USHAURI: kwa wasioamini maswala ya time travel

Naona ulitoa mfano wa watu wa pangoni pale kuhusu time dilation ile time dilation inaingiaje kwa watu wa pangoni ?
Ule ushauri nilio kupa umedai unaufanyia kazi, jaribu kuufanyia kazi mzee ule ushauri. Shida yako unajidai unajua jambo unalihoji, halafu hujui. Sasa kukujibu naona ni kupoteza muda.

Nimekupa mapitio kasome ili usipoteze muda kuuliza jambo ambalo kama ungefata ushauri wangu usinge uliza.
 
Kwa hiyo time dilation inaweza kutokea ndani ya moja kama duniani duniani tu. ?
Time dilation ipo kote kote, mafhumu ya time fdilation ni kutofautiana kwa muda ndani ya sehemu moja au sehemu mbili tofauti kutokana na tofauti ya mwendo au mvutano. Haya ni mapito ya watu wa Fizikia.

Kwahiyo tukio la watu wa pangoni hakuna kusimama kwa muda,muda upo kama kawaida ila umetofautiana kutokana na sababu fulani.

Katika aya inayosema malaika huwa wanatoka duniani kuelekea mbinguni kwa ajili ya kazi husika waliyopewa na Allah,kwa siku yao moja ni sawa na miaka Elfu 50,kwa hapa kwetu. Huu ni uhusiano wa kutofautiana kwa muda na hakuna kusimama kwa muda hapo.

Watu wa pangoni vivyo hivyo, walipigwa usingizi kwa miaka hiyo aliyoitaja Allah katika Qur'aan, lakini wao wakaona kama wametoka kuamka tu, yaani kama sehemu ya siku lakini kumbe muda ulikuwa ni miaka 309.
Huu mfano wako ndo umenifanya niulize,kwa sababu hapa kana keamba unaashiria kuwa time dilation lazjma ihusishe maeneo tofauti mawii,yaani duniani na huko mbinguni.
Unatakiwa uongeze umakini ukiwa unasoma ninacho kiandika. Nimetoa mifano miwili ya Time Dilation, lakini naona umehitimisha kwa kauli ya uongo kwamba nimehusisha sehemu mbili tofauti. Huku nikukosa kwako umakini. Ule ushauri nilio kupa ufanyie kazi utakusaidia sana. Sas
Sasa tukiangalia mfano uliotoa wa watu wa pangoni pale tukio lilitokea hapa hapa duniani na wala halikuhusisha maeneo mengine ya ulimwengu.
Sasa kijana inakuwaje unahitimisha kwa vitu ambavyo havipo, nikikuuliza unionyeshe wapi nimesema Time dilation inahusisha sehemu mbili tofauti pekee utanionyesha ? Wakati nimetoa mifano miwili tofauti na yote inaonyesha Time Dilation ? Ongeza umakino ili usiwe unapoteza muda kuhoji vitu vya kijinga kwa kutokuwa makini.
Lakini pili tukio lile muda ulienda kwa utaratibu wake kama ulivyopangwa na miaka ikaenda,ila tu wale watu ndo hawakuathiriwa na uwingi wa muda,,l lakini muda ulienda vizuri kabisa.
Sasa nani anasema tukio lile muda haukuenda katika utaratibu. Naona pale mwanzo ulikurupuka kwa kufasiri neno kwa mjengeko wake ukahusisha "Dilation" na "Delay".Hivi vitu viwili tofauti. Fanyia kazi ushauri wangu.
Hapo sijaelewa kuwa watu wa pangoni wanahusiana vii na time dilation wakati ambapo mifano uliyotoa imefungamanisha MUDA na eneo zaidi ya moja ya ulimwengu ?
Umeona sasa unavyo jiumbua ? Huko juu umetoa hitimisho kwa mfano mmoja nilio utoa, lakini hapa uajumuisha mifano yote miwili, sasa huoni unavyojichanganya ?
Mfano mwingine tunasoma katika Qur'aan ya kuwa siku moja kwa Allah kwatu sisi ni miaka elfu moja.

Shida yako unahoji kitu kama unakijua halafu hukijui, sasa unazidi kukosea. Nilikwambia soma kwanza kitu ukijue au hoji kwa usahihi.

Ngoja nikusaidie, kwani Time Dilation ni nini ? Jifunze kuhoji kwa usahihi. Unavyojua wewe.

Sasa fanyia kazi ushauri nilio kupa.

Ahsante.
 
Time dilation ipo kote kote, mafhumu ya time fdilation ni kutofautiana kwa muda ndani ya sehemu moja au sehemu mbili tofauti kutokana na tofauti ya mwendo au mvutano. Haya ni mapito ya watu wa Fizikia.

