Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
- Thread starter
-
- #61
Na mimi niliuandika tokea 2015 nashangaa huku ndo umefika 2020 nahisi ulipitiwa na time tlaver njiani.Huu uzi nimeuona mwaka juzi
Na weweza ona miaka kalibia kumi imepita tokea uote hiyo ndoto. Hapo ndo utambue kuwa ulifika hapo kabla ya muda kufika yaani ulisafiri miaka mbele kabla. Bila ya shaka ulitumia time travel.Kuna eneo nililiona ndani ya ndoto miaka mingi.Basi jana nimebahatika kufika urambo kwa mara ya kwanza,lile eneo nimeliona vile vile kama nishawahi kufika.
Lakini hata hapo nje ya simulation bado muda unakuwa unaenda kama ambavyo wadau wametoa shuhuda hapo juu.Na kama nje ya simulation hakuna time hivyo kila kitu hubaki kama kilivyo, ukirudi ndani ya simulation utakuta time inaendelea kama ilivyo.
Nilichosema ni kwamba.Lakini hata hapo nje ya simulation bado muda unakuwa unaenda kama ambavyo wadau wametoa shuhuda hapo juu.
Ama ulikusudia unaenda kidogo kidogo ?
Ushahidi wa fikra au ushahidi wa macho....fafanua ushahidi wa aina gani unaouhitaji....Nnaomba ushahidi wa haya unayoyaandika hapa.
I inaitwa deja vuMkuu sijapataga jibu la hi kitu
Mimi hua kunapicha zinanijia kichwani Ila baada ya muda najikuta Nipo ndani ya Ile picha
Na hua nkakumbuka Kama hili Jambo nliwahi jiona nipo
Naomba niingie kwenye maada mojakwamoja,
Ni baada ya kupitia mijadala kadhaa ya kitu kinachoitwa time travel nimeona watu wengi wakipingana na hii kitu, mimi binafsi bila ya lengo ya kujinufaida na faida yeyote ile napenda nikupe shuhuda na kukuomba pia uamini na ufanyie kazi kuwa hii kitu IPO.
Nakumbuka wakati nikiwa mdogo huko kijijini kwetu (....) Mkoa wa pwani. "Kijiji kimezungukwa na mito, vichaka mabonde na misitu mikubwa.
Kulikuwa na kawaida ya kupotea kwa watu mara kwa mara huku imani ya wengi ikiwa ni wachawi ndo wahusika wa kupotea kwa watu. Na hii nahisi wenda si kijijini kwetu tu bali hata kijijini kwenu wenda kuna haka ka tabia ka kupotea kwa watu ila niseme tuu sio watu wote wanapotelea kwa wachawi ila baadhi yao ni time travel. kwanini nasema ni time tlavel iliwahi nitokea pia ilikuwa hivi;-
(Shuhuda ya kwanza)::;
mimi na vijana wenzangu tulikuwa tunakwaida ya kusaka wanyama wadogowadogo kwa kutumia mbwa. Siku moja shambani kwetu waliingia ngedere kama kawaida nikafungulia mbwa na kuanza kimbiza ngedere (tumbili) kimbiza yangu ikaishia kwenye msitu mdogo ulioko mbali kidogo. Nikafika mahali na kupumzika nakumbuka ilikuwa kama majila ya saa saba mchana kwendea saa nane nikakaa chini ya mti mmoja aina ya mtopetope na kuanza kula matunda ya mti huo. Hada kufika saa 11 jioni ndio safari ikaanza ya kurudi home ile nafika home napata taarifa kuwa nilikuwa nimepotea tena siku mbili na watu walishapiga mpaka nyanga.
nikaanza kuwaelezea na hakuna aliyeniamini kuwa nimetumia kama masaa manne tu hivi kuwa msituni wala sio siku mbili nikaenda shambani kuhakiki baadhi ya mazao waliyokuwa wameharibu ngedere siku ile ni kweli nilikuta ni mazao yaliyoalibiwa kama siku mbili zilizopita nyuma. Kwa wakati ule niliamini kweri wenda ikawa ni wachawi ila baada ya kufika JF na kukutana na hii kitu time travel. Imenifanya niamini kuwa hata hapa dunianibkuna maeneo ukifika ukitoka hapo unaeza ona umetumia dakika mbili ila ukitoka kwenye hilo eneo unakuta hata masaa saba yameahapita. Na hata kama unasaa ya kimwekumweku itakulazimu uilekebishe.
