Uchaguzi 2020 Ushauri: Makonda chukua fomu ugombee Urais kupitia upinzani hasa UDP, una nguvu kubwa sana na ushawishi kwenye jamii, utashinda kwa kishindo

usimdanganye mwe
usimdanganye mwenzio....hapendwi huyo kabisa.
 
Kigezo cha elimu hana.. kwa urais lzm awe na shahada ya chuo kikuu, yeye naskia ni Kama kibajaj na msukuma
We jamaaa una hakika na ukisemacho? Makonda kasoma Certificate ya uvuvi Nyegezi alipomaliza akaenda kusoma Diploma hiyo hiyo ya uvuvi Bagamoyo kabla ya kwenda kung'ang'ania nyumbani kwa marehemu Sita
 
Yaani watu wengine akili mgando kweli kweli ,yaani unampoteza mwenzio kiasi hicho kweli.Tayari ameshavurugu mambo,halafu unataka avuruge zaidi.Huyu anatakiwa kubaki CCM,ajitakase,aanze upya,sio kuanza kutanga tanga tena.
Akianza kutanga tanga atakuwa amejimaliza kisiasa kabisa.Upinzani Hanna kitu,hivi hamuoni?
 
Unamdanganya. Mwache abaki kulekule. UDP ilikwisha jifia zamani sana.
 
Unataka avunjwe miguu?
 
ACHA KUMDANGANYA KAKA WA WATU WEWE UNATAKA APOTEE KABISA NINI?
 
We jamaaa una hakika na ukisemacho? Makonda kasoma Certificate ya uvuvi Nyegezi alipomaliza akaenda kusoma Diploma hiyo hiyo ya uvuvi Bagamoyo kabla ya kwenda kung'ang'ania nyumbani kwa marehemu Sita
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Muwe na huruma jamani...Mwenzenu yupo kupigania nafasi ya wazee wa kanisa nyie mnataka kumpotosha kwa kumshawishi aingie ktk majukumu mazito kiasi hiko
 
Muwe na huruma jamani...Mwenzenu yupo kupigania nafasi ya wazee wa kanisa nyie mnataka kumpotosha kwa kumshawishi aingie ktk majukumu mazito kiasi hiko
Kanisa gani hilo nimwambie Lissu na Roma mkatoriki wakasali hapo huku wanamwangalia usoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…