Kwahiyo tukio la watu wa pangoni hakuna kusimama kwa muda,muda upo kama kawaida ila umetofautiana kutokana na sababu fulani.

Katika aya inayosema malaika huwa wanatoka duniani kuelekea mbinguni kwa ajili ya kazi husika waliyopewa na Allah,kwa siku yao moja ni sawa na miaka Elfu 50,kwa hapa kwetu. Huu ni uhusiano wa kutofautiana kwa muda na hakuna kusimama kwa muda hapo.

Watu wa pangoni vivyo hivyo, walipigwa usingizi kwa miaka hiyo aliyoitaja Allah katika Qur'aan, lakini wao wakaona kama wametoka kuamka tu, yaani kama sehemu ya siku lakini kumbe muda ulikuwa ni miaka 309.

Unatakiwa uongeze umakini ukiwa unasoma ninacho kiandika. Nimetoa mifano miwili ya Time Dilation, lakini naona umehitimisha kwa kauli ya uongo kwamba nimehusisha sehemu mbili tofauti. Huku nikukosa kwako umakini. Ule ushauri nilio kupa ufanyie kazi utakusaidia sana. Sas

Sasa kijana inakuwaje unahitimisha kwa vitu ambavyo havipo, nikikuuliza unionyeshe wapi nimesema Time dilation inahusisha sehemu mbili tofauti pekee utanionyesha ? Wakati nimetoa mifano miwili tofauti na yote inaonyesha Time Dilation ? Ongeza umakino ili usiwe unapoteza muda kuhoji vitu vya kijinga kwa kutokuwa makini.

Sasa nani anasema tukio lile muda haukuenda katika utaratibu. Naona pale mwanzo ulikurupuka kwa kufasiri neno kwa mjengeko wake ukahusisha "Dilation" na "Delay".Hivi vitu viwili tofauti. Fanyia kazi ushauri wangu.

Umeona sasa unavyo jiumbua ? Huko juu umetoa hitimisho kwa mfano mmoja nilio utoa, lakini hapa uajumuisha mifano yote miwili, sasa huoni unavyojichanganya ?
Mfano mwingine tunasoma katika Qur'aan ya kuwa siku moja kwa Allah kwatu sisi ni miaka elfu moja.

Shida yako unahoji kitu kama unakijua halafu hukijui, sasa unazidi kukosea. Nilikwambia soma kwanza kitu ukijue au hoji kwa usahihi.

Ngoja nikusaidie, kwani Time Dilation ni nini ? Jifunze kuhoji kwa usahihi. Unavyojua wewe.

Sasa fanyia kazi ushauri nilio kupa.

Ahsante.
Unaandika kishari shari mkuu kama tuna ugomvi.

Ila sawa umeandika imesomeka.
 
Ule ushauri nilio kupa umedai unaufanyia kazi, jaribu kuufanyia kazi mzee ule ushauri. Shida yako unajidai unajua jambo unalihoji, halafu hujui. Sasa kukujibu naona ni kupoteza muda.

Nimekupa mapitio kasome ili usipoteze muda kuuliza jambo ambalo kama ungefata ushauri wangu usinge uliza.
Mkuu mbona unaandika kibifubifu wakati kuhoji ni mambo ya kawaida tu ambayo kila mtu huuliza.

Naona nazodolewa haswa.

Sawa mzee nimekusikia.
 
Me mwenyewe natoa ushuhuda mbele yenu niliwai kaaeneo moja nikalala huko nashangaa ni kua kila nikilala nikiamuka nakuta ni dakika 10 zimepita huku mm nikiwaambia nimelala masaa 5 na chakushangaza na. Alarm inatuapale. Pale
 
Mkuu mbona unaandika kibifubifu wakati kuhoji ni mambo ya kawaida tu ambayo kila mtu huuliza.

Naona nazodolewa haswa.

Sawa mzee nimekusikia.
Hakuna shari hapo mzee. Nikiwa na bifu na Mtu huwa najiepusha nae. Ukiona nakujibu na kukuelekeza ujue sina tatizo na wewe.

Neno kuhoji unalitumia vibaya sana,shida una hoji mambo yasiyo na msingi. Hili sijaanza kukwambia leo. Tumeambiwa tuhoj ila tuhoji vya maana.
 
Unaandika kishari shari mkuu kama tuna ugomvi.

Ila sawa umeandika imesomeka.
Sina tatizo na wewe, ndiyo maana nalujibu. Shida yako unahoji mambo ya kijinga na unajifanya jambo unalijua lakini hulijui. Sasa lazima tuwe wakali kidogo ili uongeze umakini.