(Shuhuda ya pili)
Wakati nasoma pia shule ya msingi ilikuwa inanilazimu nilekebishe saa yangu kila ninapopita njia flani yaani saa yangu imekuwa imechelewa hata dakika tano na saa wenzie.
HITIMISHO
time travel ni yakweli na ipo na hata kuna baadhi ya maeneo hapa hapa ndani ya dunia.
Hakuna wazo langu hapo hata moja, labda huijui Time Travel na Time Dilation, na hili la mtoa mada, japo linataka ushahidi wa hakika ila lipo tukio lililotokea zama za zamani sana, ambalo ushahidi wake tunao.Yaani haya ni mawazo yako alafu unablock watu na unaweka hitimisho kweri shekh unajielewa!!
Sawa mjumbeAsante kaka ka makala yako. Lakini upo pointless Sana
Endelea kufanya uchunguzi zaidi bado hoja zako hazina uzito kabisa kusimama Kam mgombea.
Time dilation ipi wakati time imeenda kwa utaratibu kabisa.?Hakuna wazo langu hapo hata moja, labda huijui Time Travel na Time Dilation, na hili la mtoa mada, japo linataka ushahidi wa hakika ila lipo tukio lililotokea zama za zamani sana, ambalo ushahidi wake tunao.
Ngoja nikupe ushauri,huu ushauri uufanyie kazi. Kabla ya kuhoji juu ya jambo fulani na kuonyesha ujuaji, hakikisha una elimu juu ya jambo hilo. Maana unachokiuliza hakihusiani na Time Dilation. Nani amekwambia Time Dilation ni ku delay kwa Time ?Time dilation ipi wakati time imeenda kwa utaratibu kabisa.?
Imedelay time au kumedelay kuzeeka kwa watu ?
Time inadelay vipi mkuu wakati hawa watu ambao sio wa pangoni walikufa na wakazaliwa wengine kwa maana muda kwao ulifanya kazi na athari zikaonekana ?
Sawa nimechukua ushauri wako.Ngoja nikupe ushauri,huu ushauri uufanyie kazi. Kabla ya kuhoji juu ya jambo fulani na kuonyesha ujuaji, hakikisha una elimu juu ya jambo hilo. Maana unachokiuliza hakihusiani na Time Dilation. Nani amekwambia Time Dilation ni ku delay kwa Time ?
Sasa kuna vitu mna hoji mpaka tunashindwa kujibu sababu unahoji jambo ambalo halipo.
Katika maelezo yangu huko juu wapi uliona nimeandika kuna kudelay kwa muda au kuna kusimama kwa muda ? Nilipotolea mfano wa Vijana wa Pangoni wapi kumeonyesha kuna kudelay kwa muda ? Sasa acha kukurupuka.
Ahsante.
Kasome huko juu nimeielezea kwa mfano , usipoelewa nenda kagoogle, na usome nadharia ya Albert Einstein katika Relativity theory.Sawa nimechukua ushauri wako.
Time dilation inakuwaje nipe faida
Hiyo stori ya ndege ilitungwa tu, watu walisha provehii dhana inataka kufanana na ile stori ya ndege iliyopotea mwaka 1955 ikaja kuonekana tena mwaka 1992.
Naona ulitoa mfano wa watu wa pangoni pale kuhusu time dilation ile time dilation inaingiaje kwa watu wa pangoni ?Kasome huko juu nimeielezea kwa mfano , usipoelewa nenda kagoogle, na usome nadharia ya Albert Einstein katika Relativity theory.
Kwa hiyo time dilation inaweza kutokea ndani ya moja kama duniani duniani tu. ?Ukiangalia vizuri hiki ulichokiandika ni Time Dilation na si time Travel. Hakuna Time Travel na haiwezekani.
Huu mfano wako ndo umenifanya niulize,kwa sababu hapa kana keamba unaashiria kuwa time dilation lazjma ihusishe maeneo tofauti mawii,yaani duniani na huko mbinguni.Mathalani kuhusu Time Dilation, una kuta muda wa hapa ardhini si sawa na muda mbinguni,