cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Ndio ukiwa na watawala vichwa nazi, hawafikirii nje ya boxTunaongozwa na binadam wasio na sifa ya utu. kilimit speed ya internet na kufunga baadhi ya mitandao ya kijamii ni ujinga mkubwa Sana. Hii inatupa hasira Sana kuelekea siku ya kesho.