Ule ushauri nilio kupa umedai unaufanyia kazi, jaribu kuufanyia kazi mzee ule ushauri. Shida yako unajidai unajua jambo unalihoji, halafu hujui. Sasa kukujibu naona ni kupoteza muda.Naona ulitoa mfano wa watu wa pangoni pale kuhusu time dilation ile time dilation inaingiaje kwa watu wa pangoni ?
Time dilation ipo kote kote, mafhumu ya time fdilation ni kutofautiana kwa muda ndani ya sehemu moja au sehemu mbili tofauti kutokana na tofauti ya mwendo au mvutano. Haya ni mapito ya watu wa Fizikia.Kwa hiyo time dilation inaweza kutokea ndani ya moja kama duniani duniani tu. ?
Unatakiwa uongeze umakini ukiwa unasoma ninacho kiandika. Nimetoa mifano miwili ya Time Dilation, lakini naona umehitimisha kwa kauli ya uongo kwamba nimehusisha sehemu mbili tofauti. Huku nikukosa kwako umakini. Ule ushauri nilio kupa ufanyie kazi utakusaidia sana. SasHuu mfano wako ndo umenifanya niulize,kwa sababu hapa kana keamba unaashiria kuwa time dilation lazjma ihusishe maeneo tofauti mawii,yaani duniani na huko mbinguni.
Sasa kijana inakuwaje unahitimisha kwa vitu ambavyo havipo, nikikuuliza unionyeshe wapi nimesema Time dilation inahusisha sehemu mbili tofauti pekee utanionyesha ? Wakati nimetoa mifano miwili tofauti na yote inaonyesha Time Dilation ? Ongeza umakino ili usiwe unapoteza muda kuhoji vitu vya kijinga kwa kutokuwa makini.Sasa tukiangalia mfano uliotoa wa watu wa pangoni pale tukio lilitokea hapa hapa duniani na wala halikuhusisha maeneo mengine ya ulimwengu.
Sasa nani anasema tukio lile muda haukuenda katika utaratibu. Naona pale mwanzo ulikurupuka kwa kufasiri neno kwa mjengeko wake ukahusisha "Dilation" na "Delay".Hivi vitu viwili tofauti. Fanyia kazi ushauri wangu.Lakini pili tukio lile muda ulienda kwa utaratibu wake kama ulivyopangwa na miaka ikaenda,ila tu wale watu ndo hawakuathiriwa na uwingi wa muda,,l lakini muda ulienda vizuri kabisa.
Umeona sasa unavyo jiumbua ? Huko juu umetoa hitimisho kwa mfano mmoja nilio utoa, lakini hapa uajumuisha mifano yote miwili, sasa huoni unavyojichanganya ?Hapo sijaelewa kuwa watu wa pangoni wanahusiana vii na time dilation wakati ambapo mifano uliyotoa imefungamanisha MUDA na eneo zaidi ya moja ya ulimwengu ?
Unaandika kishari shari mkuu kama tuna ugomvi.Time dilation ipo kote kote, mafhumu ya time fdilation ni kutofautiana kwa muda ndani ya sehemu moja au sehemu mbili tofauti kutokana na tofauti ya mwendo au mvutano. Haya ni mapito ya watu wa Fizikia.
Kwahiyo tukio la watu wa pangoni hakuna kusimama kwa muda,muda upo kama kawaida ila umetofautiana kutokana na sababu fulani.
Katika aya inayosema malaika huwa wanatoka duniani kuelekea mbinguni kwa ajili ya kazi husika waliyopewa na Allah,kwa siku yao moja ni sawa na miaka Elfu 50,kwa hapa kwetu. Huu ni uhusiano wa kutofautiana kwa muda na hakuna kusimama kwa muda hapo.
Watu wa pangoni vivyo hivyo, walipigwa usingizi kwa miaka hiyo aliyoitaja Allah katika Qur'aan, lakini wao wakaona kama wametoka kuamka tu, yaani kama sehemu ya siku lakini kumbe muda ulikuwa ni miaka 309.
