Makonda ni moja ya wanasiasa mahiri mwenye kipaji cha hali ya juu, ana ushawishi, ana watu, ana nguvu kubwa,anapendwa,anakubalika, anajua kujenga hoja.
Yote hayo sana CCM hawakuyaona,wakamkataa kwenye kura za maoni,kumkataa kwao walikuwa wanatimiza tu injili ya "jiwe kuu la pembeni".
Kwa kuwa akibaki CCM, kifo chake cha kisiasa ki dhahiri na mkuu wetu ameshajiapiza kwamba wenye tamaa hatawarudisha.
Namshauri ndugu makonda ajiunge UDP upendo apeperushe bendera yao akigombea urais. UDP kina mizizi mirefu nchini kote na has a kanda ya ziwa, akija makonda ni kumalizia tu na ataingia ikulu kiurahisi kama anamsukuma mlevi.
Makonda amua sasa au kaa kimya milele
Ndimi
Mjumbe