Uchaguzi 2020 Ushauri: Makonda chukua fomu ugombee Urais kupitia upinzani hasa UDP, una nguvu kubwa sana na ushawishi kwenye jamii, utashinda kwa kishindo

Kiherehere chake cha kutaka kuishi Dar kimemponza. Tulimwambia aende Jimbo la Nyamagana Mwanza akatuondolee yule mpuuzi Mabula yeye akaleta ujuaji
 
Na zile Fafafa zake hivyo hivyo au ameshachonga zingine?
 
Agombee urais wa nchi gani? Jamhuri ya ukenge ya Stan Katabalo au gani?
 
Makonda hana ushawishi wowote wala nguvu yyte, Yani kutoka tu ukuu wa mkoa tushaanza kumsahau hana umahili wowote kwene siasa
 
UDP wao wamesema wanamuunga mkono JPM, mi nadhani ajiunge na PPT-Maendeleo
 
Huu uzi unachekesha Sana
 
Cheyo mwenyewe kaniagiza, kasema hataki muendelee na mjadala wa kumwongelea eti Bashite ahamie kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…