Unatakiwa uongeze umakini ukiwa unasoma ninacho kiandika. Nimetoa mifano miwili ya Time Dilation, lakini naona umehitimisha kwa kauli ya uongo kwamba nimehusisha sehemu mbili tofauti. Huku nikukosa kwako umakini. Ule ushauri nilio kupa ufanyie kazi utakusaidia sana. Sas
Sasa kijana inakuwaje unahitimisha kwa vitu ambavyo havipo, nikikuuliza unionyeshe wapi nimesema Time dilation inahusisha sehemu mbili tofauti pekee utanionyesha ? Wakati nimetoa mifano miwili tofauti na yote inaonyesha Time Dilation ? Ongeza umakino ili usiwe unapoteza muda kuhoji vitu vya kijinga kwa kutokuwa makini.
Sasa nani anasema tukio lile muda haukuenda katika utaratibu. Naona pale mwanzo ulikurupuka kwa kufasiri neno kwa mjengeko wake ukahusisha "Dilation" na "Delay".Hivi vitu viwili tofauti. Fanyia kazi ushauri wangu.
Umeona sasa unavyo jiumbua ? Huko juu umetoa hitimisho kwa mfano mmoja nilio utoa, lakini hapa uajumuisha mifano yote miwili, sasa huoni unavyojichanganya ?
Mfano mwingine tunasoma katika Qur'aan ya kuwa siku moja kwa Allah kwatu sisi ni miaka elfu moja.
Shida yako unahoji kitu kama unakijua halafu hukijui, sasa unazidi kukosea. Nilikwambia soma kwanza kitu ukijue au hoji kwa usahihi.
Ngoja nikusaidie, kwani Time Dilation ni nini ? Jifunze kuhoji kwa usahihi. Unavyojua wewe.
Sasa fanyia kazi ushauri nilio kupa.
Ahsante.
Mkuu mbona unaandika kibifubifu wakati kuhoji ni mambo ya kawaida tu ambayo kila mtu huuliza.Ule ushauri nilio kupa umedai unaufanyia kazi, jaribu kuufanyia kazi mzee ule ushauri. Shida yako unajidai unajua jambo unalihoji, halafu hujui. Sasa kukujibu naona ni kupoteza muda.
Nimekupa mapitio kasome ili usipoteze muda kuuliza jambo ambalo kama ungefata ushauri wangu usinge uliza.
Hakuna shari hapo mzee. Nikiwa na bifu na Mtu huwa najiepusha nae. Ukiona nakujibu na kukuelekeza ujue sina tatizo na wewe.Mkuu mbona unaandika kibifubifu wakati kuhoji ni mambo ya kawaida tu ambayo kila mtu huuliza.
Naona nazodolewa haswa.
Sawa mzee nimekusikia.
Sina tatizo na wewe, ndiyo maana nalujibu. Shida yako unahoji mambo ya kijinga na unajifanya jambo unalijua lakini hulijui. Sasa lazima tuwe wakali kidogo ili uongeze umakini.Unaandika kishari shari mkuu kama tuna ugomvi.
Ila sawa umeandika imesomeka.
Alaaa sawa.Sina tatizo na wewe, ndiyo maana nalujibu. Shida yako unahoji mambo ya kijinga na unajifanya jambo unalijua lakini hulijui. Sasa lazima tuwe wakali kidogo ili uongeze umakini.
Ahsante.
Haha dah.Hakuna shari hapo mzee. Nikiwa na bifu na huwa najiepusha nae. Ukiona nakujibu na kukuelekeza ujue sina tatizo na wewe.
Neno kuhoji unalitumia vibaya sana,shida una hoji mambo yasiyo na msingi. Hili sijaanza kukwambia leo. Tumeambiwa tuhoj ila tuhoji vya maana.
"Tunayoyafahamu katika dunia ni machache mno ukilinganisha na tusiyoyafahamu."Tunayoyafahamu katika dunia ni machache mno ukilinganisha na tusiyoyafahamu. Vitabu vya dini vinasibitisha hilo.