Alaaa sawa.

Mana sioni kama kuna umakini uneongozeka kwangu kutokana na huo ukali wako.

Ila okey pita mapito yako.
 
Kuna baba mmoja alienda shambani kulima hajawah rudi mpaka leo
Haijulikan amekufa au la mke wake washafanya msiba
 
Hakuna shari hapo mzee. Nikiwa na bifu na huwa najiepusha nae. Ukiona nakujibu na kukuelekeza ujue sina tatizo na wewe.

Neno kuhoji unalitumia vibaya sana,shida una hoji mambo yasiyo na msingi. Hili sijaanza kukwambia leo. Tumeambiwa tuhoj ila tuhoji vya maana.
Haha dah.

Namuomba Mungu aniondolee yale ambayo unayasema ikiwa kama kweli ninayo.

Mimi katika desturi zangu huwa siachi kuhoji maadamu jambo sijalielewa na nataka ufafanuzi.

Hutakiwi kupanic kwa mambo ya kawaida kama haya mkuu.

Yani ukali unaousema unautumia mimi kwangu naona kama unapanick alafu huo umakini unaoudai sioni kama umepatikana kwangu kwa ukali wako unaoudai,ninachozidi kuona katika kauli zako ni maelezo ambayo hayajitoshelezi na yenye utata.

Ninachoona pengine unajiwekea defence kuwa usihojiwe tu kwamba unataka ukisema jambo lako likubaliwe na wote,jambo ambalo sio sahihi.
 
Ila jaman inakuwaje mtu unalala unaota mwaka wa zamani sana hata wewe hujawahi kuwepo huko
 
Tunayoyafahamu katika dunia ni machache mno ukilinganisha na tusiyoyafahamu. Vitabu vya dini vinasibitisha hilo.
Na hata katika qur-ani kuna kisa cha swaaba mmoja aliwahi pia enda sehemu nahisi ni mbinguni ila sikumbuki vizuri yeye alitumia siku moja ila alirudi na kukuta watu wameishi miaka 70
"Tunayoyafahamu katika dunia ni machache mno ukilinganisha na tusiyoyafahamu."

Umenena vema mkuu.

Mkuu kuna watu tunaishi nao katika ulimwengu wa nyama ila kiroho tumetengwa nao mbali sana na wana vipawa visivyokuwa vya kawaida.

Binafsi siwezi kataa kuhusu ishu ya time travel, hii kitu ni kweli ila tunatofautiana namna ya kutazama katika ulimwengu mwingine.

Haya mambo yapo and to be honest binafsi kuna mengi huwa yananitokea, siyo kwamba ni ushirikina ila ni ulimwengu wangu wa ndani.

Nimesoma vitabu vingi kuhusu haya mambo na nikiunganisha na yanayoendelea katika maisha yangu binafsi naona uhusiano mkubwa sana.

Sent from my E2333 using JamiiForums mobile app
 
Time dilation ipo kote kote, mafhumu ya time fdilation ni kutofautiana kwa muda ndani ya sehemu moja au sehemu mbili tofauti kutokana na tofauti ya mwendo au mvutano. Haya ni mapito ya watu wa Fizikia.
Hii tafsiri ya kuwa ni kutofautiana kwa muda ndani ya sehemu moja ama sehemu mbili tofauti ndio niliuliza huko juu kuwa watu wa pangoni huo muda ulitofautiana baina ya wapi na wapi mkuu ?

Allah mwenyewe kasema kuwa wale hawakulala sehemu ya siku kama walivyodhani,bali ni hakika kuwa walilala idadi ya miaka ile ile ambayo watu wengine wasiokuwa wao walihesabu hivyo.

Utofauti wa muda katika tukio la watu wa pangoni ni baina ya wapi na wapi ndugu ?

Kwahiyo tukio la watu wa pangoni hakuna kusimama kwa muda,muda upo kama kawaida ila umetofautiana kutokana na sababu fulani.
Hizo sababu ni zipi kwa mujibu wa ushahidi wa kisa kile wakati ambapo Allah anathibitisha kuwa wale walilala pale miaka mingi mfano wa miaka ile ile iliyopita kwa wasiokuwa wao ?

Allah aliwaziba masikio na akawalaza humo pangoni kwa miaka kadha wa kadha kisha wewe unasema kulikuwa na tofauti ya muda,hiyo tofauti ilikuwa wapi ?

