimit speed ya internet na kufunga baadhi ya mitandao ya kijamii ni ujinga mkubwa Sana. Hii inatupa hasira Sana kuelekea siku ya kesho.
Ndio ukiwa na watawala vichwa nazi, hawafikirii nje ya box
 
Hawa wanazingua sana.. Nmetoka road nakimbia kuna home nilikochaj kimeo changu .. Moja kwa moja nimezamia JF kujihakikishia kama imefungwa.. Ila nashkur JF IPO salama
 
Mwisho watatupangia mpaka ratiba ya mambo yetu binafsi.. umefanya kila kitu kizuri unafunga mitanado unaogopa nini?
Ujinga sana hadi vivuli vyao watavikimbia
 
Asubuhi tu nilivyoona no notif nakajua tyr nikadownload UFo VPn yaani iko poa sana nawacheka tuu
 
Back
Top Bottom