Na hata katika qur-ani kuna kisa cha swaaba mmoja aliwahi pia enda sehemu nahisi ni mbinguni ila sikumbuki vizuri yeye alitumia siku moja ila alirudi na kukuta watu wameishi miaka 70
Hii tafsiri ya kuwa ni kutofautiana kwa muda ndani ya sehemu moja ama sehemu mbili tofauti ndio niliuliza huko juu kuwa watu wa pangoni huo muda ulitofautiana baina ya wapi na wapi mkuu ?Time dilation ipo kote kote, mafhumu ya time fdilation ni kutofautiana kwa muda ndani ya sehemu moja au sehemu mbili tofauti kutokana na tofauti ya mwendo au mvutano. Haya ni mapito ya watu wa Fizikia.
Hizo sababu ni zipi kwa mujibu wa ushahidi wa kisa kile wakati ambapo Allah anathibitisha kuwa wale walilala pale miaka mingi mfano wa miaka ile ile iliyopita kwa wasiokuwa wao ?Kwahiyo tukio la watu wa pangoni hakuna kusimama kwa muda,muda upo kama kawaida ila umetofautiana kutokana na sababu fulani.
Huu muda wa miaka 309 haukuwa tofauti na miaka ya nje ya pango,kwa maana muda ulienda sawa kabisa baina ya pangoni na kusikokuwa pangoni.Watu wa pangoni vivyo hivyo, walipigwa usingizi kwa miaka hiyo aliyoitaja Allah katika Qur'aan, lakini wao wakaona kama wametoka kuamka tu, yaani kama sehemu ya siku lakini kumbe muda ulikuwa ni miaka 309.
Pengine wewe ukaona umeeleweka ulichokusudia,lakini waliopokea ujumbe wameelewa tofauti.Unatakiwa uongeze umakini ukiwa unasoma ninacho kiandika. Nimetoa mifano miwili ya Time Dilation, lakini naona umehitimisha kwa kauli ya uongo kwamba nimehusisha sehemu mbili tofauti. Huku nikukosa kwako umakini. Ule ushauri nilio kupa ufanyie kazi utakusaidia sana. Sas
Mifano yako iliashiria hivyo kuwa time dilation inahusisha sehemu mbili tofauti.ndio maana ulinukuu mfano wa siku moja kwa Allah na siku moja ya duniani utofauti wao.Sasa kijana inakuwaje unahitimisha kwa vitu ambavyo havipo, nikikuuliza unionyeshe wapi nimesema Time dilation inahusisha sehemu mbili tofauti pekee utanionyesha
Wapi tumekubaliana kuwa kuwa hiyo mifano yote kuwa ni time dilation ?Wakati nimetoa mifano miwili tofauti na yote inaonyesha Time Dilation ? Ongeza umakino ili usiwe unapoteza muda kuhoji vitu vya kijinga kwa kutokuwa makini.
Okey sawa Mungu akubariki.Sasa nani anasema tukio lile muda haukuenda katika utaratibu. Naona pale mwanzo ulikurupuka kwa kufasiri neno kwa mjengeko wake ukahusisha "Dilation" na "Delay".Hivi vitu viwili tofauti. Fanyia kazi ushauri wangu.
Nilichokubaliana na wewe ni mfano wako wa time dilation kuwa ni muda na sehemu mbili tofauti.Umeona sasa unavyo jiumbua ? Huko juu umetoa hitimisho kwa mfano mmoja nilio utoa, lakini hapa uajumuisha mifano yote miwili, sasa huoni unavyojichanganya ?
Mfano mwingine tunasoma katika Qur'aan ya kuwa siku moja kwa Allah kwatu sisi ni miaka elfu moja.