Allah kataja sababu kuwa wale walizibwa masikio na kulazwa pale miaka na miaka ndio maana wakaona wamelala kidogo.
Watu wa pangoni vivyo hivyo, walipigwa usingizi kwa miaka hiyo aliyoitaja Allah katika Qur'aan, lakini wao wakaona kama wametoka kuamka tu, yaani kama sehemu ya siku lakini kumbe muda ulikuwa ni miaka 309.
Huu muda wa miaka 309 haukuwa tofauti na miaka ya nje ya pango,kwa maana muda ulienda sawa kabisa baina ya pangoni na kusikokuwa pangoni.

Sasa huo utofauti wa muda unaousema sijaelewa ulikuwa wapi ?
Unatakiwa uongeze umakini ukiwa unasoma ninacho kiandika. Nimetoa mifano miwili ya Time Dilation, lakini naona umehitimisha kwa kauli ya uongo kwamba nimehusisha sehemu mbili tofauti. Huku nikukosa kwako umakini. Ule ushauri nilio kupa ufanyie kazi utakusaidia sana. Sas
Pengine wewe ukaona umeeleweka ulichokusudia,lakini waliopokea ujumbe wameelewa tofauti.

Ikitokea hivyo usiwe na kejeli na dharau kwa wengine.

Unaposema nimehitimisha kwa kauli ya uongo ya kuwa wewe umehusisha sehemu mbili tofauti kwani hii ya wewe kuhusisha sehemu mbili tofauti hukuisema ?

Umesema mwenyewe kuwa umetoa mifano miwili na mmoja wao ni huo wa kuwa inaweza kuwa ya sehemu mbili tofauti kama ulivyosema siku moja ni sawa na masiku mengi kwa Allah,hii ulikusudia ni sehemu mbili tofauti.

Sasa mimi kusema kuwa umgusia sehemu mbili tofauti,unaniambia muongo ilhali haya maneno umeyasema wewe mwenywwe.

Labda useme nimekunukuu kwa kauli moja ambayo ni kweli umeisema na ilhali ulikuwa umeweka kauli mbili.

Kusema kuwa ni uongo wakati kauli umeisemamwenyewe nashida kutia neno lolote.
Sasa kijana inakuwaje unahitimisha kwa vitu ambavyo havipo, nikikuuliza unionyeshe wapi nimesema Time dilation inahusisha sehemu mbili tofauti pekee utanionyesha
Mifano yako iliashiria hivyo kuwa time dilation inahusisha sehemu mbili tofauti.ndio maana ulinukuu mfano wa siku moja kwa Allah na siku moja ya duniani utofauti wao.

Sasa mifano uliyotoa inaonesha utofauti wa muda baina ya sehemu mbili.

Watu wa pangoni bado tupo kwenye kueleweshana kama pale palikuwa na tofauti ya muda baina ya sehemumoja(duniani)

Kwa hiyo mifano uliyotoa inaonesha tofauti ya muda baina ya sehemu mbili,watu wa pangoni bado hatujaafikiana kama ilikuwa ni tofauti ya muda baina ya sehemu moja.
Wakati nimetoa mifano miwili tofauti na yote inaonyesha Time Dilation ? Ongeza umakino ili usiwe unapoteza muda kuhoji vitu vya kijinga kwa kutokuwa makini.
Wapi tumekubaliana kuwa kuwa hiyo mifano yote kuwa ni time dilation ?

Unasahau kuwa hapa ndo tunajadili kwamba je mifano yako uliyotoa ni time dilation kweli hasa lile la watu wa pangoni ?

Sasa kutoa kwako mifano ukainasibisha na time dilation unataka na mimi nikubali moja kwa moja kuwa ni kweli time dilation bila kuhoji.

Yani unarudi kule kule kwamba mawazo yako unataka tuyakubali tu moja kwa moja jambo ambalo sio sahihi kabisa.hatujakubaliana katika mifano yako yote kuwa hiyo ni time dilation.
Sasa nani anasema tukio lile muda haukuenda katika utaratibu. Naona pale mwanzo ulikurupuka kwa kufasiri neno kwa mjengeko wake ukahusisha "Dilation" na "Delay".Hivi vitu viwili tofauti. Fanyia kazi ushauri wangu.
Okey sawa Mungu akubariki.
Umeona sasa unavyo jiumbua ? Huko juu umetoa hitimisho kwa mfano mmoja nilio utoa, lakini hapa uajumuisha mifano yote miwili, sasa huoni unavyojichanganya ?
Mfano mwingine tunasoma katika Qur'aan ya kuwa siku moja kwa Allah kwatu sisi ni miaka elfu moja.
Nilichokubaliana na wewe ni mfano wako wa time dilation kuwa ni muda na sehemu mbili tofauti.
Na hatujakubaliana kuwa time dilation kama inaweza kutokea baina ya sehemu moja.

