Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
- Thread starter
- #61
Na mimi niliuandika tokea 2015 nashangaa huku ndo umefika 2020 nahisi ulipitiwa na time tlaver njiani.Huu uzi nimeuona mwaka juzi
Ila cha kushangaza uzi ni uleule na haujabadilika na najikuta nimeuandika kama jana tu hivi