M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,201
- 23,039
yeah right.Nchi yetu imeharibika kabisa ,kila likianzishwa Jambo Kuna watu wanajitokeza kulalamika kwamba huo sio utaratibu , Sasa wao wanaojua utaratibu mbona hawafanyi ??
Kuna faida gani mtu anajua taratibu zote lakini hamna anachofanya ??
Kama unajua taratibu zote si ufanye Sasa ?
Hao wabunge wanaomkosoa Makonda nao ni viongozi je wanafanya nini kupunguza watoto wa mitaani majimboni mwao?
Au kushangaa shangaa na kuwapa Mia Mia wale watoto mabarabarani ndiyo solution?
Hata swala la madawa ya kulevya walilalamika hivihivi lakini mwisho wa siku Makonda akaibuka kidedea baada ya madawa kupungua mtaani na mateja kuanza kulilia dawa za alosto.
Kampeni ya Makonda imegeuzwa kuwa kampeni ya kupima DNA na kulazimisha ndoa wakati siyo kweli.
Kama kwenye eneo unalotoka Kuna mama amekimbiwa na kuachiwa watoto awalee ndio utaelewa Makonda anamanisha nini.
Piga kazi Makonda na Mungu akubariki Sana ipo siku watakukumbuka tu ,hata Lowasa walimponda Sana na kumtukana lakini Leo ndio boss wao.
ni kama kusema......
ni heri jambazi anayetajirika haraka kwa uhalifu na kumwaga damu kuliko mtumishi wa Mungu anayewahubiria watu watajirike kwa kipato halali.