Sasa sijichanganyi kwa sababu bado sijakubaliana na wewe kuwa aswhabu al kahfi ilikuwa time dilation.

Nimeshangaa kuwa vipi watu wa pangoni uwatie katika time dilation wakati mifano uliyotoa inahusisha sehemu mbili tofauti na watu wa pangoni ilohusisha sehemu moja.

Hapa kazi yako iwe ni kunifahamisha mimi kuwa watu wa pangoni ililkuwa kweli ni time dilation .

Ikiwa utanifafanulia juu ya hili ndipo una haki ya kusema kuwa NILIJICHANGANYA.
Ngoja nikusaidie, kwani Time Dilation ni nini ? Jifunze kuhoji
Mimi hapa nahoji kwa mujibu wa maana ulizozitoa wewe.

Wewe umeeleza kuwa time dilation ni utofauti wa muda baina ya sehemu moja ama mbili na ukatoa mifano.

Nahoji kutokea katika maana yako hiyo ambayo mwanzo KIUKWELI SIKUIPATA KUTOKA KWAKO.
 
"Tunayoyafahamu katika dunia ni machache mno ukilinganisha na tusiyoyafahamu."

Umenena vema mkuu.

Mkuu kuna watu tunaishi nao katika ulimwengu wa nyama ila kiroho tumetengwa nao mbali sana na wana vipawa visivyokuwa vya kawaida.

Binafsi siwezi kataa kuhusu ishu ya time travel, hii kitu ni kweli ila tunatofautiana namna ya kutazama katika ulimwengu mwingine.

Haya mambo yapo and to be honest binafsi kuna mengi huwa yananitokea, siyo kwamba ni ushirikina ila ni ulimwengu wangu wa ndani.

Nimesoma vitabu vingi kuhusu haya mambo na nikiunganisha na yanayoendelea katika maisha yangu binafsi naona uhusiano mkubwa sana.

Sent from my E2333 using JamiiForums mobile app
Dunia ina miujiza mingi sana.
 
Mimi hapa nahoji kwa mujibu wa maana ulizozitoa wewe.

Wewe umeeleza kuwa time dilation ni utofauti wa muda baina ya sehemu moja ama mbili na ukatoa mifano.

Nahoji kutokea katika maana yako hiyo ambayo mwanzo KIUKWELI SIKUIPATA KUTOKA KWAKO.
Kuendelea kujadiliana na mimi ni kuendelea wewe kukosea. Naona unakimbia kivuli chako, awali kabila ulipo ni quote ukaandika mambo ya "delaying". Sasa kama unahoji ninacho kiandika, iweje kwenye "Dilation" ukaingiza mambo ya "Delay" ? Hili la kudelay ulilipata wapi ?

Huwa najitahidi sana nisimdhulumu mtu, lakini fanyia kazi ushauri wangu, utakusaidia sana. Ulikuja kwa haraka ukahoji kama unajua lakini jambo hulijui.

Sasa unapokuwa mjinga sana, nakupuuza. Kingine una kumbukumbu ndogo sana.
 
Hii tafsiri ya kuwa ni kutofautiana kwa muda ndani ya sehemu moja ama sehemu mbili tofauti ndio niliuliza huko juu kuwa watu wa pangoni huo muda ulitofautiana baina ya wapi na wapi mkuu ?

Allah mwenyewe kasema kuwa wale hawakulala sehemu ya siku kama walivyodhani,bali ni hakika kuwa walilala idadi ya miaka ile ile ambayo watu wengine wasiokuwa wao walihesabu hivyo.

Utofauti wa muda katika tukio la watu wa pangoni ni baina ya wapi na wapi ndugu ?
Kijana ongeza umakini, kuna muda unakuwa hujibiwi sababu unaandika mambo ambayo muhusika hajaandika. Suala la kutofautiana muda katika eneo moja kulingana na sababu tofauti tofauti ni kwa watu husika wanavyo ona. Ndiyo maana nikasema Vijana wa pangoni wao ndiyo waliona kama wamekaa na kulala sehemu ya siku, lakini ukweli walikaa pale miaka 309. Sasa acha kuhoji ujinga ambao haupo. Ndiyo maana nakwambia ongeza umakini, unakosea sana mpaka unanipa uzito wa kukujibu, naona napoteza muda.
 
Allah anasema
Kwa hiyo tunakubaliana Kuwa watu wa pangoni haikuwa time dilation ?
 
Back
Top Bottom