Mimi hapa nahoji kwa mujibu wa maana ulizozitoa wewe.Ngoja nikusaidie, kwani Time Dilation ni nini ? Jifunze kuhoji
Au mtu unaota ndotoni na hapo ndotoni umetumia miaka zaidi ya mitatu,cha ajabu ukiamka ni masaa saba ya usiku tu.Ila jaman inakuwaje mtu unalala unaota mwaka wa zamani sana hata wewe hujawahi kuwepo huko
Dunia ina miujiza mingi sana."Tunayoyafahamu katika dunia ni machache mno ukilinganisha na tusiyoyafahamu."
Umenena vema mkuu.
Mkuu kuna watu tunaishi nao katika ulimwengu wa nyama ila kiroho tumetengwa nao mbali sana na wana vipawa visivyokuwa vya kawaida.
Binafsi siwezi kataa kuhusu ishu ya time travel, hii kitu ni kweli ila tunatofautiana namna ya kutazama katika ulimwengu mwingine.
Haya mambo yapo and to be honest binafsi kuna mengi huwa yananitokea, siyo kwamba ni ushirikina ila ni ulimwengu wangu wa ndani.
Nimesoma vitabu vingi kuhusu haya mambo na nikiunganisha na yanayoendelea katika maisha yangu binafsi naona uhusiano mkubwa sana.
Sent from my E2333 using JamiiForums mobile app
Kuendelea kujadiliana na mimi ni kuendelea wewe kukosea. Naona unakimbia kivuli chako, awali kabila ulipo ni quote ukaandika mambo ya "delaying". Sasa kama unahoji ninacho kiandika, iweje kwenye "Dilation" ukaingiza mambo ya "Delay" ? Hili la kudelay ulilipata wapi ?Mimi hapa nahoji kwa mujibu wa maana ulizozitoa wewe.
Wewe umeeleza kuwa time dilation ni utofauti wa muda baina ya sehemu moja ama mbili na ukatoa mifano.
Nahoji kutokea katika maana yako hiyo ambayo mwanzo KIUKWELI SIKUIPATA KUTOKA KWAKO.
Kijana ongeza umakini, kuna muda unakuwa hujibiwi sababu unaandika mambo ambayo muhusika hajaandika. Suala la kutofautiana muda katika eneo moja kulingana na sababu tofauti tofauti ni kwa watu husika wanavyo ona. Ndiyo maana nikasema Vijana wa pangoni wao ndiyo waliona kama wamekaa na kulala sehemu ya siku, lakini ukweli walikaa pale miaka 309. Sasa acha kuhoji ujinga ambao haupo. Ndiyo maana nakwambia ongeza umakini, unakosea sana mpaka unanipa uzito wa kukujibu, naona napoteza muda.Hii tafsiri ya kuwa ni kutofautiana kwa muda ndani ya sehemu moja ama sehemu mbili tofauti ndio niliuliza huko juu kuwa watu wa pangoni huo muda ulitofautiana baina ya wapi na wapi mkuu ?
Allah mwenyewe kasema kuwa wale hawakulala sehemu ya siku kama walivyodhani,bali ni hakika kuwa walilala idadi ya miaka ile ile ambayo watu wengine wasiokuwa wao walihesabu hivyo.
Utofauti wa muda katika tukio la watu wa pangoni ni baina ya wapi na wapi ndugu ?
Kwa hiyo tunakubaliana Kuwa watu wa pangoni haikuwa time dilation ?Kijana ongeza umakini, kuna muda unakuwa hujibiwi sababu unaandika mambo ambayo muhusika hajaandika. Suala la kutofautiana muda katika eneo moja kulingana na sababu tofauti tofauti ni kwa watu husika wanavyo ona. Ndiyo maana nikasema Vijana wa pangoni wao ndiyo waliona kama wamekaa na kulala sehemu ya siku, lakini ukweli walikaa pale miaka 309. Sasa acha kuhoji ujinga ambao haupo. Ndiyo maana nakwambia ongeza umakini, unakosea sana mpaka unanipa uzito wa kukujibu, naona napoteza muda.
Allah anasema
Time dilation.Kwa hiyo tunakubaliana Kuwa watu wa pangoni haikuwa time dilation ?